On Ndulu: The "Guardian" must be kidding me!

Nchi yetu ni ya Elites!Huyu Ndulu na swimming pool ndani is a joke !
Tanzania tumeliwa na hawa elites.I dont care about Mengi,Mbowe etc.
Mpaka leo tuambiwe hawa wamechukua ngapi toka mabenki yetu .

Ndulu ni classical exapmle ya elites.Kwenye hiyi kamati ya bunge,wote ni vilaza.
Huko Kigoma kwa Kabwe,wanafunzi wanakaa chini,Temeke hospital wajawazito wanalala chini.Sasa kama tutashindwa kutumia common sense,we are all doomed monkeys.
 
Mkuu, unachanganya. Hakuna serikali inayowapa watu nyumba. U.K inawapangisha watu wake wasio na uwezo kwenye nyumba za manispaa( wenyewe wanaziita council housing). Serikali ya U.K. iliweka sera ya manispaa zake kujenga nyumba za bei nafuu ambazo zitapangishwa kwa watu wenye kipato kidogo. Cha msingi ni kuwa, watu hawa hawapewi bali wanapangishwa. Pango katika nyumba hizi ni controlled na ni za chini kuliko zilizo kwenye soko huria. Watu wenye kipato cha chini wanalipa pango kutokana na pesa wanazopewa na serikali kuweza kujikimu. Hilo la kuwauzia wapangaji lililetwa na Margaret Thatcher, na inategemea zaidi sekta za fedha kuweza kutoa mikopo nafuu, inakayowawezesha hao watu kununua nyumba. Kitu serikali au manispaa inachofanya ni ku-guarantee mikopo hiyo.

Kwanza nikusahihishe hapo juu huwa sichanganyi bali natoa facts na ninasimamia maneno niliyosema hapo juu.

Kwanza nyumba nyingi nchini Uingereza zilijengwa wakati wa Queen Victoria, wanaziita Victorian type usibabaike na hiyo lugha ya counci housing kifupi bajeti ya councils zote nchini Uingereza inatoka serikali kuu i.e. kwa walipa kodi. Na hakuna hiyo kitu unaita ati kuna nyumba za watu wa kipato cha chini etc. Bei ya kulipa inatokana na idadi ya vyumba vya kulala na huwezi kukuta mbavu za mbwa.

Jambo jingine ambalo unasahau ni kwamba social security yao ndio inaangalia jinsi ya kuwalipa pesa wale ambao hawafanyi kazi kwa ajili ya kuishi maisha ya kawaida, chakula na kuweza kulipia nyumba ambazo wanaishi i.e mtu mzima mwenye miaka zaidi ya 18 analipwa pesa kwa mfano £40 kwa wiki moja kwa ajili ya mahitaji yake ya chakula, nguo, starehe n.k na pesa za malipo ya nyumba anayoishi kama ni familia basi kila mtoto naye anakuwa na kiasi chake na hii ni kutokana na system ambayo inajali raia wake.
 
Hakuna Council yoyote inayo gurantee mikopo huo ni uongo kama ipo nitajie jina tuwaulize.

Njia nyingine ambayo serikali ya uingereza inafanya kuwawezesha watu wake kuishi katika mazingira bora ni kuwalazimisha developers wote watakaopata kibali kujenga katika viwanja vyake kutenga baadhi ya nyumba kwa ajili ya watu wenye kipato kidogo.

Hakuna developer yeyote anayelazimishwa huu ni uongo kama una facts weka hapa.

Lakini pamoja na yote haya bado watu wengi tu hawana makazi halisi. Na ukweli ni kuwa nyumba nyingi hizo unazozingumzia siyo makazi bora. hali yake ni ovyo tu ukilinganisha na standard za kule.

Mkuu hapa siongezi kitu naomba waulize Wasomali au Watanzania waliojilipua yaani waliozamia kwa kujiita ni wasomali au Wanyarwanda hapa naona unaongopa tena kwa hali ya juu. Waulize wanaoishi UK wakueleze sina hata haja ya kuongelea issue kama hizi ambazo ni wazi.

Hiyo website inaongelea kampuni ya Shelter ambayo ni charity ya homeless people. Labda hufahamu kwamba UK kuna wanafunzi kutoka nchi nyingi ulimwenguni ambao wapo kwa masomo na wengine wazamiaji, pamoja ma illegal migrants. Serikali ya UK haiwapi hawa watu makazi sio jukumu lao hapo ndipo kampuni kama hiyo uliyoweka website yao inaingia na kuwasaidia lakini sio raia wa UK au wale walio na permanent residence, usichanganye mkuu.

