Ona CRDB Dodoma aibu, teller wapo 8 halafu watatu tu ndio wanatoa hudumu kwingine kutupu


Bank Ni eneo la kawaida tu acha ufala, hata ikulu picha zinaigwa, gugo utaziona
 
Habari bila picha ni kama masai bila sime, haifai na hainogi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CRDB siku hizi ni madudu matupu, kuna muhudumu mmoja anakaa dawati la kuhudumia kadi zilizoisha muda wake, ni wa hovyo balaa, anakuhudumia huku yupo bize anachart na cm, ukiingia tawi la crdb Nyerere sq, upande wa kushoto, manager tumbua huyo mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we jamaa uko nchi gani? Kwetu TZ ni jumamosi, hiyo jumapili ya wapi?
 
Bank Ni eneo la kawaida tu acha ufala, hata ikulu picha zinaigwa, gugo utazionaView attachment 1334249View attachment 1334249View attachment 1334250
Ushwahai kuingia ikulu? Usiongee usivyo vijua,Ikulu ukifika kwanza simu vicoin vyako,vitu vyote ulivyobeba,vinawekwa kwenye kidroo kinapitishwa kwenye scanner baadaye wewe mwenyewe unapita kwenye Scanner kama bado una kitu chochote Cha chuma utarudia rudia weee mpaka wasisikie mlio wa alarm.

Baada ya hapo unapewa vitu vyako simu unaiacha mapokezi.Sasa leta ujanja wako ndio utawajua WATU WASIOJULIKANA,ujanja wako fanya sehemu zote lkn sio ukulu utawapa tabu familia yako kwani kuna CCTV camera za kumwaga.
 
we jamaa uko nchi gani? Kwetu TZ ni jumamosi, hiyo jumapili ya wapi?
kumbe!!! maana TZ ni Nchi pekee maduka hayafunguliwi Jumamosi ati
basi kulikuwa hakuna haja ya kututumia picha wakati CRDB zote zilikuwa wazi na maajenti wao
mm nilifikiri ni Tawi moja tu la Kuu st ndio limemkwaza.
 

Gugo utaona picha za ikulu, Sasa zimepatikanaje, acha ubwege, hakuna kitu Kama hicho
 
Gugo utaona picha za ikulu, Sasa zimepatikanaje, acha ubwege, hakuna kitu Kama hicho
Picha wanapiga kwa kibali maalum na kuna utaratibu wake wa kupiga picha,lkn sio ww utoke na simu yako ukapige picha ikulu,utapotezwa na wasiojulikana hawana masihala kama ww ulivyofanya bank husijaribu na husithubutu.
 
Dah..kwa teknolojia ya sasa hata JF haihitajiki....Kama akitakiwa dakika 0 tu wanamdaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Ulipaswa kushukuru benki kuwa wazi Jumapili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…