Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania bado Ni nchi nzuri mnooo na ndio maana watanzania walio wengi Ni wagumu sana kukimbia hapa nchini.
Nchi nyingi zenye Diaspora wengi Ni zile zenye HALI TETE ya Kimaisha na USALAMA Kama Nigeria, Ethiopia, DRC na SOMALIA.
Tanzania mtu anaweza kutoka Bukoba, akaenda Ruvuma huko akalala kwa mtu asiye mjua, akala, akaoga, akanya na akapewa shamba la kulima bure.
Na anaweza akaoa kabisa akaanzisha familia huko huko, na akagombra kabisa uongozi hata wa mtaa akapata huko huko.
Suala hili huwezi kuliona hata Hapo Kenya.
Na ndio maana, Kutokana na mteremko wa Maisha ulivyo hapa bongo, watanzania wengi wakiendaga huko Ng'ambo Maisha huwa YANAWASHINDA.
K
Kadanganye wajinga wenzio kwenye vijiwe vya CHADEMA huu utoto
Ulaya siyo Tanzania, na Hakuna ulazima wa kuiga kila Ulaya...ulaya matajiri wanakula kabichi na mbogamboga sasa nyinyi washamba na walafi wa Ccm mkiwaona mnadhani wamefilisika.
Naunga mkono hoja, Kwa vile ziara za ughaibuni bado ni nyingi zinakuja, September mwishoni na October Mwanzoni Mama anakuja tena US kwenye UNGA, sisi akina kajambanani, washauri wa bure wa huku mitandaoni, tutamshauri, hana sababu ya kuogopa lolote. Tutamshauri aige baadhi ya tabia nzuri za JK na JPM, kwenye ziara, likitokea jambo ambalo halimo kwenye ratiba, avunje ratiba aliruhusu.Angekuwa ni mtu anayejiamini angeongea nao awasikilize. Hakuna ambacho angepoteza. Sana sana angejizolea pointi za kisiasa.
Hakuna kibaya walichokuwa wanakidai.
Pumzika kwanzaEti mteremko?? huko kwenye TOZO ??? au unadhani hatuoni nyuzi za malalamiko maisha kuwa magumu Tanzania kila siku zinavyokwenda???
Kutembelea mtu, uoge ??? hili ndio umeona la muhimu kiasi Diaspora warudi Tanzania sababu kuna watu wako tayari kuwapa huduma ya kuoga,hahahahahaa kwanza, huko Udiasporani maji yapo 24/7 huwezi ukaweka safari kwenda kwa mtu hujaoga.....na sioni kama hili ni la muhimu,,,,
Watanzania kukimbia nchi hawawezi??? wewe endelea kujidanganya,..Leo pita mahali uwaambie watu kuna VIsa za USA?UK uone kama hawatajipanga maelfu na maelfu.......Kwanza ushapitia balozi zao uone watu walivyo desperate kuikimbia nchi
NI kweli watu wengi wanaotoka nchi zenye hali tete wapo Udiasporani, but that shows ukarimu wa nchi hizi, naona unaji contradict mwenyewe.....
Pumzika kwanza
Ulaya siyo Tanzania, na Hakuna ulazima wa kuiga kila Ulaya.
Ulaya Kuna Pizza na Burger.
Africa Kuna Ugali.
Get used to it.
LOoooh, mkuu 'Arovera', hii kitu ulijifunziaga wapi?Angetoka akaongea nao tena angekusanya mabango akapiga na picha ya pamoja na waandamanaji then game ingeishia hapo
Huyo jamaa yuko tayari hata kuua mtu Ili mradi ccm itangazwe mshindi kmmk!Mwigulu ni gunia la mavi. A demon in human form.
Akiwa uzunguni kumbe ananywea kama kifaranga cha kuku chenye mdondo.
Jitu hopeless kabisa!
Tufyiiakwaa!
Shiiiii, Rais alikufa mwaka jana!Rais anakwepa maandamano ya watu 20?
Hapo ingekuwa ni Tanzania hakuna ambaye angethubutu kumbebea mabango Rais.
Na angejitokeza aliye jasiri wa kufanya hivyo, angechezea kichapo ambacho asingekisahau.
Lione li Mwigulu linavyojifanya linyenyekevu. Usanii mtupu!
Ila heko kwa hao waandamanaji. Wamemfanya Samia ale kona.
Sasa sijui Samia anaogopa nini?
Anawaogopa Watanzania wenzie waliopo diaspora?
Angekuwa ni mtu anayejiamini angeongea nao awasikilize. Hakuna ambacho angepoteza. Sana sana angejizolea pointi za kisiasa.
Hakuna kibaya walichokuwa wanakidai.
Shame on her and her handlers.
Rais anakwepa maandamano ya watu 20?
Nyani Ngabu huyo Hapo 👇👇👇
Hii nchi Ni vituko tu, iwe bongo au Diaspora. Na wengi wamechokaaaaaaaa
View attachment 2199146
We can do better than ‘huyu ni heri kuliko Magu’.Blazaaa heri huyu kuliko Magu.
Kwaiyo Nyerere, Ali Hassan, Mkapa, Kikwete na Magufuli tu ndio waliokuwa na sifa za kuwa Rais. Acheni roho nyeusi watanganyika. Alipowekwa John mlisema chaguo la Mungu kwaiyo Samia kwa yote yaliotokea ni chaguo baya la Mungu si ndioShe’s an empty suit!
Ni Rais kutokana na circumstances tu.
Hana kabisa uwezo wa kuwa Rais na kwenye mchujo wa urais hata 10 bora asingepita!!
Ulinzi anao pale pia.Anajiamini anapokuwa na vyombo vya dola. Hayo ndio mambo yalimfanya Magufuli asitamani kwenda ulaya kabisa. Wao wanataka mahali wamezungukwa na vyombo vya dola waanze kuongea kwa vitisho kuficha udhaifu wao. Na ukizingatia wako madarakani kwa wizi wa kura ndio inakuwa tatizo kubwa.