ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Jioneeni wenyewe katika picha hii nimefika hapa takribani dakika 30 nasubiri foleni ya kupata huduma kwa bank teller.
Wamejenga teller 8 ajabu tano zipo tupu, waiting line/ que ni kubwa sana takriban watu 60 wengine wamekaa.
Kwanini inakuwa hivi, huyu meneja ana kazi gani? Teller 5 zipo tupu toka asubuhi, si wakodishe watu waweke hata mgahawa katika hizo tela tupu.
Mabenki yanaudhi watu wazi wazi, ifike mahala wakubali wabadilike.
Halafu sasa katika hayo mateller matatu, moja la mawakala wa simu tu, halafu hayo mawili anahudumia mteja mmoja wa foleni halafu vimemo vyake vitatu vya mkononi, so unakuta mnadhani anawahudumia nyie wa foleni kumbe anazo zake.