Ona wanavyokuwa na adabu wakiwa nje ya nchi bila akina Sirro

Ona wanavyokuwa na adabu wakiwa nje ya nchi bila akina Sirro

Nikajua cha maana kumbe wahuni na wabeba mabosk wamebeba mabango ya kuombea kazi mbuzi kweli waje huku bongo ndio tutawaamini kweli wazalendo sio wabeba mabosk tumemtuma kuja huko kwa kazi maalumu kufungua nchi na kuitangaza nchi
 
Diaspora njaa itawaua, hata pesa za kununua viatu hawana aisee.

Hivi sijui kaokota Dampo 🤣🤣🤣

IMG_20220424_181635.jpg
 
Mjinga unadhani watu wanawekeza kwenye kununua viatu.
Wamekeza kwenye Nini?

Maana Mimi najua Heche, Mbowe, Msigwa Sugu, Mnyika na Lissu Ni MATAJIRI WA KUTISHA.

Nyie Mateka wa Mbowe mnaambulia BANDO LA KUFYATUKIA MITANDAONI
 
Hapo ingekuwa ni Tanzania hakuna ambaye angethubutu kumbebea mabango Rais.

Na angejitokeza aliye jasiri wa kufanya hivyo, angechezea kichapo ambacho asingekisahau.

Lione li Mwigulu linavyojifanya linyenyekevu. Usanii mtupu!

Ila heko kwa hao waandamanaji. Wamemfanya Samia ale kona.

Sasa sijui Samia anaogopa nini?

Anawaogopa Watanzania wenzie waliopo diaspora?

Angekuwa ni mtu anayejiamini angeongea nao awasikilize. Hakuna ambacho angepoteza. Sana sana angejizolea pointi za kisiasa.

Hakuna kibaya walichokuwa wanakidai.

Shame on her and her handlers.

Najiuliza Mwigulu kilichompeleka huko ni kipi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pep
 
Back
Top Bottom