Ona jinsi wakristo wanavyoteseka nchini Nigeria na jeshi liko upande wa islamist

Habari ikiwa against nyie waislamu ni kibaraka wa Us sio?
Jamaa anatetea watu wa ukraine.
kwan ,hajujagundua tu iyo page ?

Hizi ni race mbili ,hautokuja kupata ukweli mpaka ufuate haki ...Umeleta taarifa ambao haina ukweli yaani unadanganya watu ili upate nn?

Hizo propaganda zipo tangu miaka ya 80's ila uislamu upo strong.
 
Upo strong kwa vile mkiua au kufanya uhalifu wenu lazima mseme allah akbar
 
Garissa haikuwa target au ndo mara ya kwanza kusikia matukio ya hivyo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…