Unataka kuniwekea maneno mdomoni. N.H.C. ilianza kwa kujenga nyumba za bei ya chini ambazo ziliuzwa kwa wale ambao nyumba zao zilibomolewa. Moja ya matatizo yaliyoikumba NHC ni kuchukua neno kujenga literally, wao walikuwa ndiyo developers, wachoraji na wajengaji. Mfumo huu ukaongeza ukiritimba kiasi cha kufanya uwezo wao wa ku-deliver nyumba nafuu kuwa compromised. Tatizo lako ni kuwa unadhani kuwa kupata ni kupanga nyumba ya NHC. Watanzania wengi wanapanga katika soko lisilo rasmi. Serikali, badal ya kuwekeza huko N.H.C. wangeweka jitihada za kuahamasisha wananchi wake kuwa na vyombo vyao vya kujijengea ambavyo vitapata mikopo nafuu na kupewa upendeleo katika bidhaa na vifaa vya ujenzi (kwa kupunguziwa kodi, kwa mfano) naamini wangekuwa na mafanikio zaidi. Watanzania wengi hawangojei nyumba za NHC, wanadunduliza kidogo kidogo na kujijengea. Serikali ingeelekeza nguvu zake kwa hawa na siyo kwa NHC kama unavyotaka wafanye. Manispaa zetu hazina uwezo wa kufanya wanavyofanya wenzao wa uingereza.

Naona unazidi kukosea mandate ya NHC ilipoanzishwa ilikuwa nini? Sio kweli kwamba kila walipojenga walivunja au kubomoa. Nyumba zilijengwa katika mikoa mingi na si kweli huko walikojenga walikuwa wanabomoa nyumba hafifu, taratibu bwana wapo wengi hapa wanafahamu fika NHC walikuwa na mandate ya kujenga nyumba za serikali kwa wafanyakazi na mashirika yake. Sielewi hapa unabisha nini. Na kila mtu alikuwa anasaka kupata nyumba ya kupanga ya NHC kwa sababu huo ndio ulikuwa mtaji, wengi waliopangishwa zile nyumba wameweza hata kujenga nyingine. Mfano BWM alipotoka USA alipewa ile nyumba aliyouziwa kwa bei ya peremende na NHC. BWM alikataa kuondoka ile nyumba alipopata urais kitu ambacho kilikuwa kinyume na jinsi NHC ilivyokuwa inafanya kazi. Vile vile kumbuka ule ugomvi wakati BWM alipokataa kuhama hiyo nyumba alipohamisjiwa wizara ya elimu ya juu kama sikosei?

Narudia,Mkuu. Si jukumu la serikali KUWAJENGEA watu wake bali ni kuweka mazingira ambapo watu wake wanaweza kujipatia makazi bora.

Narudia NHC mandate yake ilikuwa ni kujenga nyumba bora kwa wafanyakazi na mazingira ambayo unasema ni haya ya Rushwa ya kuuziana nyumba kwa bei ya peremende, baada ya wao kupata. Serikali kama imeshindwa kufanya majukumu yake wawaambie wananchi wameshindwa. Pili itabidi waache kukusanya kodi kwani wanaotafuna hiyo kodi ni watu wachache wenye kuweza kuwafisadi walipa kodi. Kama pesa zote za IPTL, TRL, EPA, Vijicenti, Nyumba ya Gavana na safari za JK nje et al zingeweza kutumika vizuri sina shaka matatizo ya shule zetu nyingi mbovu na dhiki ya mbavu za mbwa zilizotapakaa Dar es salaam na nchi nzima ingepungua. Kupanga ni kuchagua sasa sioni kwa nini kama waliweza kujenga wakati ule nini kinawashinda hivi sasa wakati wigo wa ukusanyaji wa kodi umeongezeka.

BTW Ni nchi moja tu Afrika ambayo imeanza kutoa social security kwa raia wake - Botswana nafikiri kwa kuanzia wanaanza na 65 year olds.
 
Nimesoma kwa masikitiko jinsi gani wabunge wetu walipigwa na bumbuwazi baadaya kumwagiwa data na Ndulu kwenye Kamati kiasi cha kukubali hoja zake. Sifikirii kuingia kwenye siasa lakini mambo kama haya yananifanya nianze kuwashwa washwa hivi..
 
Kwanza nikusahihishe hapo juu huwa sichanganyi bali natoa facts na ninasimamia maneno niliyosema hapo juu.

Kwanza nyumba nyingi nchini Uingereza zilijengwa wakati wa Queen Victoria, wanaziita Victorian type usibabaike na hiyo lugha ya counci housing kifupi bajeti ya councils zote nchini Uingereza inatoka serikali kuu i.e. kwa walipa kodi. Na hakuna hiyo kitu unaita ati kuna nyumba za watu wa kipato cha chini etc. Bei ya kulipa inatokana na idadi ya vyumba vya kulala na huwezi kukuta mbavu za mbwa.

