Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Easy peasy!Angetoka akaongea nao tena angekusanya mabango akapiga na picha ya pamoja na waandamanaji then game ingeishia hapo
Wewe ni yupi hapo mzee baba?
Hapo ingekuwa ni Tanzania hakuna ambaye angethubutu kumbebea mabango Rais.
Na angejitokeza aliye jasiri wa kufanya hivyo, angechezea kichapo ambacho asingekisahau.
Lione li Mwigulu linavyojifanya linyenyekevu. Usanii mtupu!
Ila heko kwa hao waandamanaji. Wamemfanya Samia ale kona.
Sasa sijui Samia anaogopa nini?
Anawaogopa Watanzania wenzie waliopo diaspora?
Angekuwa ni mtu anayejiamini angeongea nao awasikilize.
Hakuna kibaya walichokuwa wanakidai.
Shame on her and her handlers.
Sina muda wa kupoteza mimi.Wewe ni yupi hapo mzee baba?
Au ulijificha chini ya sofa?
kwi kwiWewe ni yupi hapo mzee baba?
Au ulijificha chini ya sofa?
Labda swaumu kaliAngetoka akaongea nao tena angekusanya mabango akapiga na picha ya pamoja na waandamanaji then game ingeishia hapo
Maccm yange chukua Sana, Kama yakivyo chukua Raisi alivyokutana na LISSU, na MBOWE alivyo tolewa Gerezani na kwenda Ikulu.Angetoka akaongea nao tena angekusanya mabango akapiga na picha ya pamoja na waandamanaji then game ingeishia hapo
Jamii ya Diaspora Tanzania ( isipokuwa Zanzibar) Ni useless bunch of hooligans.Wewe ni yupi hapo mzee baba?
Au ulijificha chini ya sofa?
Inaoenkana kuna kikundi Kinamuongoza Rais Wetu vibaya.
Hapo ingekuwa ni Tanzania hakuna ambaye angethubutu kumbebea mabango Rais.
Na angejitokeza aliye jasiri wa kufanya hivyo, angechezea kichapo ambacho asingekisahau.
Lione li Mwigulu linavyojifanya linyenyekevu. Usanii mtupu!
Ila heko kwa hao waandamanaji. Wamemfanya Samia ale kona.
Sasa sijui Samia anaogopa nini?
Anawaogopa Watanzania wenzie waliopo diaspora?
Angekuwa ni mtu anayejiamini angeongea nao awasikilize. Hakuna ambacho angepoteza. Sana sana angejizolea pointi za kisiasa.
Hakuna kibaya walichokuwa wanakidai.
Shame on her and her handlers.