Ona wanavyokuwa na adabu wakiwa nje ya nchi bila akina Sirro

Ona wanavyokuwa na adabu wakiwa nje ya nchi bila akina Sirro

Inaoenkana kuna kikundi Kinamuongoza Rais Wetu vibaya.

Hii ni aibu kwa taifa

Yaani kikundi kinamtisha Rais Samia aamini kuwa katiba Mpya ni tishio kwake

Hili la leo limeleta sura mbaya
Hata kuongea na kuwasikiliza Watanzania wenye maoni na mitazamo tofauti hakuna kilicho kibaya.

Pata picha kama hapo ingekuwa ni Tanzania….kuna watu wangeumizwa na vyombo vya dola!

Tunaongozwa na watu wasio na akili kabisa.
 
Hapo ingekuwa ni Tanzania hakuna ambaye angethubutu kumbebea mabango Rais.

Na angejitokeza aliye jasiri wa kufanya hivyo, angechezea kichapo ambacho asingekisahau.

Lione li Mwigulu linavyojifanya linyenyekevu. Usanii mtupu!

Ila heko kwa hao waandamanaji. Wamemfanya Samia ale kona.

Sasa sijui Samia anaogopa nini?

Anawaogopa Watanzania wenzie waliopo diaspora?

Angekuwa ni mtu anayejiamini angeongea nao awasikilize. Hakuna ambacho angepoteza. Sana sana angejizolea pointi za kisiasa.

Hakuna kibaya walichokuwa wanakidai.

Shame on her and her handlers.

Mie na shindwa kuwaelewa kabisa viongozi wetu. Kuwakimbia hao ndio kawapa nguvu zaidi. Kama ulivyosema angeenda kuwasikiliza na kuwaambia msimamo wake. Sijui wanaogopa nini. Ilikuwa opportunity nzuri sana kwake.
 
Mie na shindwa kuwaelewa kabisa viongozi wetu. Kuwakimbia hao ndio kawa nguvu zaidi. Kama ulivyosema angeenda kuwasikiliza na kuwaambia msimamo wake. Sijui wanaogopa nini. Ilikuwa opportunity nzuri sana kwake.
Mama Bado ana misimamo miwili. Sio muda mwafaka kuonesha msimamo upi kwa sasa.

Usimchukulie Poa Rais Samia.
 
Hata kuongea na kuwasikiliza Watanzania wenye maoni na mitazamo tofauti hakuna kilicho kibaya.

Pata picha kama hapo ingekuwa ni Tanzania….kuna watu wangeumizwa na vyombo vya dola!

Tunaongozwa na watu wasio na akili kabisa.
Afrika huku bado tuna shida sana. Nadhani wanajifunza. Wanavyotoka toka kwenda nje wanapata Elimu.
 
Hapo ndio watu wapate akili, ile kauli ya Samia juzi kuwa yupo tayari kutoa ushindi kwa upinzani kwa kutengeneza mazingira mazuri ya kisiasa ilikuwa ni usanii mtupu.

Huyu aliyeonesha uroho wa madaraka kwa kuwashughulikia "wapinzani" wake ndani ya serikali yake, na kuwasogeza karibu watoto wa marafiki zake kwa ajili ya ulinzi wake, hawezi kufanya hivyo.

Kitendo chake cha kukimbia hapo kinaonesha vile mind yake ilivyo, kwake mtu anayedai Katiba Mpya ni kama adui yake, ndio maana akampa Mbowe kesi ya uongo ili kumfunga mdomo.
 
Mie na shindwa kuwaelewa kabisa viongozi wetu. Kuwakimbia hao ndio kawapa nguvu zaidi. Kama ulivyosema angeenda kuwasikiliza na kuwaambia msimamo wake. Sijui wanaogopa nini. Ilikuwa opportunity nzuri sana kwake.
Instead of seizing the opportunity, she ran away from it!

Shaking my head!!
 
Lakini atakua kaogopa maswali kutoka kwa hao diaspora Mana hao watu ni intellectual na sio wanyonge wanajua Kila kitu na siasa zetu bongo ni uongouongo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo hao wlio kusanyika hapo ni wahuni wabeba maboksi ndio maana walikataliwa hata kuingia ukumbini, unawaingizaje wahuni/machokoraa ukumbini karibu na Rais.....
unajua makundi kama hayo wengi wao ni watumiaji wa madwa ya kulevya akili hazijawakaa sawa.
 
tatizo hao wlio kusanyika hapo ni wahuni wabeba maboksi ndio maana walikataliwa hata kuingia ukumbini, unawaingizaje wahuni/machokoraa ukumbini karibu na Rais.....
unajua makundi kama hayo wengi wao ni watumiaji wa madwa ya kulevya.
Ukumbi wao ulikuwa pale pale nje, angewapa japo dakika moja angeenda ndani.
 
CCM watu hatari yaani mnampitisha samia mwembe wa uani tena kwenye nchi za watu?Taifa kama marekani inaulinzi wa kila Kona mnampitisha mama uani hamwoni aibu ,yaani upuuzi wa Lumumba mnaupeleka U.S.A !!!Yaani nimeshangaa hata zuhura yunus amekopesha akili zake tumboni!
 
Back
Top Bottom