Arrogance haina maana kuwa unajua. Council housing zilijengwa ili kuwapa makazi bora watu wa tabaka la chini, uingereza wakiitwa " working class". Working hapa haina maana kuwa ni wafanyakazi bali wale walio katika tabaka linalotegemea zaidi kazi za mikono. Hawa kipato chao kilikuwa cha chini kuliko sehemu kubwa ya jamii. Hizi nyumba zilianza kujengwa wakati wa Queen Victoria na baada ya vita kuu ya pili, msitizo uliwekwa kwenye maghorofa. Hakuna mtu ( pengine isipokuwa wewe) anayeona sifa kuishi kwenye council housing. Labda mkimbizi ambaye hana option au aliyetoka kwenye hizo unazoita mbavu za mbwa ndiye atakayeona sifa kuishi kwenye council house au council estate. Nenda Tower Hamlet uone kuna wenyeji wangapi wanaishi huko! Soma hapa chini pengine utaelewa. Neno pejorative sio sifa. Kama unaishi kwenye nyumba ya council fanya hima uhame ili uwapishe wenye shida zaidi. Unless na wewe uko taabani!

The current position is that council housing is a more and more residualised and stigmatised sector, with the term 'council' increasingly used as a pejorative. Whereas in its early years, council housing was an acceptable option for much of the population, it is now increasingly an option only for those reliant on social security.
In some parts of the country, especially northern Britain, some council housing is virtually unlettable. Council housing stock has sometimes been used to house those seeking refugee status ('asylum seekers'), who have no choice in their accommodation. In the south and in London in particular, demand still massively outstrips supply.

Nimeitoa hapa:[ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Council_house[/ame]

Hizi "council housing estates" zilikuwa na sifa mbaya kiasi ambacho wakati wa utawala wa Thatcher, concervatives wakaona ni bora kuanza kuwauzia wapangaji ili kuwapa motisha wa kuzitunza. Wao ndio walioanzisha mpango wa Right to Buy (Acquire) scheme ambapo nyumba ziliuzwa kwa discount kubwa kwa waliomo. Mpango huu nasikia unaendelezwa na Labour ingawa awali waliupinga. Bei ya nyumba hata siku moja haitokani na idadi ya vyumba bali ukubwa wa eneo, eneo ilipo nyumba na hali ya nyumba. Kuwa na vyumba vichache haina maana ni lazima kuwa nyumba ni ya bei ya chini.

Jambo jingine ambalo unasahau ni kwamba social security yao ndio inaangalia jinsi ya kuwalipa pesa wale ambao hawafanyi kazi kwa ajili ya kuishi maisha ya kawaida, chakula na kuweza kulipia nyumba ambazo wanaishi i.e mtu mzima mwenye miaka zaidi ya 18 analipwa pesa kwa mfano £40 kwa wiki moja kwa ajili ya mahitaji yake ya chakula, nguo, starehe n.k na pesa za malipo ya nyumba anayoishi kama ni familia basi kila mtoto naye anakuwa na kiasi chake na hii ni kutokana na system ambayo inajali raia wake.

Social security ipo kwa ajili ya wale ambao hawana kipato. Kipato si lazima ufanye kazi. Kama unapesa za urithi hau-qualify. Mkazo ni kuwawezeshesha kuishi wakati wakitafuta kazi na si kuwapa tu ili wakae nyumbani. Mkazo ni kwenye kuwawezesha wapate kazi haraka iwezekanavyo. Pesa za kuwalipa zinatokana na kodi ya wale wenye kipato kwa hiyo ni muhimu kwa watu wngi iwezekanavyo waingie kwtika mfumo unaoweza kuwapa ajira. Hii system haikuanza zamani na iliwezekana tu pale uwezo wa serikali ulipanda kutokana na juhudi za jamii nzima. Mtu anayeishi kwa kutegemea msaada wa social anapoteza heshima katika jamii. Soma Andy Capp. Watu kama nyinyi mnaangalia mnachovuta bila kuangalia juhudi na sacrifice ambayo wananchi wengine ( si serikali) walifanya ( kukubali kukatwa kodi kubwa n.k.) kufanikisha hilo. Bila aibu, mnaona hiyo ni haki yenu na ni wajibu wa serikali kuwapatia!

Hakuna Council yoyote inayo gurantee mikopo huo ni uongo kama ipo nitajie jina tuwaulize
.

Inawezekana uko sahihi maana bila shaka ingekuwa hivyo ungeisha ichangamkia. Sijaishi uingereza, sijaishi kwenye council housing kwa hiyo kwenye hili siwezi kukubishia.

Hakuna developer yeyote anayelazimishwa huu ni uongo kama una facts weka hapa.

Developers wakuu wa makazi ni councils na London, ni boroughs. Chini ya Ken Livingstone palikuwa na policy kuwa nusu ya nyumba zote zinazojengwa na boroughs ziwe ni "affordable housing".

