On Ndulu: The "Guardian" must be kidding me!

On Ndulu: The "Guardian" must be kidding me!

Mwanakijiji for all your comments and views on the whole Ndullu issue you are being naive and impractical.
If your analogy is correct and your general sense of logic is clear , then Our President will be saving a lot by living in Manzese Uzuri.

Maswali machache:

1) Je nyumba nzuri ni lazima igharimu bilioni 1 na uchee?

2) Je, watanzania wote ambao hawakai Manzese uzuri wamejenga kwa bilioni 1?

c) Je, mtu anayelipwa mshahara wa dola 15,000 anastahili apewe na nyumba bure?

d)Je nyumba ya bilioni 1 ndio standard ya nyumba zote za viongozi wa juu? Kwa hiyo Mtendaji Mkuu wa TRA naye anakaa kwenye nyumba ya bei hiyo bure? Mtendaji Mkuu mpya wa Tanesco nae atajengewa nyumba ya gharama hiyo? Na kadhalika, na kadalika.

Amandla.......
 
FM... mojawapo ya sababu ambazo Ndulu amezitoa kwanini nyumba imegharimu hivyo ni kuzuia yeye asije kutekwa!!!
 
FM... mojawapo ya sababu ambazo Ndulu amezitoa kwanini nyumba imegharimu hivyo ni kuzuia yeye asije kutekwa!!!

Kwani watu wanatekwa kutoka nyumbani kwao? Labda kama wamejenga "tunnel" ya kuingunisha nyumba na Twin Tower! Na shughuli nyingine zote ziwe marufuku! Kinachosikitisha zaidi ni kwamba kuna watu wamekubali huo "inane" utetezi! Mimi kila ninavyosikia justifications kuhusu hii nyumba ndivyo ninavyozidi kusikitika. Kama watu wanashindwa kuja na "plausible" utetezi kwenye hili kweli wanastahili kushika usukani wa uchumi wetu!

Nachoka kabisa.

Amandla.......

amesema nyumba yake imejengewa swimming pool ndogo ya milioni 40! Somebody give me that to construct my own swimming pool utaona itakuwaje... FM.. ukipewa 40,000 grand ya downpayment ya kijibanda chako hapo US.. unaweza kupata kijibanda kizuri kizuri?
 
Nice try, M.M. Siko kwa Obama! Kwa 40 grand downpayment mtu uko mbali mahali popote. Lakini ukitoa utetezi huu kwa watu waliodai allowance za kununua suti za shs 600,000 ( kama nakumbuka sawasawa) it makes total sense. In fwact watauliza kwa nini amejibana hivyo!

Amandla.........
 
..labda hizo nyumba zina kuta zenye upana wa futi 18 kama yale mahandaki ya Hitler na Saddam.

..kwa hapa kwetu Prof.Ndulu anaweza kutoa utetezi kwamba jumba alilojengewa lina uwezo wa kuhimili tetemeko la ardhi mara mbili ya lile lilolotokea Haiti.
 
Hawa Guardian ni wapumbavu tu.

Kwa wale wenye kumbukumbu: Gazeti hili hili kwenye editorial yao walitetea ununuzi wa ndege ya rais, yaani ile Gulfstream, miaka michache iliyopita.
Ati rais wa nchi anastahili kuwa na usafiri wake, tena wenye hadhi. My a$$! Wote tumeona nini hasa ilikuwa manunuzi yale.

Pumbavu zenu nyie Guardian wa ufisadi.
 
..labda hizo nyumba zina kuta zenye upana wa futi 18 kama yale mahandaki ya Hitler na Saddam.

..kwa hapa kwetu Prof.Ndulu anaweza kutoa utetezi kwamba jumba alilojengewa lina uwezo wa kuhimili tetemeko la ardhi mara mbili ya lile lilolotokea Haiti.

Hivi Da-es-Salaam inapata matetemeko ya ardhi? Maana inakuwa kama matetemeko ya ardhi yanaweza kutokea "popote"!!
 
Nimesema hujanielewa nasimama kutoka upande upi.

