hahaha hommie usiombe huku usalule kulitokea ishu kama hiyoo yaani jamaa wameungana wakapelekwa hospitali ikashindikana mpaka mwenye alipoamua kurudi na kuwatenganisha...Tego ni Sooooo!
Na siku ukinaswa wewe na tego........kanti imajin...
Je usinga??hahaha hommie usiombe huku usalule kulitokea ishu kama hiyoo yaani jamaa wameungana wakapelekwa hospitali ikashindikana mpaka mwenye alipoamua kurudi na kuwatenganisha...Tego ni Sooooo!
Usinga ni ipi hiyoo? ni tofauti na Tego?Je usinga??
Yep.......... nia hasa na madhumuni ya ...on second thought ....ilikuwa ni kubainisha kuwaKwa hiyo tukubaliane kimoja sio? Hakuna limbwata....hakuna tego! Mapenzi iz nachuro!
Wapenzi wa JF...............Happy New Year kwenu wote
Was just thinking about Limbwata............ Kina kaka/dada on the second thought..hv mwanamke/mwanaume wako akikuwekea Limbwata kuna ubaya gani??........... kwa sababu si huwa hiyo inafanya kwa kuwa anakupenda sana? Yaani Mumeo/Mkeo/Mpenzi akikulimbwata lengo lake si ni kuwa na wewe milele.....and that means anakupenda sana (Why asimwekee Juma/Halima, George/Rose au mwingine??)
Kuwekewa Limbwata kwa nini kusichukuliwe kama vile vingine ambavyo mnaviaprove mkifanyiwa mf. Mwanadada/Kaka anapokuwa mbunifu ili tu akuwini uvutiwe naye kila siku na kubaki nae??.....
On the second thought.
Hapa nazungumzia kwa wale wenye mapenzi huru (i.e. mume/mke halali, mpenzi ambaye unatarajia kuoa/olewa).
Yep.......... nia hasa na madhumuni ya ...on second thought ....ilikuwa ni kubainisha kuwa
....... Wanaume wanajisikia vibaya sana juu ya limbwata, na katu hawaliafiki hata kidogo so sisi kama kina dada, si vema kuwafanyia limbwata watu tunaodai tunawapenda kwa sababu kama kweli unampenda huwezimfanyia kitu ambacho unajua kabisa kuwa akijajua atasikia vibaya na hapendi. Pili hakuna kitu kiitwacho Limbwata ya mapenzi na hiyo iitwayo limbwata la mapenzi si la mapenzi kweli bali la kuharibu na kujenga uadui na njia ya kutajirisha wanaojifanya waganga wa mapenzi.
So wito wangu kwa wadogo zangu na wale ambao wanayo bahati ya kupendwa...jiaminini na uzuri wa kujiamini unakuwa na hata uhuru wa kuwa mbunifu na kulifanya penzi lako kwa mwenzi wako kuwa jipya kila siku.
Wanaume pia wale wanaotumia limbwata na tego............wanawake mbona ni wepesi sana kutuhandle jamani? Kasema Babu Acid ...nyama ya ulimi tu inatosha.
Nawatakia kila la kheri katika mapenzi mwaka 2011.
The Following 2 Users Say Thank You to MwanajamiiOne For This Useful Post:Nawatakia kila la kheri katika mapenzi mwaka 2011.
Goodmorning Smiles....Am just around for you!!Dada yangu MJ1....your thoughts are very sincere! na upo right kabisa....
Lakinii hapo kuna wale ambao wanamuwekea mtu limbwata either: ili amkomoe yule aliye naye or
walikuwa na uhusiano...akauvunja kwa kudhani kuwa amepata ambaye ni sahihi zaidi, lakini baada ya muda
akagundua kule kwa mwanzo ndio palikuwa sahihi....hawezi kurudi coz hatakiwi tena! and the only solution remains....limbwata!
Hapo inakuwaje...eh my sis
Dada yangu MJ1....your thoughts are very sincere! na upo right kabisa....
Lakinii hapo kuna wale ambao wanamuwekea mtu limbwata either: ili amkomoe yule aliye naye or
walikuwa na uhusiano...akauvunja kwa kudhani kuwa amepata ambaye ni sahihi zaidi, lakini baada ya muda
akagundua kule kwa mwanzo ndio palikuwa sahihi....hawezi kurudi coz hatakiwi tena! and the only solution remains....limbwata!
Hapo inakuwaje...eh my sis
Goodmorning Smiles....Am just around for you!!
Me don't like Limbwata bana.
Aksante Babu yangu....Hata weye uwe na mwaka wa furaha kimapenzi 2011 na bibi yangu. Ongeza kilo moja ya nyama ya ulimi kwa Bibi mwaka huu...juu ya zile nyingine ulizokuwa unazitumiathe st. is in luv with this...blessed be MJ1...
Mydia..........thanx
Hii thread and the way nlivyoiandika nimeandika kimtego ili niwezepata mawazo yenu...it is not kuwa nashauri litumike la hasha.but ... si unajua sie walimu wa shule za msingi........swali lazima ulitwist ili umchanganye mwanafunzi??
All I can say.......NEVER EVER USE LIMBWATA..........SI KITU CHA KWELI KATIKA MAPENZI.
How would you feel kuwa unapendwa na mpenzio kwa nguvu ya dubwashana liitwalo Limbwata??!
hahaha hommie usiombe huku usalule kulitokea ishu kama hiyoo yaani jamaa wameungana wakapelekwa hospitali ikashindikana mpaka mwenye alipoamua kurudi na kuwatenganisha...Tego ni Sooooo!
Here we are Smiles let's say No to Limbwata!! (Wamelala ila bado kuna hii kabaila moja St. RR haitaki kabisa kusalimu amri tuifanyaje)Limbwata kwako my protector.....??
Not applicable kabisa......
Comes with a natural cause!!! (Pope na Babu wamelala bado....etii eeh!!)