Mkuu hapa siongezi kitu naomba waulize Wasomali au Watanzania waliojilipua yaani waliozamia kwa kujiita ni wasomali au Wanyarwanda hapa naona unaongopa tena kwa hali ya juu. Waulize wanaoishi UK wakueleze sina hata haja ya kuongelea issue kama hizi ambazo ni wazi.

Kumbe unaoongea nao ni hao waliojilipua? Bottom line ni kuwa council housing sifa yake si nzuri. Ndiyo maana wenyeji wenye uwezo wanazikwepa na kuwaachia wahamiaji ambao hawana "choice". Kuna vitongoji ambako usiku wenye teksi hawakupeleki na bado unataka kutuambia kuwa huko ni peponi?

Hiyo website inaongelea kampuni ya Shelter ambayo ni charity ya homeless people. Labda hufahamu kwamba UK kuna wanafunzi kutoka nchi nyingi ulimwenguni ambao wapo kwa masomo na wengine wazamiaji, pamoja ma illegal migrants. Serikali ya UK haiwapi hawa watu makazi sio jukumu lao hapo ndipo kampuni kama hiyo uliyoweka website yao inaingia na kuwasaidia lakini sio raia wa UK au wale walio na permanent residence, usichanganye mkuu.

Hiyo website inazungumzia council housing na hii haihusiani kabisa na kuwa wenye website wanajihusisha na wale wasio na makazi rasmi. Unataka kuniambia kuwa hakuna raia na permanent residents ambao hawana makazi? Walio homeless ni wageni peke yao? Kweli unaishi uingereza wewe?

Naona unazidi kukosea mandate ya NHC ilipoanzishwa ilikuwa nini? Sio kweli kwamba kila walipojenga walivunja au kubomoa. Nyumba zilijengwa katika mikoa mingi na si kweli huko walikojenga walikuwa wanabomoa nyumba hafifu, taratibu bwana wapo wengi hapa wanafahamu fika NHC walikuwa na mandate ya kujenga nyumba za serikali kwa wafanyakazi na mashirika yake. Sielewi hapa unabisha nini. Na kila mtu alikuwa anasaka kupata nyumba ya kupanga ya NHC kwa sababu huo ndio ulikuwa mtaji, wengi waliopangishwa zile nyumba wameweza hata kujenga nyingine. Mfano BWM alipotoka USA alipewa ile nyumba aliyouziwa kwa bei ya peremende na NHC. BWM alikataa kuondoka ile nyumba alipopata urais kitu ambacho kilikuwa kinyume na jinsi NHC ilivyokuwa inafanya kazi. Vile vile kumbuka ule ugomvi wakati BWM alipokataa kuhama hiyo nyumba alipohamisjiwa wizara ya elimu ya juu kama sikosei?

Soma kidogo kabla haujabisha. Nyumba za mwanzo zilizojengwa baada ya uhuru zilikuwa magomeni ku-replace nyumba za wenyeji ambazo zilionekana hazina hadhi katika Tanganyika (NHC ilianzishwa kabla hatujaungana na Zanzibar) huru. NHC hawajawahi kupewa mandate ya kujenga nyumba za serikali. Nyumba za serikali zilikuwa zikijengwa na kumilikiwa na wizara ya ujenzi. NHC ilikuwa chini ya wizara ya Ardhi tangu awali. Wafanyakazi wa serikali hawakuwa na upendeleo kwenye upangaji wa nyumba za National Housing. Sasa unataka kuniambia kuwa nyumba za NHC zilikuwa mtaji wa kuwawezesha ili wajenge nyingine? Vipi? Au unazungumzia nyumba zilizokuwa chini ya Msajili wa Majumba ambazo wapangaji wake "waliziuza" kwa wenye nazo na hivyo kuweza kujijengea? Wapangaji wengi wa NHC walijenga nyumba zao kutokana na unafuu wa pango na imani kuwa ni lazima mtu uwe na makazi ya kwako maana nyumba ya kupanga si ya kwako.

BWM alipanga nyumba ya NHC (awali ya Msajili wa Majumba) kama raia mwingine. Hakuna kipengele kinachosema kuwa kama una nyumba nyingine basi hautakiwi kupanga katika nyumba ya NHC. Kuhamishiwa wizara nyingine kunahusiana nini na yeye kupanga kwenye nyumba ya NHC. Mawaziri wengi walipendelea zaidi kubaki katika nyumba za NHC kwa sababu hazikutegemea uwaziri wao. Uwaziri ulipokoma, walikuwa na haki ya kuendelea kupanga tofauti na nyumba ya serikali. Hayo ya unachodai kuwa ni ugomvi uliomhusu BWM sina la kusema maana sikuwa kuusikia.