Inaonekana mkuu unajua sana kuhusu hizi nyumba na matumizi yake; naomba unisaidie kati ya hizo Bilioni 2.6 zilizotumiwa ni kiasi gani kimeingia katika uchumi wa Tanzania?
Leo inajengwa kilometa moja ya barabara kwa bilioni 1.2 hatushangai lakini kwa vile kila mtu amejenga kibanda chake cha vyumba 4 kisicho na viwango vyovyote tunadiriki kuhukumu kitu cha kitaalam kwa kulinganisha.
Haya ndo mapungufu mengi tuliyorithi kizazi hiki[/QUOTE]

Ingekuwa kama amejenga "kibanda" chake kwa fedha zake sidhani kama kuna mtu angeuliza. Huyu bwana tayari analipwa dola 15,000 kwa mwezi na nyumba anapewa na vikolombwezo kibao; kwanini asipewe posho kwenye mshahara wake huo huo akajipangishie nyumba apendavyo?

Kwanini nyumba zote tatu ambazo zilikuwa zinaangaliwa kwa pamoja zijengwe kwa kupitia tenda tatu tofauti?[/QUOTE]

MKJJ naona bado hujatoka katika mtego ulioingia mwenyewe tena kwa hiari.
Bado una mhukumu mtu badala ya kuhukumu system tuliyoiweka pale.
Prof Ndullu hakujipangia mshahara wake , thats a fact.
Kimkataba Prof Ndullu inabidi awe accommodated with a "beffitting accommodation" .
Serikali yetu haina nyumba ya aina hiyo na imetoa mwanya wa Gavana kutengenezewa maskani anayostahili.Hii ni baada ya Serikali yenyewe kuuza nyumba za viongozi.
Hii ndiyo naita failure of the system in admnistration.
Unapomtuhumu mtu kwa failure ya system wakati kuna loopholes kibao na zilizowekwa kisheria hueleweki.
Mtu unaposema kujenga nyumba ya billioni 2.6 kwa Gavana mmoja vile vile inabidi tujiulize unaponunua mashangingi kwa mabilioni karibu 800 ya aina ya VX nchi inapata faida gani.Na hata Rais akikaa Ikulu kwa gharama nzito ni kwa faida ya nani.
MKJJ naona una shumbulia mkia badala ya main body.
 
sijui kama unanizungumzia mimi au mtu mwingine; siyo mimi niliyefafanua mfumo wa utawala wa kifisadi unavyofanya kazi? Gavana Ndulu ni mnufaikaji wa mfumo huo sasa itakuwaje aubomoe?

Hadi hivi sasa yeye Ndulu haoni tatizo la mfumo huo kama vile wewe usivyoona kuwa yeye ananufaika na mfumo huo. Kwangu mimi yote mawili i tatizo. Wale wanaonufaika na mfumo huo kama kina Rostam, Ndulu, Ballali, Mboma, Mkapa na wengine na wale ambao wameutengeneza na kuutetea!

Wote wawili wanahusika na ufisadi. Haiwezekani tuwe na tatizo na Ballali alipofanya mambo ya EPA, Meremeta, Twin Towers halafu hapo hapo tuone kuwa alikuwa mwadilifu alipendekeza ujenzi wa majumba mawili ambayo yeye mwenyewe alikuwa anufaike nayo!
 
Kula kumi,nilikuwa nikijiuliza utajibu vipi,lilikuwa kigongo kutoka kwa Gwakisa.
 
Leo inajengwa kilometa moja ya barabara kwa bilioni 1.2 hatushangai lakini kwa vile kila mtu amejenga kibanda chake cha vyumba 4 kisicho na viwango vyovyote tunadiriki kuhukumu kitu cha kitaalam kwa kulinganisha.
Haya ndo mapungufu mengi tuliyorithi kizazi hiki

Ingekuwa kama amejenga "kibanda" chake kwa fedha zake sidhani kama kuna mtu angeuliza. Huyu bwana tayari analipwa dola 15,000 kwa mwezi na nyumba anapewa na vikolombwezo kibao; kwanini asipewe posho kwenye mshahara wake huo huo akajipangishie nyumba apendavyo?

