Ona wanavyokuwa na adabu wakiwa nje ya nchi bila akina Sirro

Ona wanavyokuwa na adabu wakiwa nje ya nchi bila akina Sirro

Ushasema ni ardhi ya watu yenye sheria na taratibu zake..lazima uziishi na kuzifuata ili kulinda diplomasia..

Mwenye amri hapo ni Biden na watu wake sio Samia na watu wake.

Lakini tujifunze pia, demokrasia ya USA haiwezi kuwa demokrasia ya Tanzania...
 
Jamii ya Diaspora Tanzania ( isipokuwa Zanzibar) Ni useless bunch of hooligans.

Hakuna mtu wua maana huko.

Ndio maana Maisha magumu na hali mbayaaaaa mpaka wanaolewa huko, na wengine wanaishia mitandaoni kupotea siku.
Ukiongea Tanzania manake zenji ipo humo..kaa kutulia wewe.

#MaendeleoHayanaChama
 
raisi anakimbia vijikaratasi kweli. CCM imelea watu dhaifu sana sana. Ndio maana huku wanajibu hoja kwa bunduki
 
Hata kuongea na kuwasikiliza Watanzania wenye maoni na mitazamo tofauti hakuna kilicho kibaya.

Pata picha kama hapo ingekuwa ni Tanzania….kuna watu wangeumizwa na vyombo vya dola!

Tunaongozwa na watu wasio na akili kabisa.
Hapa umeongea vema kabisa
 
Machogo mnataka kudandia maendeleo ya Wazanzibari wa diaspora?
Hao diaspora wa zenji wamefanya nini..je walilipa hela ya umeme wa tanesko mliopewa msamaha na jpm baada ya kushindwa kulipa..

Zenji ni kama demu flani hivi mdangaji napandwa kuhudumiwa ila hajawahi endelea pamoja na kuhongwa mipesa mingi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom