Ommy Dimpozi: Sitaki kufa maskini kama Ngwair

mim nilimuelewa ommy dimpoz aliposema amechoshwa kuona tunazika wasanii masikin wakat wana majina makubwa,alisema vile kwa sababu kulikuwa na wadau wengi pia anamaanisha wasanii waache kunyonywa mtu kama ngwea ilifaa awe na nyumba,si kupanga tu,nyie wote mashahidi ngwea amekufa akiwa maskin japo alikuwa na jina kubwa.
pia tusilaumu wadau tu,wasanii wengi awajipangi mapema,wakipata pesa ni mitungi na wakubalisha wasichana,na kuhonga,harafu siku wakifulia wanasingizia wadau.
 
Namshangaa sana huyu dogo kwa jeuri zake nyimbo zake TATU alizotoa imekuwa jeuri,majivuno na kiburi kwa wasanii wenzake,hali yakuwa nyimbo zenyewe kasaidiwa,ommy anasema yeye hawezi kufa maskini km NGWEA,Ommy alimponda sana mangwea kwa kusema hata msiba wake mambo mengi yalikuwa yanaendeshwa kwa michango ya kuunga unga tu,amesema yy hawezi kufa maskini.
Cha kujiuliza kwa huyu Ommy ambae ni msanii chipukizi sana,umejiamini nini kwa kauli za kumkashif marehemu km hvyo?walikuwepo wasanii wangapi waliovuma na sasa hawajulikani ht walipo??wangapi wamefilisika??

Acha umbea na majungu mtoto wa kiume ww utavishwa shela.
 
Anajiandaa kumeza kete
 
amna omy alkemea wanaonyonya wasanii kama ruge na wewe ni mfuasi wa mnyonyaji ruge clouds wamemtumia sana ngwea kwa zaidi ya 6years ila hakuna ngwea alichovuna...omy dmpoz kaongea ukweli ni wasanii wachache wachanga na wazur kama omy dmpoz wenye uwezo wa kuwakemea wanyonyaji kama kna kusaga na ruge na sasa wanyon yaji wanaona wasanii wameamka kama nigeria,ghana,kenya na uganda mwsho wenu umekarbia nyie panya na redio zenu za wafu

Hayo unasema wewe lakini mwenyewe hakuongelea hayo...
 
Ommy uko sawa, but u r so direct...! Jaribu kuwa na knowledge ya kupresent mada zako. Mbna hata mtu leo tajiri kesho maskin and the vise versa of it, ulipo leo kuckudanganye kesho.U r correct but in a wrong direction.
 
Namshangaa sana huyu dogo kwa jeuri zake nyimbo zake TATU alizotoa imekuwa jeuri,majivuno na kiburi kwa wasanii wenzake,hali yakuwa nyimbo zenyewe kasaidiwa,ommy anasema yeye hawezi kufa maskini km NGWEA,Ommy alimponda sana mangwea kwa kusema hata msiba wake mambo mengi yalikuwa yanaendeshwa kwa michango ya kuunga unga tu,amesema yy hawezi kufa maskini.
Cha kujiuliza kwa huyu Ommy ambae ni msanii chipukizi sana,umejiamini nini kwa kauli za kumkashif marehemu km hvyo?walikuwepo wasanii wangapi waliovuma na sasa hawajulikani ht walipo??wangapi wamefilisika??

wabongo nawavulia kofia, so far dogo kawafunika sana kapata tuzo 3 sasa mnahaha kama mwataka kukata roho.
hii mbinu yenu chafu ya shigongo ya kumchafua imegoga mwamba na kamwe hatawasikiliza watu kama nyie.

binadamu ni kiumbe wa ajabu sana kutwa kufikiria jinsi ya kumchafua mwenzie kwan basi usifikiri jisi ya wewe kuimba ili uwe bora zaid kuliko yeye?? so far hata huyo ngwea unafikiri angeacha kula sembe akawekeza hela zake angezikwa mahali duni kama pale?? you shld learn a lesson form his story
 
Maskini akipata mata.ko hulia mbwata.
 
Namshangaa sana huyu dogo kwa jeuri zake nyimbo zake TATU alizotoa imekuwa jeuri,majivuno na kiburi kwa wasanii wenzake,hali yakuwa nyimbo zenyewe kasaidiwa,ommy anasema yeye hawezi kufa maskini km NGWEA,Ommy alimponda sana mangwea kwa kusema hata msiba wake mambo mengi yalikuwa yanaendeshwa kwa michango ya kuunga unga tu,amesema yy hawezi kufa maskini.
Cha kujiuliza kwa huyu Ommy ambae ni msanii chipukizi sana,umejiamini nini kwa kauli za kumkashif marehemu km hvyo?walikuwepo wasanii wangapi waliovuma na sasa hawajulikani ht walipo??wangapi wamefilisika??

Kama ni kweli Ngwea kafa maskini mimi sioni kosa la huyo dogo. Tatizo lenu watanzania mmezoea kufunika funika mambo, kama kweli dogo kasema haya maneno ni wa kumpongeza kwa kuwa amejipa changamoto ya kutafuta hela kokote zilipo asife maskini.

Acheni kufunika ukweli, Ngwea alikuwa mbeba MIZIGO hamsemi,,, Ngwea amekufa maskini (Kama ni kweli) mnataka watu wasisema sasa mtabadilikaje?
 
