mdoe
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 433
- 103
Kwa jinsi ambavyo nimeisikia, Limbwata ni seriously uchafu na ushirikina. Ninavyoamini mimi, ukimfanyia mtu limbwata, atakupenda sana lakini utakua umemnyima haki yake ya kupenda kwa hiari. Mapenzi ya limbwata ni mapenzi ya kulazimisha. Kama ulienae mnapendana sana, hakuna haja ya limbwata. peaneni Natural love manake mapenzi ni Natural.