Ona jinsi wakristo wanavyoteseka nchini Nigeria na jeshi liko upande wa islamist

Ona jinsi wakristo wanavyoteseka nchini Nigeria na jeshi liko upande wa islamist

Habari ikiwa against nyie waislamu ni kibaraka wa Us sio?
Jamaa anatetea watu wa ukraine.
kwan ,hajujagundua tu iyo page ?

Hizi ni race mbili ,hautokuja kupata ukweli mpaka ufuate haki ...Umeleta taarifa ambao haina ukweli yaani unadanganya watu ili upate nn?

Hizo propaganda zipo tangu miaka ya 80's ila uislamu upo strong.
 
Upo strong kwa vile mkiua au kufanya uhalifu wenu lazima mseme allah akbar
 
Una akili kweli? Neno islamist au hutambui? Nigeria kuna udini mkubwa sana jeshi hilo ni sehemu ya serikali hao ni wanafunzi sa chuo ,hiko kijiji unasema ndio kipo targeted wakati ni wanafunzi wa campus 😂😂.

Wewe unakariri tu ujinga ,hiyo habari kaanza na neno islamist .
Garissa haikuwa target au ndo mara ya kwanza kusikia matukio ya hivyo ?
 
Back
Top Bottom