Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Yaani watanzania nyie mbingu wataisikia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huo mstari wa mwisho nimecheka balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani watanzania nyie mbingu wataisikia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huo mstari wa mwisho nimecheka balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lile la Royal Toure nn mkuu. Kila nikikutana nalo kwenye picha au clip najipiga kibao Kwa hasiraMama anaupiga mwingi ndani ya ushungi.
Ametokomea kusikojulikana kwa spidi ya radi. Amekula kona (si ajabu alienda kujibanza kwa lile lizungu lake).
Hili libibi hata sio president material. Tunajilazimisha tu.
Hapo ingekuwa ni Tanzania hakuna ambaye angethubutu kumbebea mabango Rais.
Na angejitokeza aliye jasiri wa kufanya hivyo, angechezea kichapo ambacho asingekisahau.
Lione li Mwigulu linavyojifanya linyenyekevu. Usanii mtupu!
Ila heko kwa hao waandamanaji. Wamemfanya Samia ale kona.
Sasa sijui Samia anaogopa nini?
Anawaogopa Watanzania wenzie waliopo diaspora?
Angekuwa ni mtu anayejiamini angeongea nao awasikilize. Hakuna ambacho angepoteza. Sana sana angejizolea pointi za kisiasa.
Hakuna kibaya walichokuwa wanakidai.
Shame on her and her handlers.
Hii nayo ni hoja?Jamii ya Diaspora Tanzania ( isipokuwa Zanzibar) Ni useless bunch of hooligans.
Hakuna mtu wua maana huko.
Ndio maana Maisha magumu na hali mbayaaaaa mpaka wanaolewa huko, na wengine wanaishia mitandaoni kupotea siku.
Mkuu Kalamu1 , formula ya ushindi wa uchaguzi Mkuu wetu ni simple majority, ambapo the winner takes it all. Mshindi anakuwa ameshinda wote ameshinda zote, uwe ulimchagua, hukumchagua, au hukupiga kura kabisa, utakatwa kodi yako utake usitake, na Kodi hiyo, itatumika kumlipa mshahara rais wako.Usichanganye.
Ulimpigia kura lini huyu!
Tatizo kodi zetu😬😬😬Kushangaa mjini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapo tuwatembelea nazo akina Rihanna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo kodi zetu[emoji51][emoji51][emoji51]
Naunga mkono hoja, Kwa vile ziara za ughaibuni bado ni nyingi zinakuja, September mwishoni na October Mwanzoni Mama anakuja tena US kwenye UNGA, sisi akina kajambanani, washauri wa bure wa huku mitataoni, tutamshauri, hana sababu ya kuogopa lolote. Tutamshauri aige baadhi ya tabia nzuri za JK na JPM, kwenye ziara, likitokea jambo ambalo halimo kwenye ratiba, avunje ratiba aliruhusu.
Na wana diaspora wa upinzani, kama mna hoja za kweli na mna nia ya maandamano, pangeni maandamano rasmi, ujulisheni ubalozi, onyesheni mabango neat, sio ule uchafu, kuweni na wasemaji rasmi, fanyeni uhamasishaji, Mama hana problem yoyote kuwaona, kama amenikaribisha Mbowe Ikulu, what about you?. Japo rais ni kiongozi wetu mkubwa, ni mtumishi wetu, sisi Wananchi wa Tanzania ndio mabosi wake, tuliomuajiri kwa kura zetu na tunaomlipa mshahara kwa kodi zetu hivyo lazima atusikilize.
P
Team roho mbaya walichukia mno.Maccm yange chukua Sana,Kama yakivyo chukua Raisi alivyokutana na LISSU,na MBOWE alivyo tolewa Gerezani na kwenda Ikulu.
Kitendo cha kumpitisha Rais milango inayoingiza stationery na mizigo ya ubalozi ni dhalili kubwa sana! Hivi Rias angeparuriwa na Racoon kutokana kwenye 'garbage bin' tungeeleza nini ulimwengu!Easy peasy!
Sasa nasikia amekula kona kupitia mlango wa uani 🤣🤣.
Anaogopa nini?
So insecure.
Kwanini unataka kuaminisha watu kwamba Diaspora ni wapinzani?Naunga mkono hoja, Kwa vile ziara za ughaibuni bado ni nyingi zinakuja, September mwishoni na October Mwanzoni Mama anakuja tena US kwenye UNGA, sisi akina kajambanani, washauri wa bure wa huku mitataoni, tutamshauri, hana sababu ya kuogopa lolote. Tutamshauri aige baadhi ya tabia nzuri za JK na JPM, kwenye ziara, likitokea jambo ambalo halimo kwenye ratiba, avunje ratiba aliruhusu.
Na wana diaspora wa upinzani, kama mna hoja za kweli na mna nia ya maandamano, pangeni maandamano rasmi, ujulisheni ubalozi, onyesheni mabango neat, sio ule uchafu, kuweni na wasemaji rasmi, fanyeni uhamasishaji, Mama hana problem yoyote kuwaona, kama amenikaribisha Mbowe Ikulu, what about you?. Japo rais ni kiongozi wetu mkubwa, ni mtumishi wetu, sisi Wananchi wa Tanzania ndio mabosi wake, tuliomuajiri kwa kura zetu na tunaomlipa mshahara kwa kodi zetu hivyo lazima atusikilize.
P
Kupitia maoni kama haya atajifunza.Kitendo cha kumpitisha Rais milango inayoingiza stationery na mizigo ya ubalozi ni dhalili kubwa sana! Hivi Rias angeparuriwa na Racoon kutokana kwenye 'garbage bin' tungeeleza nini ulimwengu!
Rais angeweza kupita tu mbele yao bila kusema neno! ingemjengea heshima sana.
Kupita uani dah!
JokaKuu
Hata kuongea na kuwasikiliza Watanzania wenye maoni na mitazamo tofauti hakuna kilicho kibaya.
Pata picha kama hapo ingekuwa ni Tanzania….kuna watu wangeumizwa na vyombo vya dola!
Tunaongozwa na watu wasio na akili kabisa.
Safi sana Diaspora kwa kutuwakilisha vizuri huko ughaibuni. Naamini watawala wetu wamejifunza kitu. Maana huku kwetu wamejigeuza kuwa miungu watu.
Ukijaribu kuwakosoa kwa namna yoyote ile, basi lazima ushughulikiwe ipasavyo.
Umekosa heshima na utu kwa rais alafu unataka wema kutoka kwa rais huyohuyo.Mama anaupiga mwingi ndani ya ushungi.
Ametokomea kusikojulikana kwa spidi ya radi. Amekula kona (si ajabu alienda kujibanza kwa lile lizungu lake).
Hili libibi hata sio president material. Tunajilazimisha tu.
Ninakuhakikishia alikuwa na nafasi mbili muhimu sanaKupitia maoni kama haya atajifunza.
Walimkurupusha. Pita huku pita huku. CCM wanaendeleza chuki zao hadi ughaibuni.