Kwanini nyumba zote tatu ambazo zilikuwa zinaangaliwa kwa pamoja zijengwe kwa kupitia tenda tatu tofauti?[/QUOTE]

MKJJ naona bado hujatoka katika mtego ulioingia mwenyewe tena kwa hiari.
Bado una mhukumu mtu badala ya kuhukumu system tuliyoiweka pale.
Prof Ndullu hakujipangia mshahara wake , thats a fact.
Kimkataba Prof Ndullu inabidi awe accommodated with a "beffitting accommodation" .
Serikali yetu haina nyumba ya aina hiyo na imetoa mwanya wa Gavana kutengenezewa maskani anayostahili.Hii ni baada ya Serikali yenyewe kuuza nyumba za viongozi.
Hii ndiyo naita failure of the system in admnistration.
Unapomtuhumu mtu kwa failure ya system wakati kuna loopholes kibao na zilizowekwa kisheria hueleweki.
Mtu unaposema kujenga nyumba ya billioni 2.6 kwa Gavana mmoja vile vile inabidi tujiulize unaponunua mashangingi kwa mabilioni karibu 800 ya aina ya VX nchi inapata faida gani.Na hata Rais akikaa Ikulu kwa gharama nzito ni kwa faida ya nani.
MKJJ naona una shumbulia mkia badala ya main body.[/QUOTE]

Are you serious? Serikali haina nyumba yenye hadhi ya kukaa mhesimiwa huyu kwa hiyo wanamjengea ya bilioni moja! Halafu unadai ii inatokana na serikali kuuza nyumba za viongozi? Hizo nyumba zilizouzwa unaifahamu lakini? Kuna yenye swimming pool? Nyingi zilikuwa na vyumba 2 sana sana vitatu vya kulala? Hazikuwa na family room, study, self-container n.k. Kwa nini basi wasichukue ramani ya moja ya hizo nyumba za mtaa wa Haille Sellasie wamjengee kama kweli hiyo ndiyo sababu ? Hatuwezi kuilaumu system bila kulaumu matunda yake. Haya pamoja na hayo mashingingi ndiyo matunda ya hioyo system. Vyote vinastaili kulaaniwa.

Amandla........
 
mkjj kabla ya kumshambulia gavana lazima uweke main job ya gavana ni ipi..
mimi ninachojiuliza kazi ya ndulu ni nini???

kazi main ya gavana ni kuchair monetary policy. ku control interest rate na money supply.
Na ichi ndio kitu ambacho gavana wetu anatakiwa akifanye na ambacho amekuwa amekifanya na sio kuangalia nyumba yake inajengwa.

hayo maswala ya nyumba yake yapo chini ya director of Administration and Internal Controls (AIC) ambaye ni JUma REli na yeye anakuwa appointed na rais, hata kama asipofanya kazi vizuri basi ndullu hawezi kumfanya chochote lakini lawama zote zinakwenda kwa ndullu.
wakati umefika wa Juma Reli na HR director kutueleza nini kimetokea, haiwezekani wao wakaboronga kazi halafu lawama zinamwangukia gavana.
nakuhakikishia kuwa gavana alikuwa hajui kiasi gani kimetumika katika ujenzi wa nyumba, habari amezishtukia tu kwenye magazeti.

narudia tena sio kazi ya gavana kusimamia ujenzi wa nyumba yake
 
Kwahiyo ina maana gavana hajui anachom cost mwajiri wake?Gavana hajui uwezo wa mwajiri wake na pia hafahamu na wala hana haja ya kufahamu terms za malipo nk?Ama nimeelewa vingine?
 
Kwahiyo ina maana gavana hajui anachom cost mwajiri wake?Gavana hajui uwezo wa mwajiri wake na pia hafahamu na wala hana haja ya kufahamu terms za malipo nk?Ama nimeelewa vingine?
as gavana hautakiwi kuwa na wasiwasi wa nyumba ya kukaa inafanywa nini. gavana anajua uwezo wa mwajiri wake so does deputy gavana AIC and other employees
gavana hatakiwi kujua nyumba atakayoamia itagarimu kiasi gani, gavana anatakiwa awe na wafanyakazi waaminifu ambao watafanya hii kazi kikamilifu, na kama hamna basi ndio yale yale ya JK ya kutaka kila safari aende yeye kwa ajili hawaamini watu wengine. nasema tena kama gavana anafatilia nyumba yake ya kukaa basi huko BOT kunatakiwa kusafishwe, bot kutakuwa hamna wafanyakazi

gavana awe anaumiza kichwa na inflation, reserve, interest rate na nyumba yake ya kukaa. je hao wafanyakazi wengine wanashughuli gani????
ukiwa gavana lazima u-delegate tasks nyingine kwa watu wengine, sitegemei gavana wetu awe na wasiwasi na nyumba yake.
 
