On Ndulu: The "Guardian" must be kidding me!

On Ndulu: The "Guardian" must be kidding me!

The Guardian is blowing their own trumpet.
It is for the readers to judge, not themselves to prop up their image in public!
 
..Hizi ni kelele za mfa maji...Magazeti ya Guardian Ltd hayako kwenye orodha yangu ya magazeti makini....Wahenga husema,"Debe tupu haliishi kuvuma"....Na hizi kelele za Guardian ni za debe tupu...
 
Hawa gadian kama waliwahi kupewa tuzo kwa uandishi mzuri basi wana wajibu wa kutunza image hiyo ya uandishi mzuri kuliko kutumia tuzo hiyo kama kinga yao hata pale wanapoboronga. Wangekuwa na busara za kutosha, wangetambua wazi kuwa walikosolewa kwa stori moja tu, na na hivyo waiangalie tena stori ile na fact zilizotolewa na wakosoaji halafu wachukue hatua za kujirekebsiaha ili wasirudie kosa lile tena kuliko kuanza kujitetea na kututambia eti waliwahi kupewa tuzo. Vile vile wawe waungwana kusema ukweli kuwa hatujawahi kuwasema kuhusiana na stori zao nyingine isipokuwa hiyo moja.
 
- Hao Guardian watulize kitenesi, waje hapa kula dataz za Visiwani muda wa kulumbana na compromise wa kina Ndulu hatuna, wasuke ama wanyoe, njia za uandishi wa habari uliotukuka zinaonyeshwa wazi hapa JF! Waje wale elimu ya bure!

Respect.

FMEs!
 
They must be an angry and frustrated editor!!!!!!!! It's a stolen line from fix nuwz........lol.
 
Kwavile E.U wamewasifia baadhi ya maandishi basi iwe nongwa? Hata NYT inateleza, itakuwa wao! Hamna kitu hapa!

Amandla.........
 
Tupunguze kujitetea,kulalamikalalamika,kujisifiasifiiia.....kwani kupewa tuzo kitu gani,,au ndio kama vile kibongobongo ukishapewa TBS once basi ur products are qualified for good,hii dalili ya uvivu na utegemezi.Chapa kazi,chukua maoni as a challenge...outcome itakuwa njema tu...binafsi kama naamini kuwa am doing better n am striving for the best ..lawama za watu haziongezi isipokuwa ni kujitahidi kuboresha zaidi.
By the way,hiki kiingereza kilichotumika hapa ni too diluted bana,sio cha mwandishi wa gazeti la kiingereza kama the guardian nililokuwa nasoma that time.....kuonesha dalili ya kupwaya.
Ni maoni tu,tutaendelea kutoa hadi pale muta declare kuwa si chombo cha jamii.
Kila la kheir
Qadhi
 
The retort is even shoddier than the original editorial.

Do not make me murder machete them in the toe to toe tradition, it will not be pretty.
 
Guardian editorial wanajaribu kujisafisha na kwa kutoa general comments to specific issues. when you read that article, moja kwa moja inakuja ile bandiko ya MMM kuhusu nyumba ya gavana

Mimi ningewashauri waache kupiga mayowe, waache watu waone wenyewe, kama wao ni wazuri, ethical na professional na si kujipigia debe kama wanasiasa
 
The irony is, moja ya defence yao ni kwamba criticism dhidi yao haikuwa na specifics. Unakandya watu wasiokuwa na specifics kwa kutokuwa specific.

Wanathrow maneno around kama watu ambao hawajaenda shule, some of the phrasing is so general to be meaningless, take "evil doers" for example, what does it realy mean in this context, next to nothing.

Halafu wanatumia the oldest trick in the book kuwa brand watu wote wanaowasema kama watu wanaolipwa na upinzani wao. Wengine tuko viwanja hata hatuwajui hao geezers wa bongo, na hawana hata hela ya kutulipa anyway.

Hawa watu Mengi kawaokota wapi?
 
I'm still trying to understand what has changed these past few months with the IPPMedia. Something is terribly wrong; we are just witnessing is demonstrations. When one of the most respected newspapers (at least for sometime) come to the defense of a questionable public expenditure one has to wonder what has come to this fight.

