Ona CRDB Dodoma aibu, teller wapo 8 halafu watatu tu ndio wanatoa hudumu kwingine kutupu

Ona CRDB Dodoma aibu, teller wapo 8 halafu watatu tu ndio wanatoa hudumu kwingine kutupu

Sababu za kiusalama hazikuruhusu kupiga picha sehemu kama hio ya bank. Mkija kubanawa baadae humu JF itoe taarifa zenu mfunguliwe mashtaka mnaanza kulalamika.
Kuna utaratibu wa kufuata hapo hapo ulipo haukua na haja ya kupiga picha, hapo bank kuna customer relations, kuna sanduku la maoni, kuna manager wa tawi pia.
Wewe unaishi kwenye Ujima!
 
Sababu za kiusalama hazikuruhusu kupiga picha sehemu kama hio ya bank. Mkija kubanawa baadae humu JF itoe taarifa zenu mfunguliwe mashtaka mnaanza kulalamika.
Kuna utaratibu wa kufuata hapo hapo ulipo haukua na haja ya kupiga picha, hapo bank kuna customer relations, kuna sanduku la maoni, kuna manager wa tawi pia.
Na hapo kumtrace aliyepiga picha ni rahis tu..
 
tusamehe kwa usumbufu, leo ni siku ya usafi mkuu wa mkoa amatuagiza tufagie lami ndiyo tunamalizia muda huu.
 
Mambo ya kusimama foleni benki yamepitwa na wakati,utaanguka bure
Kuna CRDB fahari,kuna moblie,ukishindwa njoo STANBIC hakuna foleni za kipuuzi
 
Jioneeni wenyewe katika picha hii nimefika hapa takribani dakika 30 nasubiri foleni ya kupata huduma kwa bank teller.

Wamejenga teller 8 ajabu tano zipo tupu, waiting line/ que ni kubwa sana takriban watu 60 wengine wamekaa.

Kwanini inakuwa hivi, huyu meneja ana kazi gani? Teller 5 zipo tupu toka asubuhi, si wakodishe watu waweke hata mgahawa katika hizo tela tupu.

Mabenki yanaudhi watu wazi wazi, ifike mahala wakubali wabadilike.

Halafu sasa katika hayo mateller matatu, moja la mawakala wa simu tu, halafu hayo mawili anahudumia mteja mmoja wa foleni halafu vimemo vyake vitatu vya mkononi, so unakuta mnadhani anawahudumia nyie wa foleni kumbe anazo zake.

View attachment 1334020
MKUU AWAKENGEE N WAKUHAMAAA NA.MBAYA MADEMU WENGI WAMEKUWA.N NDUGU AMA MAHUSIANO NA MABOSI WANATESAAA KINYAMAAAA SOLN N KUPUNGIZA WALIOKUWEPO NA KUAJORI UPYA WASAHAU MAZOEEAA
 
Mie huwa naenda benki ku renew kadi tu! Huduma nyingine namalizana na mawakala
 
Mkuu umeingia lini Tanzania mbona hio ndio modus operandi ya hili Taifa
 
Bora hao CRDB yasikukute yaliyonikuta BOA(Bank of Africa) nimefanya transaction kutoka account ya Bank via Mobile banking kwenda M-Pesa toka saa saba mchana tar 24 hadi leo tar 25 saa tisa hii pesa haijafika M-Pesa TZS 600,000, nikawapigia simu jana jioni simu ipo kwenye foleni kwa muda wa zaidi ya kd 40 na ukizingatia namba yao ya huduma kwa wateja sio bure kuipiga unakatwa bundle ulilojiunga, nimewafuata ofsini kwao hapa nasubiri sms ya kurudishiwa hiyo pesa kwenye account

ki ukweli wanakera sana, nimejaribu kuwaza ingekuwaje kama hiyo pesa ingekuwa naituma kwa mgonjwa sijapata jibu.
 
Back
Top Bottom