Semilong... Bodi ya Zabuni ya Benki Kuu Mwenyekiti wake ni nani? Ni nani anaidhinisha matumizi ya Benki Kuu?
 
Semilong... Bodi ya Zabuni ya Benki Kuu Mwenyekiti wake ni nani? Ni nani anaidhinisha matumizi ya Benki Kuu?
.
Japo simfahamu huyo Mwenyekiti wa bodi ya zab uni ya BOT, yote ni 9, 10, gavana ndio Board Chairman wa BOT, hivyo hata kama kuna maroroso yoyote huku chini, grand finale ni yeye gavana.

BOT ni taasisi ya ajabu kabisa Tanzania, nasikia ndio benki kuu zote, Gavana, ndiye mwenyekiti wa bodi na ndio kila kitu.

Mamlaka nyingine kama hii ya gavana, ni powers za DPP no one can question even the presidaa!.
 
as gavana hautakiwi kuwa na wasiwasi wa nyumba ya kukaa inafanywa nini. gavana anajua uwezo wa mwajiri wake so does deputy gavana AIC and other employees
gavana hatakiwi kujua nyumba atakayoamia itagarimu kiasi gani, gavana anatakiwa awe na wafanyakazi waaminifu ambao watafanya hii kazi kikamilifu, na kama hamna basi ndio yale yale ya JK ya kutaka kila safari aende yeye kwa ajili hawaamini watu wengine. nasema tena kama gavana anafatilia nyumba yake ya kukaa basi huko BOT kunatakiwa kusafishwe, bot kutakuwa hamna wafanyakazi

gavana awe anaumiza kichwa na inflation, reserve, interest rate na nyumba yake ya kukaa. je hao wafanyakazi wengine wanashughuli gani????
ukiwa gavana lazima u-delegate tasks nyingine kwa watu wengine, sitegemei gavana wetu awe na wasiwasi na nyumba yake.

Mzee unaongea na watu wa kilalacha au?
 
nimesoma hii mada/thread.........."nimeburudika" sana aisee.......

Mkuu Lole Gwakisa.........Pamoja na maswali yako ya msingi...........NINAJUA unaijui vizuri sana system yetu.........JE TUENDELEE KUFURAHIA MATUNDA YAKE?........if you know what i mean.......

Mkuu.....Pasco nimependa challenge zako kwenye hii mada......imesababisha mambo mengi yawe CLEAR........wenye macho na wasome........baadhi ya mifano yako kwa Mwl Nyerere ulikosea sana.........ulizia ni jinsi gani Nyerere alibadilishiwa gari....au ni jinsi gani nyumba ya msasani ilipigwa renovation na furniture za kisasa.......ulizia reaction yake ilikuwa vipi..........kuna landrover 109 ilikuwa pale nyumbani kwake juu ya mawe.....wee acha tu.........yule Mzee wee mwache Mwenyezi Mungu amrehemu.....

Wandugu ninapenda kuwaambia kitu kimoja......kwa uongozi tulio nao......NO BODY CARES.........don't expect mtu mwenye calibre ya say Prof Mmari kushika nafasi kama hizo.........na kama wapo basi wamepewa desks tu wasome magazeti.........
 
For the past two years, we at The Guardian on Sunday editorial team have done our best to practice comprehensive journalism with the unwavering belief that Tanzania and the world can be a better place a place where justice, fairness and equality prevail and conquer at the expense of evil, cowardice and greed.

