On Second Thought

On Second Thought

Nadhani wanaume hawana limbwata....wana tego....
Hebu elezea hisia za mwanamke akigundua amewekewa tego...ni wazi kwamba atajua haaminiki....na kukiwa na hisia za kukosa uaminifu basi mapenzi yanaingia nyongo....
Marahaba mjukuu.......nimeishiwa kabisa ugoro....

Tego ndo lile la kugandisha baioloji za wakware mpaka mwenye umiliki halali wa baioloji atokee? Hebu nambieni linauzwa wapi, bibi yenu anahitaji ulinzi shirikishi.
 
Tego ndo lile la kugandisha baioloji za wakware mpaka mwenye umiliki halali wa baioloji atokee? Hebu nambieni linauzwa wapi, bibi yenu anahitaji ulinzi shirikishi.
Mwe!!.......labda uwekewe wewe Babu, bibi unamwonea/singizia
 
hehehehe!
mambo ya limbwata hayo bana dah!

hio second thought inaweza kuwa first thought any time,t (in seconds)....!moto wake huwa ni mubaya sana

sinaga imani sana na movies za kinaijeria,lakin impacts za hio second thought zimeiathiri sana jamii ya wale viumbe....!na wamelionyesha hilo kupitia movies zao

SO MWANAJAMIIONE,I BEG OOOOOOOOOOOOOOOOO
DON'T....!i say DON'T
ARE THEY WARNOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Mwe!!.......labda uwekewe wewe Babu, bibi unamwonea/singizia

Hivi tego si wanawekewa wanawake? Mi aniwekee limbwata nami namwekea tego....hapo inaitwa POLISI JAMII katika Ulinzi shirikishi.

Hebu nambie inakuwaje mwanaume aliyewekewa limbwata (nadhani atakuwa na wivu wa kufa mtu) Anapomkuta aliyemwekea limbwata baioloji yake imekamatika na mkware (kwa tego alilomwekea) Hakutakuwa na msiba hapo? - Samtaimz limbwata yaweza kusababisha KIFO. Say NO to Limbwata!!!
 
Tego ndo lile la kugandisha baioloji za wakware mpaka mwenye umiliki halali wa baioloji atokee? Hebu nambieni linauzwa wapi, bibi yenu anahitaji ulinzi shirikishi.

Hadi ufike uwanasue....pasiwedi unakua nayo wewe......
Sasa hebu imajini unawekewa wewe....kila unapotaka kufanya ukaguzi....stata haipigi...hadi kwa mwenyewe!
 
Hadi ufike uwananue....pasiwedi unakua nayo wewe......
Sasa hebu imajini unawekewa wewe....kila unapotaka kufanya ukaguzi....stata haipigi...hadi kwa mwenyewe!

Aisee!

hebu watu wote semeni:
NO to Limbwata!!
YES to Tego

Wakware wasitumegee mai waifu zetu.....
 
tego ndo lile la kugandisha baioloji za wakware mpaka mwenye umiliki halali wa baioloji atokee? Hebu nambieni linauzwa wapi, bibi yenu anahitaji ulinzi shirikishi.

itabid nami nilipate hili..lol
 
hehehehe!
mambo ya limbwata hayo bana dah!

hio second thought inaweza kuwa first thought any time,t (in seconds)....!moto wake huwa ni mubaya sana

sinaga imani sana na movies za kinaijeria,lakin impacts za hio second thought zimeiathiri sana jamii ya wale viumbe....!na wamelionyesha hilo kupitia movies zao

SO MWANAJAMIIONE,I BEG OOOOOOOOOOOOOOOOO
DON'T....!i say DON'T
ARE THEY WARNOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
.....Hahahah nimekuelewa kaka yangu worry not........I wont try it , mmbannu
 
Orait ....orait nimekuelewa Babu hasa hapo kwenye red ndo penyewe.

Mh Babu juzi tu nimekutumia wa mia tano ushamaliza? Au unamgaia na bibi?

haha hommie hapa 'natweet' kutoka uwanja wa mapambano,

safari hii, atakuwa special kwa ajili ya members wa isc na timu pinzani!
 
hadi ufike uwananue....pasiwedi unakua nayo wewe......
Sasa hebu imajini unawekewa wewe....kila unapotaka kufanya ukaguzi....stata haipigi...hadi kwa mwenyewe!

hii safi sana,ingepunguza infi.
 
Aisee!

hebu watu wote semeni:
NO to Limbwata!!
YES to Tego

Wakware wasitumegee mai waifu zetu.....

Tatizo akigundua si itakua umaisigina imani ya mapendo yenu?
Na siku ukinaswa wewe na tego........kanti imajin...
 
Tatizo akigundua si itakua umaisigina imani ya mapendo yenu?
Na siku ukinaswa wewe na tego........kanti imajin...
Mi najichekea tu hapa........... develop, develop, develop Babu yangu... elimisha jamii
 
Ndugu yangu pekee wa ukweli aliyebaki mzima wewe? habari yako banaaa!

kama unavoniöna! mimi mwenyewe! kama napaa! hangover kwa mbali, aluta continua! hbr yake ndugu yangu wa ukweli
 
Back
Top Bottom