Kama unataka mjadala zaidi kuhusu hili, anzisha thread yake.

Amandla......
 
Nimesoma kwa masikitiko jinsi gani wabunge wetu walipigwa na bumbuwazi baadaya kumwagiwa data na Ndulu kwenye Kamati kiasi cha kukubali hoja zake. Sifikirii kuingia kwenye siasa lakini mambo kama haya yananifanya nianze kuwashwa washwa hivi..
.
I think you are due!. Tena ungeona majadiliano bungeni ambayo ni live on TBC, sio ungeanza kuwashawashwa kama sasa, bali ungepatwa na kichefuchefu na kujisikia kutapita jinsi hawa waheshimiwa wanavyokata issues.
Kwa maandishi yako, Mzee Mwanakijiji, you have the guts, the will and the reasons and the means, ila you seems very true to your self na taifa lako, sasa sijui kama kweli utaweza kuja kupractise unafiki na lies kwenye siasa za bongo ili ishinde. Yuo have to play dirty and rough, of which I doubt if you can.
Siye wengine tumashajikubalia matokeo na kujikalia pembeni kwa vile tunajua its a game we can't dare play!.

Njoo Mwanakijiji njoo,

njoo tumekusoma njoo,
Njoo tumekusikia njoo,
Njoo natukuone njoo!

Njoo Mwanakijiji njoo!
 
Pasco..kwanza tutengeneza ajenda...
 
Pasco..kwanza tutengeneza ajenda...
.

Ajenda kuu tayari ipo 'Change We Can Believe In'
Slogan ni 'Together We Can' 'Pamoja Tunaweza'!
imebaki kujipanga kwa reaching out strategies za how na kwa means zipi, kupitia medium gani na vehicle ipi.

All the best.
 
hayo ni maneno matamu tu ya kukolezea ajenda; tunataka kitu ambacho kitawafanya Watanzania wapate matumaini na wawe tayari kushirika katika kuirejesha serikali mikononi mwao na kuchukua nafasi yao katika taifa lao. Hata ikibidi kuanza chini kabisa itabidi..
 
Kukosekana kwa maadili ya uandishi wa habari Tanzania ndio chanzo cha haya yote. Maadili yangakuwepo mtu ungeogopa kuandika kile ambacho ni upotoshaji kwa jamii.
Huu ni wakati sasa kwa nchi yetu kuangalia misingi iliyojengwa nayo ikiwepo la Azimio la Arusha. Tukifuata yale yaliyopo ndani ya Azimio la Arusha ubinafsi na yafananayo yataisha kabisa.
 
Arrogance haina maana kuwa unajua. Council housing zilijengwa ili kuwapa makazi bora watu wa tabaka la chini, uingereza wakiitwa " working class". Working hapa haina maana kuwa ni wafanyakazi bali wale walio katika tabaka linalotegemea zaidi kazi za mikono. Hawa kipato chao kilikuwa cha chini kuliko sehemu kubwa ya jamii. Hizi nyumba zilianza kujengwa wakati wa Queen Victoria na baada ya vita kuu ya pili, msitizo uliwekwa kwenye maghorofa. Hakuna mtu ( pengine isipokuwa wewe) anayeona sifa kuishi kwenye council housing. Labda mkimbizi ambaye hana option au aliyetoka kwenye hizo unazoita mbavu za mbwa ndiye atakayeona sifa kuishi kwenye council house au council estate. Nenda Tower Hamlet uone kuna wenyeji wangapi wanaishi huko! Soma hapa chini pengine utaelewa. Neno pejorative sio sifa. Kama unaishi kwenye nyumba ya council fanya hima uhame ili uwapishe wenye shida zaidi. Unless na wewe uko taabani!

Nimeitoa hapa:http://en.wikipedia.org/wiki/Council_house

Hizi "council housing estates" zilikuwa na sifa mbaya kiasi ambacho wakati wa utawala wa Thatcher, concervatives wakaona ni bora kuanza kuwauzia wapangaji ili kuwapa motisha wa kuzitunza. Wao ndio walioanzisha mpango wa Right to Buy (Acquire) scheme ambapo nyumba ziliuzwa kwa discount kubwa kwa waliomo. Mpango huu nasikia unaendelezwa na Labour ingawa awali waliupinga. Bei ya nyumba hata siku moja haitokani na idadi ya vyumba bali ukubwa wa eneo, eneo ilipo nyumba na hali ya nyumba. Kuwa na vyumba vichache haina maana ni lazima kuwa nyumba ni ya bei ya chini.

