Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,858
- 14,733
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapo kumtrace aliyepiga picha ni rahis tu..
sishangai mateller watatu kati ya 8 kutoa huduma, nashangaa uliewezaje kupiga picha pale bank?[emoji52]
Sent using Jamii Forums mobile app
sishangai mateller watatu kati ya 8 kutoa huduma, nashangaa uliewezaje kupiga picha pale bank?[emoji52]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu za kiusalama hazikuruhusu kupiga picha sehemu kama hio ya bank. Mkija kubanawa baadae humu JF itoe taarifa zenu mfunguliwe mashtaka mnaanza kulalamika.
Kuna utaratibu wa kufuata hapo hapo ulipo haukua na haja ya kupiga picha, hapo bank kuna customer relations, kuna sanduku la maoni, kuna manager wa tawi pia.
Then wanamwambia.."We got you motherf.vcker"..hapo wakitaka kukudaka easy tu wanacheki cctv nyuma ya hao watu wanakuona wewe na Ki tekno chako unapiga pcha kisir sir
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari bila picha ni kama masai bila sime, haifai na hainogi!!!Sababu za kiusalama hazikuruhusu kupiga picha sehemu kama hio ya bank. Mkija kubanawa baadae humu JF itoe taarifa zenu mfunguliwe mashtaka mnaanza kulalamika.
Kuna utaratibu wa kufuata hapo hapo ulipo haukua na haja ya kupiga picha, hapo bank kuna customer relations, kuna sanduku la maoni, kuna manager wa tawi pia.
CRDB siku hizi ni madudu matupu, kuna muhudumu mmoja anakaa dawati la kuhudumia kadi zilizoisha muda wake, ni wa hovyo balaa, anakuhudumia huku yupo bize anachart na cm, ukiingia tawi la crdb Nyerere sq, upande wa kushoto, manager tumbua huyo mtuJioneeni wenyewe katika picha hii nimefika hapa takribani dakika 30 nasubiri foleni ya kupata huduma kwa bank teller.
Wamejenga teller 8 ajabu tano zipo tupu, waiting line/ que ni kubwa sana takriban watu 60 wengine wamekaa.
Kwanini inakuwa hivi, huyu meneja ana kazi gani? Teller 5 zipo tupu toka asubuhi, si wakodishe watu waweke hata mgahawa katika hizo tela tupu.
Mabenki yanaudhi watu wazi wazi, ifike mahala wakubali wabadilike.
Halafu sasa katika hayo mateller matatu, moja la mawakala wa simu tu, halafu hayo mawili anahudumia mteja mmoja wa foleni halafu vimemo vyake vitatu vya mkononi, so unakuta mnadhani anawahudumia nyie wa foleni kumbe anazo zake.
View attachment 1334020
Siku hizi kuna mawakala kila kona, hakuna haja ya kwenda kupanga foleni bank kwa ajili ya kuweka kudeposit. Labda kama mzigo mkubwa kiasi.
we jamaa uko nchi gani? Kwetu TZ ni jumamosi, hiyo jumapili ya wapi?Huyu jamaa hana lolote sijui alitaka leo Jumapili wamhudumieje?
kwanza km ana kadi aende nje, lkn kwa ndani madirisha yanatosha kabisa, hatachukua muda kuweka vijisenti vyake, km ana gunia hapangi foleni lipo dirisha maalum kwa wateja wa namna hiyo
sijajua lengo lake, maana CRDB dodoma ina matawi kibao, UDOM, Mazengo, Sokoni Majengo, IRDP
Lkn kushusha Mada kuwa dirisha hazifanyi kz ni kuwadhalilisha, huyo Teller anayekunywa supu Hajusha aendelee tu jamaa atadeposit ndani ya dk 1
Ubarinolutu
Ushwahai kuingia ikulu? Usiongee usivyo vijua,Ikulu ukifika kwanza simu vicoin vyako,vitu vyote ulivyobeba,vinawekwa kwenye kidroo kinapitishwa kwenye scanner baadaye wewe mwenyewe unapita kwenye Scanner kama bado una kitu chochote Cha chuma utarudia rudia weee mpaka wasisikie mlio wa alarm.Bank Ni eneo la kawaida tu acha ufala, hata ikulu picha zinaigwa, gugo utazionaView attachment 1334249View attachment 1334249View attachment 1334250
kumbe!!! maana TZ ni Nchi pekee maduka hayafunguliwi Jumamosi atiwe jamaa uko nchi gani? Kwetu TZ ni jumamosi, hiyo jumapili ya wapi?
Ushwahai kuingia ikulu? Usiongee usivyo vijua,Ikulu ukifika kwanza simu vicoin vyako,vitu vyote ulivyobeba,vinawekwa kwenye kidroo kinapitishwa kwenye scanner baadaye wewe mwenyewe unapita kwenye Scanner kama bado una kitu chochote Cha chuma utarudia rudia weee mpaka wasisikie mlio wa alarm.
Baada ya hapo unapewa vitu vyako simu unaiacha mapokezi.Sasa leta ujanja wako ndio utawajua WATU WASIOJULIKANA,ujanja wako fanya sehemu zote lkn sio ukulu utawapa tabu familia yako kwani kuna CCTV camera za kumwaga.
Hivi Tanzania hii bado watu wanapoteza muda kwenye foleni za bank kwaajili ya huduma za kifedha...!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha wanapiga kwa kibali maalum na kuna utaratibu wake wa kupiga picha,lkn sio ww utoke na simu yako ukapige picha ikulu,utapotezwa na wasiojulikana hawana masihala kama ww ulivyofanya bank husijaribu na husithubutu.Gugo utaona picha za ikulu, Sasa zimepatikanaje, acha ubwege, hakuna kitu Kama hicho
Dah..kwa teknolojia ya sasa hata JF haihitajiki....Kama akitakiwa dakika 0 tu wanamdaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sababu za kiusalama hazikuruhusu kupiga picha sehemu kama hio ya bank. Mkija kubanawa baadae humu JF itoe taarifa zenu mfunguliwe mashtaka mnaanza kulalamika.
Kuna utaratibu wa kufuata hapo hapo ulipo haukua na haja ya kupiga picha, hapo bank kuna customer relations, kuna sanduku la maoni, kuna manager wa tawi pia.
Ulipaswa kushukuru benki kuwa wazi JumapiliJioneeni wenyewe katika picha hii nimefika hapa takribani dakika 30 nasubiri foleni ya kupata huduma kwa bank teller.