On be the first to know, could JF be ni funga kazi zaidi ya mainstream media zote? Shuhudia hapa

On be the first to know, could JF be ni funga kazi zaidi ya mainstream media zote? Shuhudia hapa

Naipenda na kuikubali sana tena sana jamii forum .mimi hata niwe shambani huwa ni lazima niweke kwanza jembe chini ili kuangalia na kuchungulia kidogo kinachoendelea hapa nchini kupitia JF .maana najuwa hapa ni mahali pekee unapoweza kupata taarifa za kila aina kutoka kila pembe ya Dunia. Kikubwa wale wanaopenda kutukana sana matusi waache kufanya hivyo maana wanakuwa wanachafua taswira nzuri ya mtandao huu unaofuatiliwa na watu wengi. maana watu wanaojiheshimu hawawezi kupenda kusoma matusi ya nguoni yanayotolewa na baadhi ya wanajukwaa.
Unalima wapi wewe 😄
Ehe lini mavuno

Ova
 
Back
Top Bottom