Social security ipo kwa ajili ya wale ambao hawana kipato. Kipato si lazima ufanye kazi. Kama unapesa za urithi hau-qualify. Mkazo ni kuwawezeshesha kuishi wakati wakitafuta kazi na si kuwapa tu ili wakae nyumbani. Mkazo ni kwenye kuwawezesha wapate kazi haraka iwezekanavyo. Pesa za kuwalipa zinatokana na kodi ya wale wenye kipato kwa hiyo ni muhimu kwa watu wngi iwezekanavyo waingie kwtika mfumo unaoweza kuwapa ajira. Hii system haikuanza zamani na iliwezekana tu pale uwezo wa serikali ulipanda kutokana na juhudi za jamii nzima. Mtu anayeishi kwa kutegemea msaada wa social anapoteza heshima katika jamii. Soma Andy Capp. Watu kama nyinyi mnaangalia mnachovuta bila kuangalia juhudi na sacrifice ambayo wananchi wengine ( si serikali) walifanya ( kukubali kukatwa kodi kubwa n.k.) kufanikisha hilo. Bila aibu, mnaona hiyo ni haki yenu na ni wajibu wa serikali kuwapatia!

.

Inawezekana uko sahihi maana bila shaka ingekuwa hivyo ungeisha ichangamkia. Sijaishi uingereza, sijaishi kwenye council housing kwa hiyo kwenye hili siwezi kukubishia.

Developers wakuu wa makazi ni councils na London, ni boroughs. Chini ya Ken Livingstone palikuwa na policy kuwa nusu ya nyumba zote zinazojengwa na boroughs ziwe ni "affordable housing".

Kumbe unaoongea nao ni hao waliojilipua? Bottom line ni kuwa council housing sifa yake si nzuri. Ndiyo maana wenyeji wenye uwezo wanazikwepa na kuwaachia wahamiaji ambao hawana "choice". Kuna vitongoji ambako usiku wenye teksi hawakupeleki na bado unataka kutuambia kuwa huko ni peponi?

Hiyo website inazungumzia council housing na hii haihusiani kabisa na kuwa wenye website wanajihusisha na wale wasio na makazi rasmi. Unataka kuniambia kuwa hakuna raia na permanent residents ambao hawana makazi? Walio homeless ni wageni peke yao? Kweli unaishi uingereza wewe?

Soma kidogo kabla haujabisha. Nyumba za mwanzo zilizojengwa baada ya uhuru zilikuwa magomeni ku-replace nyumba za wenyeji ambazo zilionekana hazina hadhi katika Tanganyika (NHC ilianzishwa kabla hatujaungana na Zanzibar) huru. NHC hawajawahi kupewa mandate ya kujenga nyumba za serikali. Nyumba za serikali zilikuwa zikijengwa na kumilikiwa na wizara ya ujenzi. NHC ilikuwa chini ya wizara ya Ardhi tangu awali. Wafanyakazi wa serikali hawakuwa na upendeleo kwenye upangaji wa nyumba za National Housing. Sasa unataka kuniambia kuwa nyumba za NHC zilikuwa mtaji wa kuwawezesha ili wajenge nyingine? Vipi? Au unazungumzia nyumba zilizokuwa chini ya Msajili wa Majumba ambazo wapangaji wake "waliziuza" kwa wenye nazo na hivyo kuweza kujijengea? Wapangaji wengi wa NHC walijenga nyumba zao kutokana na unafuu wa pango na imani kuwa ni lazima mtu uwe na makazi ya kwako maana nyumba ya kupanga si ya kwako.

BWM alipanga nyumba ya NHC (awali ya Msajili wa Majumba) kama raia mwingine. Hakuna kipengele kinachosema kuwa kama una nyumba nyingine basi hautakiwi kupanga katika nyumba ya NHC. Kuhamishiwa wizara nyingine kunahusiana nini na yeye kupanga kwenye nyumba ya NHC. Mawaziri wengi walipendelea zaidi kubaki katika nyumba za NHC kwa sababu hazikutegemea uwaziri wao. Uwaziri ulipokoma, walikuwa na haki ya kuendelea kupanga tofauti na nyumba ya serikali. Hayo ya unachodai kuwa ni ugomvi uliomhusu BWM sina la kusema maana sikuwa kuusikia.

Kama unataka mjadala zaidi kuhusu hili, anzisha thread yake.

Amandla......

Naoma kama unajichanganya kwa sababu unaanza kuingiza personality badala ya kujibu hoja ya msingi, mandate ya NHC ambayo baadaye iliunganishwa na NHC. Umeweka website ambayo ni ya shelter organisation kitu ambacho ni aibu kwa mtu muelewa wa mambo ku-back up his argument na upupu badala ya facts. Wikipedia kila tom dick and harry anaweza edit tu kama huko ndio unafikiri kuna source muafaka pole sana ni wa kukuonea huruma tu.

