Ona wanachonifanyia malaya kila nikiwachukua


Wengi wao wako hivyo kaka nami nimekutana nao ila nilibuni ujanja mapema na kukabuliana nao,kwanza tunapatana bei mapema na aina ya huduma nayotaka na muda qa huduma.
Tukikubaliana hapohapo namwambia kuwa akiwnda kufanya vinginevyo basi namfukuza na simlipi
Baadaye niliacha kuwachukua na sikuhizi nachukua wanafunzi wa vyuo au wanawake wanapfanyakazi maofisini
 
mwenzako.yuko kazini.....weye wataka kuremba kama mkeo......fanya yako uumpe nafasi mwenzio.......
 

Haki haipatikani mpaka kwa ncha ya upanga
 
Safi sana, tafuta wa kwako utulie! ww unadhan watakuridhisha hao? changu anakula dudu hata 10 kwa siku unataka ugande?
 

lara 1 pita huku ujibu tuhuma, wateja wanalalamika kwamba inakuwaje tena huwanga munafanya hivyo.
 
Last edited by a moderator:

Hahaaaa! jf raha sana.
 

Hili jukwaa ni la watu wazima hakuna mtoto hapa wa kufunzwa tabia mbaya. Ukiona hapa hapafai hamia fb ukaangalie picha za utupu. Au ulifikiri hapa ni kanisani au msikitini! Tuache kwa raha zetu.
 

Hapa intesion naona ilikuwa kutueleza uliwahi kuishi Masaki! Tumekusikia.
 


Nikiwa mwanafunzi enzi za Nyerere tulikuwa tunaishi Masaki, sisi ni wale wazazi walistaahafu na kurudisha funguo za watu.


so ww unaishi masaki na ni mama mtu mzima, au sijakupata vizuri??
 

Wewe nenda jukwaa la dini kule utakutana na walokole wenzako, hapa mambo ya msondo mwachie Gurumo.
 
Tafuta wa kuoana nae kijana, wacha uzinzi, ni njia mbaya na chafu.
 

Sasa ulitaka mkifika aanze kujibaraguza kama mkeo? mwenzio yupo kazini na sasa kama umelipia uduma ya short time sasa unatakaje? embu chukua wa kumwambia leo full day na sitaki papara kama unayekufa na mafuriko..
 
we kweli mzoefu!..hahahah

Ma.laya ukionyesha hela kwa usiku mzima unaweza kutamani uwe unaenda naye nyumbani

Lakini ukute toka asubuhi hajaingiza hela halafu wewe unaenda kuleta mapenzi ya kwenye por.no aaaaah lazima akuzingue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…