Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Nadhani wanaume hawana limbwata....wana tego....
Hebu elezea hisia za mwanamke akigundua amewekewa tego...ni wazi kwamba atajua haaminiki....na kukiwa na hisia za kukosa uaminifu basi mapenzi yanaingia nyongo....
Marahaba mjukuu.......nimeishiwa kabisa ugoro....
Tego ndo lile la kugandisha baioloji za wakware mpaka mwenye umiliki halali wa baioloji atokee? Hebu nambieni linauzwa wapi, bibi yenu anahitaji ulinzi shirikishi.