Hakuna mahali ambapo nimesema UK ni peponi, labda tukuulize wewe umeipata wapi hii ya peponi? No wonder JK haishi kwenda nje ya nchi labda ungemuuliza yeye pengine angekueleza kuna nini kwa maana kila uchwao huwaza kwenda kutumia pesa ya walipa kodi huko.

Unapoongelea waliouza nyumba za msajili ni akina nani hao? Nimekupa mfano wa nyumba aliyokuwa amepewa BWM hata hivyo naona naongea na jitu lenye level ndogo ya kuelewa au ni makusudi kwa sababu linafaidi pesa ya walipa kodi.

Kama unataka kuanzisha thread ya upotoshaji anzisha tu maana tumekuzoea, mtetezi na kuwadi la mafisadi hawezi kujificha utaona tu jinsi anavyojianika.
 
Naona sasa kweli umeelewa kipeo cha uelewa wangu! Si peke yako unayojua mambo ya ulaya.

Shelter is a charity that works to alleviate the distress caused by homelessness and bad housing.
who_we_are.jpg
We do this by giving advice, information and advocacy to people in housing need, and by campaigning for lasting political change to end the housing crisis for good.

Shelter ni pressure group (kama ilivyo HakiElimu Tanzania) inayoshughulikia matatizo ya nyumba. Council Housing zimelengwa kwa wale wenye matatizo ya nyumba ikiwa pamoja na raia na wakkaji halali wasio na nyumba (homeless). Shelter wanatoa ushauri kuhusu hizo council housing unazozizungumzia. Sasa kama wewe unaona hawa sio credible kwa sababu wanatetea wasio na makazi basi weka hizo credible sources zako!

Wikipedia ni source kama source nyingine. Kama unapinga walichokiandika basi weka source yako ya information ili tulinganishe. Kusema kwamba kwa sababu Wikipeadia inakuwa edited na wengi kwa hiyo kila kitu kilichomo hakiaaminiki ni upotoshaji.

Unazungumzia nyumba aliyouziwa Mkapa bila kujua ilikuwaje yeye kama waziri alipanga pale? National Housiing Corporation haikuwa na maghorofa Upanga, Oysterbay. Maghorofa yaliyojengwa na NHC yalikuwa Buguruni, Ilala, Ubungo kwa Dar es Salaam. Hayo mengine ( Kariakoo, Upanga, Oysterbay n.k.) waliyapata baada ya kuunganishwa na Msajili wa Majumba. Msajili wa Majumba ilimilikishwa nyumba ambazo zilitaifishwa na serikali mara baada ya Azimio la Arusha. Yote haya hauyaelwi, unakimbilia habari ulizozisikia kijiweni kuhusu Mkapa kugomea nyumba! Ni nyumba chache sana ambazo serikali ilipangisha kutoka NHC kwa ajili ya wafanyakazi wake. Lakini mfanyakazi aliruhusiwa kubaki kwenye nyumba aliyopanga kutoka NHC badala ya kuhamia ya serikali. Kama nyumba ilikuwa imepangishwa na serikali basi mfanyakazi aliweza kubaki humo hadi ajira yake inaposita. Kuhama wizara si kikomo cha ajira yake.

Wapangaji wengi wa nyumba za Msajili walizibadilishana pango na wenye pesa (wengi wao wahindi) na kutoka katika nyumba hizo. Wahindi wengi walipenda kuishi mjini, upanga n.k. kwa hiyo walikuwa radhi kuwapa pesa nyingi waswahili wahame. Waswahili waliona heri wachukue pesa wakajenge Kimara kuliko kuendelea kupanga. Hata hii ulikuwa hauijui?

Mimi nimekwambia azinsha thread ya Council Housing wala sijakwambia uanzishe thread ya upotoshaji. hii thread inahusu nyumba ya Ndullu, tuwaachie walioianzisha waendelee kujadili hoja husika.

Wewe si wa kwanza wala wa mwisho kuniita jitu, mtetezi wa kuwadi wa mafisadi. Watu makini zaidi yako wamefanya hivyo.

Usidhanie kukaa mahali ndipo kunakufanya kuwa unajua yote. Hapa ni mahali pa majadiliano na tutahoji kila utakachokileta bila wasiwasi wowote. Usidhani kwa sababu hatujaenda shule au kufika ulaya utatudanganya. Sio hapa.

Amandla........
 
Mambo ya Ulaya mwulize JK mimi siyajui khe khe khe khe
 
JK ameingiaje humu? Unatafuta sympathy kwa nguvu! Kwanza Mkapa , sasa JK! Mambo ya Ulaya na NHC uliyaangiza wewe kwenye mjadala ambao hayahusiki. Ulidhani tutaogopa kuchangia kwa sababu hatujafika Ulaya? Sio hapa.

Amandla.....

Jitu Fundi Mchundo.
 
