MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
CHUKI, WIVU, NJAA na UJINGA vimekutafuna sanaKwakuwa ww ni mshamba uliyeko serekalini, unadhani mtu mwenye hali nzuri ni lazima avae Suit!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHUKI, WIVU, NJAA na UJINGA vimekutafuna sanaKwakuwa ww ni mshamba uliyeko serekalini, unadhani mtu mwenye hali nzuri ni lazima avae Suit!
Yeah, lakini siyo kama ule wa vitisho kama akiwapo nyumbani.Ulinzi anao pale pia.
Hata Magufuli tukiacha ushabiki pembeni, hakuwa na sifa za kuwa Rais.Kwaiyo Nyerere, Ali Hassan, Mkapa, Kikwete na Magufuli tu ndio waliokuwa na sifa za kuwa Rais. Acheni roho nyeusi watanganyika. Alipowekwa John mlisema chaguo la Mungu kwaiyo Samia kwa yote yaliotokea ni chaguo baya la Mungu si ndio
Nikajua cha maana kumbe wahuni na wabeba mabosk wamebeba mabango ya kuombea kazi mbuzi kweli waje huku bongo ndio tutawaamini kweli wazalendo sio wabeba mabosk tumemtuma kuja huko kwa kazi maalumu kufungua nchi na kuitangaza nchi
Rais anaweza kukifanya chochote akitaka, as long as una hold passport ya Tanzania.Yeah, lakini siyo kama ule wa vitisho kama akiwapo nyumbani.
Halafu, huku unyamwezini hao walinzi wake hawawezi kufanya uonevu wowote ule.
Na sidhani kama kuna mwana-diaspora atakayekubali kuonewa kiboya kama ambavyo Watanzania waliopo nyumbani wanavyoonewa.
Ulinzi anao pale pia.
Rais anaweza kukifanya chochote akitaka, as long as una hold passport ya Tanzania.
Unaweza kuingia ubalaozini usitoke, Kama Kashoggi na ikawa imeisha hiyo.
Sema tu ukiwa Rais wa watu Milioni 60 unajua tu, Majuha hayakosekani unaamua kupotezea tu.
Kagame huyo hapo anafuatilia wabaya wake mpaka hoteli za huko Ng'ambo anaua.
Rais hawezi kunifanya chochote anachotaka.Rais anaweza kukifanya chochote akitaka, as long as una hold passport ya Tanzania.
Unaweza kuingia ubalaozini usitoke, Kama Kashoggi na ikawa imeisha hiyo.
Sema tu ukiwa Rais wa watu Milioni 60 unajua tu, Majuha hayakosekani unaamua kupotezea tu.
Kagame huyo hapo anafuatilia wabaya wake mpaka hoteli za huko Ng'ambo anaua.
Hata Magufuli tukiacha ushabiki pembeni, hakuwa na sifa za kuwa Rais.
SawaRais hawezi kunifanya chochote anachotaka.
Hana mamlaka hayo.
Nilikuwa na maanisha ulinzi anao wa kuwasikiliza wanachosema bila kuogopa kupigwa kibao.Yeah, lakini siyo kama ule wa vitisho kama akiwapo nyumbani.
Halafu, huku unyamwezini hao walinzi wake hawawezi kufanya uonevu wowote ule.
Na sidhani kama kuna mwana-diaspora atakayekubali kuonewa kiboya kama ambavyo Watanzania waliopo nyumbani wanavyoonewa.
Wewe ukiingia ubalaozini Nani atajua usipotoka?Tanzania haina ubavu wa kukufanya chochote ukiwa nchi za ulaya magharibi. Labda ukiwa nchi zenye mitazamo ya kijamii kama China, Russia and the likes.
Hapo watalaumiwa wasaidizi wake.Nilikuwa na maanisha ulinzi anao wa kuwasikiliza wanachosema bila kuogopa kupigwa kibao.
Manake sijaelewa kwanini kapitishwa mlango wa nyuma wakati angevuka tu barabara pale na kuingia ukumbini huku jamaa wanapiga kelele zao.
Dah!..watakuwa wanatushangaa na kumuona Raisi wetu ni kituko.
..kumpitisha Raisi uani ni jambo la hatari sana kwa usalama wake.
..huko uani ndiko kuliko na jiko, ndiko ziliko stoo za hoteli, eneo la kufua nguo, eneo la kupokea mizigo, na ndipo vilipo vyoo vya wafanyakazi.
..Ni eneo ambalo wageni wa hoteli hawatakiwi kufika, sembuse Raisi wa nchi.
..Waliofanya hivyo wamemuaibisha Raisi, na zaidi wamehatarisha usalama wake.
Inafikirisha...Ni eneo ambalo wageni wa hoteli hawatakiwi kufika, sembuse Raisi wa nchi.
Hayo unayoyaeleza hapa ni ya ziada. Walichofanikiwa wakiwa hapo nje, katika ukumbi huo ni kikubwa zaidi ya huo ukumbi wa ndani.Naona wanalalamika wamekataliwa kuingia ndani na ma Tshirt yao. Na wao kukaa kote Marekani hawajui jinsi ma-heckler wanaingiaje ukumbini kufikisha ujumbe wao?
Wengine wangeingia ndani. Wange vaa mavazi ya heshima kuandamana sio lazima uonekane mchafu mchafu ndio ujumbe ufike. Wengi wanafikiri kuandamana lazima uonekane kama chizi.
Wangevaa vizuri ata suti, kati kati ya mkutano mmoja anasimama anatoa ujumbe wake wana mtoa nje. Baada dakika kumi mwingine ana simama hivyo hivyo tu ujumbe unafika.
Sema wakitolewa nje wasigome hapo ndio sheria haikulindi utakamatwa.
Hivi ni kweli huelewi unayoelezwa hapo, au ni kujikosha tu!K
Kadanganye wajinga wenzio kwenye vijiwe vya CHADEMA huu utoto
Usichanganye.Mbowe Ikulu, what about you?. Japo rais ni kiongozi wetu mkubwa, ni mtumishi wetu, sisi Wananchi wa Tanzania ndio mabosi wake, tuliomuajiri kwa kura zetu na tunaomlipa mshahara kwa kodi zetu hivyo lazima atusikilize.
Kushangaa mjini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najiuliza Mwigulu kilichompeleka huko ni kipi?