Ona CRDB Dodoma aibu, teller wapo 8 halafu watatu tu ndio wanatoa hudumu kwingine kutupu

Ulipaswa kushukuru benki kuwa wazi Jumapili
Mkuu kumbe leo ni Jumamosi
na jamaa kaenda leo, akidhani ni sokoni, pale mlangoni tu pameandikwa ZIMA SIMU
humo ndani CCTV kibao, jamaa anatamba hawamuoni
subiria nimewasiliana na meneja, jamaa hafiki mbali labda aweke Ada ya shuke na kusepa
 
Asingeweka picha watu wangelaumu, ameweka picha japo riski watu bado wanalaumu
 
Mkuu kumbe leo ni Jumamosi
na jamaa kaenda leo, akidhani ni sokoni, pale mlangoni tu pameandikwa ZIMA SIMU
humo ndani CCTV kibao, jamaa anatamba hawamuoni
subiria nimewasiliana na meneja, jamaa hafiki mbali labda aweke Ada ya shuke na kusepa
Who is manager, I thought umewasiliana na RPC
 
Back
Top Bottom