Nadhani wanaume hawana limbwata....wana tego....
Hebu elezea hisia za mwanamke akigundua amewekewa tego...ni wazi kwamba atajua haaminiki....na kukiwa na hisia za kukosa uaminifu basi mapenzi yanaingia nyongo....
Marahaba mjukuu.......nimeishiwa kabisa ugoro....
Name calling..........you have been warnedTI haina mafuta ya kutosha kufika huko? BTW kwa mama Sande mbona unaenda kinyemela?
jamani jamani mwanajamiione.....!
i think you are going too far
Mwe!!.......labda uwekewe wewe Babu, bibi unamwonea/singiziaTego ndo lile la kugandisha baioloji za wakware mpaka mwenye umiliki halali wa baioloji atokee? Hebu nambieni linauzwa wapi, bibi yenu anahitaji ulinzi shirikishi.
Mwe!!.......labda uwekewe wewe Babu, bibi unamwonea/singizia
Tego ndo lile la kugandisha baioloji za wakware mpaka mwenye umiliki halali wa baioloji atokee? Hebu nambieni linauzwa wapi, bibi yenu anahitaji ulinzi shirikishi.
Hadi ufike uwananue....pasiwedi unakua nayo wewe......
Sasa hebu imajini unawekewa wewe....kila unapotaka kufanya ukaguzi....stata haipigi...hadi kwa mwenyewe!
tego ndo lile la kugandisha baioloji za wakware mpaka mwenye umiliki halali wa baioloji atokee? Hebu nambieni linauzwa wapi, bibi yenu anahitaji ulinzi shirikishi.
.....Hahahah nimekuelewa kaka yangu worry not........I wont try it , mmbannuhehehehe!
mambo ya limbwata hayo bana dah!
hio second thought inaweza kuwa first thought any time,t (in seconds)....!moto wake huwa ni mubaya sana
sinaga imani sana na movies za kinaijeria,lakin impacts za hio second thought zimeiathiri sana jamii ya wale viumbe....!na wamelionyesha hilo kupitia movies zao
SO MWANAJAMIIONE,I BEG OOOOOOOOOOOOOOOOO
DON'T....!i say DON'T
ARE THEY WARNOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Ndugu yangu pekee wa ukweli aliyebaki mzima wewe? habari yako banaaa!hahaha habari yake bana!
Duh!!Hadi ufike uwananue....pasiwedi unakua nayo wewe......
Sasa hebu imajini unawekewa wewe....kila unapotaka kufanya ukaguzi....stata haipigi...hadi kwa mwenyewe!
Orait ....orait nimekuelewa Babu hasa hapo kwenye red ndo penyewe.
Mh Babu juzi tu nimekutumia wa mia tano ushamaliza? Au unamgaia na bibi?
Aisee!
hebu watu wote semeni:
NO to Limbwata!!
YES to Tego
Wakware wasitumegee mai waifu zetu.....
hadi ufike uwananue....pasiwedi unakua nayo wewe......
Sasa hebu imajini unawekewa wewe....kila unapotaka kufanya ukaguzi....stata haipigi...hadi kwa mwenyewe!
Aisee!
hebu watu wote semeni:
NO to Limbwata!!
YES to Tego
Wakware wasitumegee mai waifu zetu.....
Aisee!
hebu watu wote semeni:
NO to Limbwata!!
YES to Tego
Wakware wasitumegee mai waifu zetu.....
Mi najichekea tu hapa........... develop, develop, develop Babu yangu... elimisha jamiiTatizo akigundua si itakua umaisigina imani ya mapendo yenu?
Na siku ukinaswa wewe na tego........kanti imajin...
Ndugu yangu pekee wa ukweli aliyebaki mzima wewe? habari yako banaaa!
Mi najichekea tu hapa........... develop, develop, develop Babu yangu... elimisha jamii