We have been doing this with the knowledge that not everyone shares in our task, nor believes in our goal. But we are also aware that those who continue to dominate this country and sap its resources must be put in check that although evil doers may not like our coverage, it is not they that we serve, but our fellow citizens who do not have a voice or a soapbox. Our role as journalists is to tell stories in a comprehensive and professional way that aligns with our editorial policy as well as general journalistic principles and ethics.

In so doing, we inform our readers about their society, government and the rest of the world; we entertain them; we anger some of them sometimes by telling them what they wouldn’t like to hear about their friends, relatives or partners, and sometimes we make them sad due to the nature of the stories we report on a weekly basis. We go where others are not willing to go, poking our noses where others believe is dangerous, trailing and dodging devious people and taking risks that might anger some individuals in this country.

But we do this because in our deepest hearts the truth is our calling. Most importantly we hold power to account be it state, corporate or social power and sometimes we do this better than others, but some times we don’t do it as thoroughly as we should.

We are not angels, and our fallibility as humans fails us like any other. We strive to improve with time, but like most efforts in life, our story is one of incremental progress, of two steps forward and one step back as we try to lay the groundwork for a responsible and free press.

About two weeks ago, some perpetrators tried to attack us unfairly, using so-called citizen journalism a new trend of journalism emboldened and unfettered by the freedom of the internet claiming that we have ceased to be journalists.

They say we are not writing as serious stories as some of us used to be a few years ago, a claim left unsubstantiated by either facts or figures.

Acting under the influence of the same individuals we have either angered or exposed with our credible coverage, these critics tried to paint an image that we at The Guardian on Sunday editorial team have diverted from our core objectives of practicing comprehensive journalism.

Their mission is to destroy the strong image that we have worked hard since we revamped and reorganised this newspaper two years ago.
But our readers know what we stand for, and the quality of stories we have covered in these past two years have been honoured by our fellow citizens and the international community alike.

European Union, which last year, through the panel of experts, voted for some of our stories as the best not only in Africa, but also in the world.

It should be noted that out of thousands stories received by the European Union panelists last year, The Guardian on Sunday’s stories on the spate of albino killings were voted the best of Africa beating out more than 400 other entries from over 100 newspapers, radio and TV stations.

This wasn’t just the work of an individual, but the result of a committed editorial team working under a clear and defined editorial policy as stated by The Guardian Ltd, our parent company. Not only that, but also over the past two years we have been receiving overwhelming feedback from our readers through emails, text messages and phone calls, praising us for the courage and journalism standards we have set at The Guardian on Sunday, and for our efforts to improve and address serious issues. Of course, there are those who are dismayed to see that we are exposing exploitation and injustice; but to us, this is merely an indication that our target has been hit, that we are doing our job effectively.

From exposing corruption to covering social stories, analysing complex issues to reporting international news, from informed opinions to lighthearted entertainment news, we at The Guardian on Sunday boast the strong commitment of a small but dedicated team that has made us the leader in weekend English newspapers and we shall soldier on because our morale and capability can’t be topped by the agents of evil or the enemies of truth.

We are ready to be judged fairly by our readers, but to our enemies we are not ready to succumb to their ill-conceived motives, and at the end we shall triumph strongly, because we are not fighting a losing battle but a winnable war.

We shall always welcome constructive criticism but we will not entertain gossip or propaganda. We are ready to be challenged with facts and figures, but we are not ready to be distracted from our core and noble duty of serving this country through our pens and camera lenses.

We shall continue to deal with issues, but not personalities. We are not after any individuals, but just with issues that affect this country and our world economically, politically and socially. We shall give the right to reply to both parties involved in our stories because to us objective reporting means giving both sides a listen.

We shall support our country when it comes to those pillars that unite us together locally and internationally.

We shall defend the principles of democracy, justice, equality and gender as clearly stated in our constitution. But we shall not support any cultism or sect movements, tribalism, or any forms of disunity.

We shall support this government in fighting corruption which is one of our biggest enemies. We shall support any move by the government to bring better living for Tanzanians, because at the end we are all fighting for a better life for ourselves and loved ones, albeit through very different courses.

But most importantly, we shall remain united and strong no matter how many storms we face or how many millions of unjustifiable attacks are directed to us.

SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY

My Take:
Give me a break. Is this the best you can do?
 
Back
Top Bottom