Waislam wakiwa wengi kwenye nchi ama state yenye mamlaka, wale wasio waislam hunyanyaswa sababu nchi au state inageuka kuwa dola ya kiislam na kuwaona wasio waislam ni maadui wanaotakiwa kuangamizwa, hawapaswi kupewa haki zao kiimani, inabidi wafuate sheria za kiislam, n.k. wao huwaita "MAKAFIRI"
Ni nadra sana kukuta vinginevyo, mfano Senegal
Ndio maana hata waislam hukimbia nchi zenye dola ya kiislam kukimbilia nchi zenye uhuru wa kiimani hasa za kikristo, huko wataruhusiwa kujenga misikiti ilhali kwao hairuhusiwi kujenga makanisa, wataruhusiwa kuvaa kanzu na hijab ilhali kwao hulazimisha kila mtu kuvaa wanavyovaa, wataruhusiwa kula wakati wa mifungo ya kwaresma ilhali kwao ni lazima kila mtu afunge ramadan, wataruhusiwa kubadili dini ilhali kwao hakuna huo uhuru kuna ni kosa lenye adhabu kali sana, n.k.
ajabu wakifika huko wanaanza tena itikadi za kuifanya nchi hio iwe dola ya kiislam kama nchi walizozikimbia.
Kuna mdau aliweka uzi humu uislam ukijaa sehemu hauwezi ku co-exist na wasio waislam, sio maneno tu kaweka ushahidi wa kutosha