GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Wakina FaizaFoxy Accumen Mo na Ritz wanasema hayo ni makundi yaliyoundwa na Marekani!Je ni kweli dini yao ni ya amani kama wasemavyo wenyewe humu?
View: https://twitter.com/visegrad24/status/1781802292548673704?t=u-VrM9jzxIx-C2pXqt8iog&s=19
Ujinga kabisa
Mbona huo ni ugomvi wa kikabila ,mbona sio mahali na nigeria kama somalia hapako sawa miaka kibao.
Hiyo ni university campus ,achana na page za udaku hiyo taarifa ipo kabisa ...Hao majeruhi ni wanafunzi hakuna target ya wakristo mtakuja kupigana kwa ujinga wenu ..
It's a real hell!Je ni kweli dini yao ni ya amani kama wasemavyo wenyewe humu?
View: https://twitter.com/visegrad24/status/1781802292548673704?t=u-VrM9jzxIx-C2pXqt8iog&s=19
Jamaa hapo juu katokwa na povu zito kutetea ugaidi waoIt's a real hell!
Kuna Mstari mwembamba sana unaotenganisha Kati ya Uislam na Ugaidi.
Umeelewa hiyo habari hapo mwanzo au umepovuka tu kisa imetaja dini yako?Hiyo ni university campus ,achana na page za udaku hiyo taarifa ipo kabisa ...Hao majeruhi ni wanafunzi hakuna target ya wakristo mtakuja kupigana kwa ujinga wenu ..
Soma taarifa kamili acha kumeza chuki, chuki hakuna kitu utfanya maana uongo hauwezi kushinda milele...Nakuambia hawana mlengo wa kidini ila wanaoshambuliwa na jeshi la Fulani ni wanafunzi
Lawama zote kwa John.
Una akili kweli? Neno islamist au hutambui? Nigeria kuna udini mkubwa sana jeshi hilo ni sehemu ya serikali hao ni wanafunzi sa chuo ,hiko kijiji unasema ndio kipo targeted wakati ni wanafunzi wa campus ππ.Umeelewa hiyo habari hapo mwanzo au umepovuka tu kisa imetaja dini yako?
Hakuna huo mstari mwembambaIt's a real hell!
Kuna Mstari mwembamba sana unaotenganisha Kati ya Uislam na Ugaidi.
Hao ni tone tu la maji ktk kundi la waliokosa akili,kibaya wanaamini yupo Mungu atawapa mema kwa wanayoyafanya.
Kwani hao terrorist sio islam Au unaumwa tumbo la kuhara ugaidi wenu ukiwa wazi?Una akili kweli? Neno islamist au hutambui? Nigeria kuna udini mkubwa sana jeshi hilo ni sehemu ya serikali hao ni wanafunzi sa chuo ,hiko kijiji unasema ndio kipo targeted wakati ni wanafunzi wa campus ππ.
Wewe unakariri tu ujinga ,hiyo habari kaanza na neno islamist .
ππHiyo source ni propagandist wa US ,eti scandal ππ wakristo na waislamu wanauliwa na hilo ni jeshi sehemu ya serikali.Kwani hao terrorist sio islam Au unaumwa tumbo la kuhara ugaidi wenu ukiwa wazi?
Nguruwe mweusi
Hizo commet za mabot zinafanya hoja yako iwe relevant?ππHiyo source ni propagandist wa US ,eti scandal ππ wakristo na waislamu wanauliwa na hilo ni jeshi sehemu ya serikali.
Hizi propaganda tangu miaka ya 80's ,basi uislimu ungekufa ila ukweli utabaki pale pale..
Miaka kadhaa waliua watu hao wakadai ni mistake kama hapo
View attachment 2970146
View attachment 2970147
View attachment 2970144
Huyo aliyepost ni kibaraka wa US ,angalia hiyo paga yake...Hiyo page inajulikana uliona wapi wamesema wanaua waislamHizo commet za mabot zinafanya hoja yako iwe relevant?
Kumbe hujitambui