On Second Thought

Kwa jinsi ambavyo nimeisikia, Limbwata ni seriously uchafu na ushirikina. Ninavyoamini mimi, ukimfanyia mtu limbwata, atakupenda sana lakini utakua umemnyima haki yake ya kupenda kwa hiari. Mapenzi ya limbwata ni mapenzi ya kulazimisha. Kama ulienae mnapendana sana, hakuna haja ya limbwata. peaneni Natural love manake mapenzi ni Natural.
 
Where hav u been ma luv....heri ya mwaka mpya! Missed u bad!

nipo nipo ma luv kwa kjj, soon ntarudi kwa road....nakumic kwa sana tu love yaani cna maelezo ya kutosha....sasa luv unajua ukianza kwenda cjui kwa mganga kutafuta hayo mapenzi ya ziada ina maana unataka kugandana na mtu tu hapo kwa hapo jamani, yaani 0 distance? kuna kupeana hewa walaahh ni nn kumpa adhabu mtoto wa mwenzio labda umezidisha dozi anabaki analia akikuwaza, akijikuna anakuwaza wewe, hana analofikiria kichwani zaidi ya wewe...adhabu kali sana hii...tupeane nafac jamani!
 



si mpaka awepo hiyo jioni apate glasi ya juice, kila akitoka kazini mara kona bar, mara jj, mara baa mpya saa sita usiku unaamka kumpa juice kichwani ana ma voice of reason thubutu. Mimi naamini uchawi upo na limbwata ni uwanga tu tofauti we wawanga hadharani ukiwa umevaa nguo so limbwata lipo. kuhusu mapenzi huyo mke au mume ni lazima awe ni yule uliepangiwa na mungu ndio mtaishi kwa amani na milele lakini hawa wa kukurupukiana utafanya yote dena usemayo na bado atakutoka utabaki unashangaa tu.
 

Maty, mi limbwata naona kama ni uchoyo fulani hivi au ubinafsi hivi,
Naona kama ni hali fulani hivi ya kutojiamini kwa mpenzi ulienae!!!!!!!!
 

asante sana Mdoe, halafu mtu kama huyu nae atasema anapendwa wakati anajijua nafcn mwake anajidanganya sio pendo nachuro...haaa ctec mtoto wa mtu walaaah kama penzi limepinda limepinda tu!
 

hapo unakuta kuna sharti kwamba acwe amekunywa pombe akiwa amekunywa umeharibu dose, kwa cc wenye wanaume wanywji cjui tutatumia mbinu gani cku hiyo asionje hata mbege...khaa hii ni adhabu/kupotezeana muda tu.
 

Hapo ndo faida ya unywaji inapokuja,
unajikuta unaepukana na mambo mengi ati!!!!!!!!!
 

hivi lengo la hii limbwata cjui chutama ni kwamba mtu actoke nje au akupende wewe daima hata ukifukiwa kaburini?yaani awe wako wako tu akiona mwanamke mwingine amuone kama mwanaume mwenzie?
 
Maty, mi limbwata naona kama ni uchoyo fulani hivi au ubinafsi hivi,
Naona kama ni hali fulani hivi ya kutojiamini kwa mpenzi ulienae!!!!!!!!


Kabisa dearest mtu ampae mwenzie limbwata ni mchawi tena mwanga vitu vingine ukisikia wanavyolishwa watu utachoka nakwambia, kuna mmoja mganga alimlala eti anaingiza dawa akitoka hapo akalale na mumewe kukaa kaa kidogo akajihisi mjamzito akipiga mahesabu mimba ya mganga ikabidi azae hivyo hivyo ikawa kitanda akizai haramu, wakinababa watoto wengine mleao ni wakina karumanzila ndio maana unakuta mtoto mwingine anatabia za ajabu ajabu baba na mama mkijiuliza hampati jibu mnaishia kusema mapenzi ya mungu
 

Mkulu

Raha ya mapenzi ni kufurahi at a certain point of time na kuumia as well.

wewe unataka furaha wakati wote mama? hilo haliwezekani my love.Mwache mwenzako akupende toka moyoni , asiwe induced na kitu chochote.

Nitakupa historia kidogo,
Kuna mtu aligeuka kuwa chatu, chatu yule alipelekwa Buguruni Police Post , watu wakafika pale kumshangaa yule chatu, the good thing ni kwamba, yule chatu alikuwa hana madhara kwa binadamu.

Chanzo ni kwamba, yule chatu ni binadamu aliyegeuka chatu baada ya kuwekewa limbwata na mkewe.

Those were 1980's kipindi tunasoma magazeti ya MFANYAKAZI,UHURU,DAILY NEWS,SUNDAY NEWS na MZALENDO , kufungua Mzalendo jinsi lilivyokuwa kubwa, kama ni vi-hiace nyetu vya siku hizi duh..utasababisha usumbufu kwa abiria wenzako maana gazeti lile lilikuwa kubwa siyo mchezo..... duh kweli tumetoka mbali kama taifa...
 

Hane napenda ulivyokuwa korapted na lugha za kitekonlojia....:love:
Hili la kupeana nafasi ndo mapenzi yenyewe..sio ndio? Yaani kama unampenda hutamkaba sana...
 

pesa na utamu vyote wampa...mie ctaki kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…