Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
mim nilimuelewa ommy dimpoz aliposema amechoshwa kuona tunazika wasanii masikin wakat wana majina makubwa,alisema vile kwa sababu kulikuwa na wadau wengi pia anamaanisha wasanii waache kunyonywa mtu kama ngwea ilifaa awe na nyumba,si kupanga tu,nyie wote mashahidi ngwea amekufa akiwa maskin japo alikuwa na jina kubwa.
pia tusilaumu wadau tu,wasanii wengi awajipangi mapema,wakipata pesa ni mitungi na wakubalisha wasichana,na kuhonga,harafu siku wakifulia wanasingizia wadau.
pia tusilaumu wadau tu,wasanii wengi awajipangi mapema,wakipata pesa ni mitungi na wakubalisha wasichana,na kuhonga,harafu siku wakifulia wanasingizia wadau.