Sympathy ipi nitakayoitafuta kutoka kwako au kwa mtu yoyote? Kuchangia ni kuamua sio kuogopa nidhamu ya woga ilipitwa siku nyingi labda Chama Cha majambazi ndio wanaikumbatia na hapa inajionyesha. Sio lazima kwenda mwezini kufahamu kuna nini au kwenda mahali popote. Vipi una bifu na Watanzania wanaoishi nje ya Tanzania?
 
Sina ugomvi na mtu yeyote humu. Nisichotaka ni kuwa taken for granted by anyone, awe anaishi nje ya Tanzania au ndani ya Tanzania. I, unfortunately, do not suffer fools gladly!

Amandla.......
 
Mwanakijiji for all your comments and views on the whole Ndullu issue you are being naive and impractical.
If your analogy is correct and your general sense of logic is clear , then Our President will be saving a lot by living in Manzese Uzuri.
 
bado inaonekana hujapata kabisa ninachozungumzia; Na hii inanifanya niamini kuwa bado tuna kazi kubwa sana ya kubadilisha fikra za watu. Kwani Manzese uzuri wanaishi wanyama gani?
 
Lole

Loh! Huu sio mfano sahihi. Ikulu ni makazi ya rais wakati huo huo ni ofisi ya rais kama mhimili wa serikali. ndio maana inakuwa kubwa kiasi, ina kumbi za mikutano na watumishi wengi ambao ni sehemu ya urais kama taasisi. Sasa hebu niambie, pamoja na kujenga majengo pacha ya BOT kwa bilioni nyingi kama sehemu ya ofisi ya gavana bado tunahitaji tena mabilioni mengi kujenga nyumba yake?

Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Iringa Dr Kapwani amehojiwa leo na Mlimani TV na kulaani matumizi haya, ameuliza: VIPAUMBELE VYETU VIKO WAPI?

Asha
 
bado inaonekana hujapata kabisa ninachozungumzia; Na hii inanifanya niamini kuwa bado tuna kazi kubwa sana ya kubadilisha fikra za watu. Kwani Manzese uzuri wanaishi wanyama gani?

MKJJ naamini kazi kubwa zaidi iko kwako maana tulijifanya wajanja kubatilisha kile chema kiutendaji alichokitengeneza mkoloni.
Kulikuwepo sehemu za viongozi, wafanyakazi, wafanyabiashara nk.
Sie kwa uerevu wetu tukajiuzia wenyewe na hatimaye kuingia gharama kubwa kurejesha kilekile tulichojiuzia kwa tamaa zetu.
Hii nyumba inayopigiwa kelele sana na watu wengi lazima itazamwe in broader perspective ili kuona picha kamili.Pamoja na siasa za chuki za kutaka kumg'oa Prof Ndullu kwa kuziba mianya ya uchotaji katika BOT, nyumba yenyewe na gharama zake ni za kawaida kabisa.
Leo inajengwa kilometa moja ya barabara kwa bilioni 1.2 hatushangai lakini kwa vile kila mtu amejenga kibanda chake cha vyumba 4 kisicho na viwango vyovyote tunadiriki kuhukumu kitu cha kitaalam kwa kulinganisha.
Haya ndo mapungufu mengi tuliyorithi kizazi hiki
 
Nimesema hujanielewa nasimama kutoka upande upi.

...
Hii nyumba inayopigiwa kelele sana na watu wengi lazima itazamwe in broader perspective ili kuona picha kamili.Pamoja na siasa za chuki za kutaka kumg'oa Prof Ndullu kwa kuziba mianya ya uchotaji katika BOT, nyumba yenyewe na gharama zake ni za kawaida kabisa.

Inaonekana mkuu unajua sana kuhusu hizi nyumba na matumizi yake; naomba unisaidie kati ya hizo Bilioni 2.6 zilizotumiwa ni kiasi gani kimeingia katika uchumi wa Tanzania?

[/quote]Leo inajengwa kilometa moja ya barabara kwa bilioni 1.2 hatushangai lakini kwa vile kila mtu amejenga kibanda chake cha vyumba 4 kisicho na viwango vyovyote tunadiriki kuhukumu kitu cha kitaalam kwa kulinganisha.
Haya ndo mapungufu mengi tuliyorithi kizazi hiki[/QUOTE]

Ingekuwa kama amejenga "kibanda" chake kwa fedha zake sidhani kama kuna mtu angeuliza. Huyu bwana tayari analipwa dola 15,000 kwa mwezi na nyumba anapewa na vikolombwezo kibao; kwanini asipewe posho kwenye mshahara wake huo huo akajipangishie nyumba apendavyo?

Kwanini nyumba zote tatu ambazo zilikuwa zinaangaliwa kwa pamoja zijengwe kwa kupitia tenda tatu tofauti?
 
Back
Top Bottom