Namshangaa sana huyu dogo kwa jeuri zake nyimbo zake TATU alizotoa imekuwa jeuri,majivuno na kiburi kwa wasanii wenzake,hali yakuwa nyimbo zenyewe kasaidiwa,ommy anasema yeye hawezi kufa maskini km NGWEA,Ommy alimponda sana mangwea kwa kusema hata msiba wake mambo mengi yalikuwa yanaendeshwa kwa michango ya kuunga unga tu,amesema yy hawezi kufa maskini.
Cha kujiuliza kwa huyu Ommy ambae ni msanii chipukizi sana,umejiamini nini kwa kauli za kumkashif marehemu km hvyo?walikuwepo wasanii wangapi waliovuma na sasa hawajulikani ht walipo??wangapi wamefilisika??

Hizi story nimezisikia ila kama kuna ukweli wowote basi huyu jamaa ni mpuuzi tena sana tu!!

Sent from my BlackBerry 9630 using JamiiForums
 
Kwani kamshutumu Ngwair kufa masikini?
Ommy mbona kaongea kiswahili rahisu na huo ndio ukweli.
Wasanii wengi wa Tanzania wana majina makubwa lakini ni maskini tofauti na majina yao.
Ommy hilo linamkera na kalisema wazi sasa tatizo liko wapi?
Mr Nice alikua maarufu lakini hakua na kitu,labda sahivi kajifunza anafanya kazi kwa malengo,
marehemu mzee Kipara hali kadhalika.
Ray C alikua anapata show nyingi leo ana nini?
Sasa Ommy akionesha kukerwa na hili tunachukia,kwanini?
Au kwa vile aliesema ni msanii?
Wakati Sajuki anaumwa wasanii si walikiri wenyewe kua wana majina makubwa kuliko kipato.
Bora Ommy umeliona hilo
 
Lakini c unajua ukweli siku zote unauma,jamaa katoa angalizo wachukue tahadhari mapema,ni nani alikuwa anajua kanumba hana nyumba??,kifo kinaumbua wengi,usikute na huyo sukari ya warembo wa bongo movie hana lolote mikwara tu akifa ndo utasikia alikuwa na sabufa na flatscreen tu,so wajipange,ni aibu msanii kufa bila hata kiwanja
 
Huyu mtoto anajisikia mnooo...yani majivuno tu amejaaliwa...n wat if angekuwa na deal km Diamond..show kila kukicha...contract na makampuni...si tungetukanwa kabisa.??? Lets say akifa leo..huo utajiri anao..au ana ahadi na Mungu kuwa atakufa akishamiliki gorofa kadhaa posta na kkoo...shule hamna ni ulimbukeni...maskini akipata m...ta...ko hulia mbwata...

tatizo halipo pengine popote pale,lipo kwenye shule tu,mtu makini na anayejielewa haweza kutoa lugha za namna hiyo kwa mwenzie....huyu dogo na hemed phd huwa hawashirikishi bongo zao kisawa sawa wanapokuwa infront of medias thats why wanatoa kauli za ajabu ajabu ptuuu.
 
Mwanamuzik chipukizi Ommy Dimpozi,ameonyesha kuwa na kiwango cha juu sana cha dharau kwa kumdhihaki na kumtusi mtu aliyetangulia mbele ya haki."SITAKI NIKIFA YATOKEE KAMA YA NGWAIR,AMEKUFA AFRIKA KUSINI,HATA KUUSAFIRISHA MWILI KUULETA TANZANIA IMEBIDI MPAKA WATU WACHANGIE,ILE NI AIBU SANA",alisema Ommy kwa dharau.

Vile vile Ommy baada ya kushinda tuzo ya video bora ya mwaka Ommy alibwabwaja:"jamani tumechoka kuzika wasanii maskini wenye majina makubwa",kama vile haitoshi Ommy alizidi kusisitiza kuwa HATAKI KUFA MASKINI KAMA NGWAIR,je hii kauli ni nzuri kwa mtu aliyetangulia mbele ya haki???,

hata ajiandae vipi hawezi kujua kifo kitamkuta wapi ni bora akandaa roho kuliko mali. wako waliojiandaa vyema kimali kaMa Mobutu, ga
ddafi , Saddam, Hitler, idd amin nk lkn wao ndo wanajua walikufaje
 
Msimpake Ommy Dimpoz ubaya, mnavyomchukulia sivyo alivyo. Huyu kaka ni mpole mstaarabu na hana shida na mtu. Alisema maneno hayo kwa nia njema tu ila mnayabadilisha ili kuweka maana mbaya.
 
Wanajitoa ufahamu tu kwa chuki zao binafsi
 
Kwani kamshutumu Ngwair kufa masikini?
Ommy mbona kaongea kiswahili rahisu na huo ndio ukweli.
Wasanii wengi wa Tanzania wana majina makubwa lakini ni maskini tofauti na majina yao.
Ommy hilo linamkera na kalisema wazi sasa tatizo liko wapi?
Mr Nice alikua maarufu lakini hakua na kitu,labda sahivi kajifunza anafanya kazi kwa malengo,
marehemu mzee Kipara hali kadhalika.
Ray C alikua anapata show nyingi leo ana nini?
Sasa Ommy akionesha kukerwa na hili tunachukia,kwanini?
Au kwa vile aliesema ni msanii?
Wakati Sajuki anaumwa wasanii si walikiri wenyewe kua wana majina makubwa kuliko kipato.
Bora Ommy umeliona hilo

Wakati wote maneno yetu ndiyo hugeuka fimbo ya kutupiga; hujafa hujaumbika.
 
Back
Top Bottom