Ona wanavyokuwa na adabu wakiwa nje ya nchi bila akina Sirro

Ona wanavyokuwa na adabu wakiwa nje ya nchi bila akina Sirro

MSISAHAU KUWAPOKEA SIMBA SC KESHO JAMANI WAJIITAIDIII
 
Kweli Rais kazingua Sana hapo kama angewasikiliza angepata heshima kubwa Sana kama mtu anayetetea demokrasia,waliomshauri kula Kona wamemhalibia pakubwa sana ,ingempa political booster kama angewasikiliza na kuongea nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Rais apoteze muda kusikiliza hao wehu ili iweje? Hao ni wapuuzi tu kama wapuuzi wengine!
 
Hapo ingekuwa ni Tanzania hakuna ambaye angethubutu kumbebea mabango Rais.

Na angejitokeza aliye jasiri wa kufanya hivyo, angechezea kichapo ambacho asingekisahau.

Lione li Mwigulu linavyojifanya linyenyekevu. Usanii mtupu!

Ila heko kwa hao waandamanaji. Wamemfanya Samia ale kona.

Sasa sijui Samia anaogopa nini?

Anawaogopa Watanzania wenzie waliopo diaspora?

Angekuwa ni mtu anayejiamini angeongea nao awasikilize. Hakuna ambacho angepoteza. Sana sana angejizolea pointi za kisiasa.

Hakuna kibaya walichokuwa wanakidai.

Shame on her and her handlers.

Hapa kwa mara ya kwanza nakuunga mkono
 
Mkuu kwanini unapenda kusema uongo? Nani alimpigia kura Rais Samia?
Heshima ni kitu cha bure, watu na heshima zetu kutuita waongo, sio heshima!.

Watanzania wote waliompigia kura JPM ni walimchagua JPM na Samia!.
P
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mama anaupiga mwingi ndani ya ushungi.

Ametokomea kusikojulikana kwa spidi ya radi. Amekula kona (si ajabu alienda kujibanza kwa lile lizungu lake).

Hili libibi hata sio president material. Tunajilazimisha tu.
Comment yako inasikitisha sana, imekosa hekima na busara! 🙏🙏🙏
 
Mwigulu ni gunia la mavi. A demon in human form.

Akiwa uzunguni kumbe ananywea kama kifaranga cha kuku chenye mdondo.

Jitu hopeless kabisa!

Tufyiiakwaa!
Sijui alipewaje wizara nyeti vile, akiwa home affairs watu wakiwa wanakotwa kwenye viloba alipoulizwa alijibu ni wahamiaji haramu .kutoka hapo hyo jamaa namuonaga hamnazo kabsaa.
 
Hapo ingekuwa ni Tanzania hakuna ambaye angethubutu kumbebea mabango Rais.

Na angejitokeza aliye jasiri wa kufanya hivyo, angechezea kichapo ambacho asingekisahau.

Lione li Mwigulu linavyojifanya linyenyekevu. Usanii mtupu!

Ila heko kwa hao waandamanaji. Wamemfanya Samia ale kona.

Sasa sijui Samia anaogopa nini?

Anawaogopa Watanzania wenzie waliopo diaspora?

Angekuwa ni mtu anayejiamini angeongea nao awasikilize. Hakuna ambacho angepoteza. Sana sana angejizolea pointi za kisiasa.

Hakuna kibaya walichokuwa wanakidai.

Shame on her and her handlers.

Akiwa nje, jukumu la ulinzi wake liko mikononi mwa nchi husika. Kwa US ni kitengo kinaitwa Secret Service. Wao ndio wanaamua kama inafaa kuwa mahali alipo kwa wakati huo wankiona haifai hata kama yeye anataka haiwezekani aslan.
 
Ms Mamuya ndio msemaji wa Rais au! 😀 eti asije akachomwa kisu.

Hongereni Diaspora angalau mmeweza kupeleka jumbe za mabadiliko.
 
Kwamba walichofanya hao wazalendo ni kupoteza muda? Mbona umetumia muda wako kuandika habari za waliopoteza muda?
Huyo ni debe tupu anayeendeshwa na ukabila.Kama yeye zumbukuku kaona wanapoteza muda na yeye ni zumbukuku tu itakuja kuwa Rais wa Nchi?
 
Hapo ingekuwa ni Tanzania hakuna ambaye angethubutu kumbebea mabango Rais.

Na angejitokeza aliye jasiri wa kufanya hivyo, angechezea kichapo ambacho asingekisahau.

Lione li Mwigulu linavyojifanya linyenyekevu. Usanii mtupu!

Ila heko kwa hao waandamanaji. Wamemfanya Samia ale kona.

Sasa sijui Samia anaogopa nini?

Anawaogopa Watanzania wenzie waliopo diaspora?

Angekuwa ni mtu anayejiamini angeongea nao awasikilize. Hakuna ambacho angepoteza. Sana sana angejizolea pointi za kisiasa.

Hakuna kibaya walichokuwa wanakidai.

Shame on her and her handlers.

Mama wasawasi
 
Ikifikia hoja zikabadilika kuwa matusi jua upeo wa kufikiri umefikia mwisho na ujinga umechukua nafasi yake.
Kuna haja gani ya kutukana hoja hujibiwa kwa hoja.Kama joto limezidi jikoni toka nje upate ubaridi.
Huwezi joto la kulumbana bakia huko huko usilete hoja JF.
 
Mkuu Kalamu1 , formula ya ushindi wa uchaguzi Mkuu wetu ni simple majority, ambapo the winner takes it all. Mshindi anakuwa ameshinda wote ameshinda zote, uwe ulimchagua, hukumchagua, au hukupiga kura kabisa, utakatwa kodi yako utake usitake, na Kodi hiyo, itatumika kumlipa mshahara rais wako.
P
You're missing the point.

Rais huyu hajawahi kupigiwa kura na yeyote, hata ile kura ya wizi hajawahi kuipata.
 
Yule mzungu mliyembebesha bango la katiba mpya mlimlipa dola ngap
 
Back
Top Bottom