Badala ya kuangalia wapi wameanguka wasianguke tena wanabakia kuwatuhumu wale wote wanaowaambia kuwa wameanguka kuwa hawawatakii mema!

It is because of that they lose the counsels of friends and so they are doomed to fall again!
 
They are in a glasshouse and are throwing stones at us!i have not seen any specific direct reply to things we pointed out here in JF,we didn't call the evil doers(while they certainly are),we went ahead and point out what evils they were doing(trying to tell majority of people Ndulu is a CEO who deserves a 1 million dollar mansion).
I expected something like,

1.Ndulu still deserves a 1M dollar house for reason A,B ,C...,
2.Ndulu deserves to spend 110M in rent for reason A,B,C
3.Cost of the house compare to the economy of TZ is justifiable by A,B,C..,

such argument making,instead it's just same blank arguments with zero inputs..,i don't even call that answers to what we asked them,it's blames to as why we asked them what we asked them,may be that explains all the name calling.
 
I'm still trying to understand what has changed these past few months with the IPPMedia. Something is terribly wrong; we are just witnessing is demonstrations. When one of the most respected newspapers (at least for sometime) come to the defense of a questionable public expenditure one has to wonder what has come to this fight.

Badala ya kuangalia wapi wameanguka wasianguke tena wanabakia kuwatuhumu wale wote wanaowaambia kuwa wameanguka kuwa hawawatakii mema!

It is because of that they lose the counsels of friends and so they are doomed to fall again!

Kwa wengine, tuliwaona wasanii toka mwanzo. Hatushangai kitu. Tunasoma kwa mazoea tu.

Amandla.......
 
Kwa wengine, tuliwaona wasanii toka mwanzo. Hatushangai kitu. Tunasoma kwa mazoea tu.

Amandla.......

Jitu Fundi,

Unajua na mimi nilivyomsoma Mwanakijiji nilifikiri the same thing, ila nikaona labda ninakuwa too much of a contrarian nikaamua kukaa kimya.

Nafurahi kuona sikuwa peke yangu kumbe.
 
..Hizi ni kelele za mfa maji...Magazeti ya Guardian Ltd hayako kwenye orodha yangu ya magazeti makini....Wahenga husema,"Debe tupu haliishi kuvuma"....Na hizi kelele za Guardian ni za debe tupu...

Kwanza kama gazeti la Guardian, halivutii hata kusoma, limejaa story za kudownload kutoka kwenye internet. If I were there employer, nisingewalipa mishahara kabisa.

Wajaribu kuliboresha. Mbona nipashe wamelibadilisha na sasa linasomeka???????????
 
Siku hizi kwenye magazeti ukiona makala zinazotetea mtu ujue tayari hapo kuna mchongo wa dili ya aina fulani. The Guardian hawana sababu yoyote ya kulialia maana hawakuteuliwa kuwa 'mawakili' wa Ndullu. Walipaswa kutumia nafasi ile kwenye gazeti kuandika habari zingine zinazohusu matatizo lukuki waliyonayo wananchi kwa ujumla.
 
Hizo print media za aina hiyo ziko safarini kwenda Kinondoni pale makaburi. Kwani biashara hiyo ndiyo inaelekea ukingoni, kama wanataka wabuni njia mbadala wa kuchapisha majarida yatakayo wavutia wasoma na kuyagawa buuureee au wasione aibu waingie kwenye soko la Shigongo ambalo lenyewe kwa sasa lina nafasi ya kuendelea kuwepo.
Serious people hawasubiri serious news ichapwe kwenye gazeti, they browse!
 
- Kama gazeti kubwa kama Guardian wame-take time kujibu JF, basi ina maana moja tu Message sent and delivered! Wangemuuliza Lowasa kwanza the last time alipojaribu kushindana na JF what happened to him! Aliishia kujiuzulu!

- Now who is next!

Respect.

FMEs!
 
I am trying to think...........mhhh!

when was the last time I read "the guardian"?

I don't remember!
 
Back
Top Bottom