Ona wanavyokuwa na adabu wakiwa nje ya nchi bila akina Sirro

Ona wanavyokuwa na adabu wakiwa nje ya nchi bila akina Sirro

Lakini atakua kaogopa maswali kutoka kwa hao diaspora Mana hao watu ni intellectual na sio wanyonge wanajua Kila kitu na siasa zetu bongo ni uongouongo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
very true ukiona mtu kafanya yake mpaka kakimbia nchi ujue huyo sio Mataga anajitambua sana , maana hata kufika USA yenyewe na kuishi na kufanya hata kazi ya kufagia ni kazi tosha , ndiomaana hawana cha kufagilia mtu maana wanaishi ulimwengu wa kwanza hata the way of thinking yao ni tofauti na wapiga makofi kule nyumbani.
 
Hao diaspora wa zenji wamefanya nini..je walilipa hela ya umeme wa tanesko mliopewa msamaha na jpm baada ya kushindwa kulipa..

Zenji ni kama demu flani hivi mdangaji napandwa kuhudumiwa ila hajawahi endelea pamoja na kuhongwa mipesa mingi.

#MaendeleoHayanaChama
Hujui alichofanya Bakhresa ambaye ni Mzanzibari wa diaspora huko Dar? Kodi anayolipa si ndiyo inawatibu na kuwalisha na kuwajengea barabara na kuwalipa wanajeshi wenu nyie machogo? Shikeni adabu zenu.
 
hao ndio wabeba maboksi wanao ishi marekani.....wamechoka!!

yaani afadhali hata machinga wa K.koo
Rudini nyumbani.....acheni kupoteza muda huko na kushindia mikate na ukoko wa ubwabwa.
Lakini wamemkimbiza Mama mpaka kapitia mlango wa uani,tena kwa ujumbe kwenye makaratasi tu
 
Nikajua cha maana kumbe wahuni na wabeba mabosk wamebeba mabango ya kuombea kazi mbuzi kweli waje huku bongo ndio tutawaamini kweli wazalendo sio wabeba mabosk tumemtuma kuja huko kwa kazi maalumu kufungua nchi na kuitangaza nchi
Na yeye anafunguliwa kwa ujumbe sasa,matokeo yake kapitia uani
 
Rais angekuwa anayawazia maendeleo ya taifa hili hata isingekuwa shida kwa hayo mabango wala asingepita chooni.

Tatzo anawaza tumbo lake ni jinsi gani 2025 atatoboa,
 
hao ndio wabeba maboksi wanao ishi marekani.....wamechoka!!

yaani afadhali hata machinga wa K.koo
Rudini nyumbani.....acheni kupoteza muda huko na kushindia mikate na ukoko wa ubwabwa.
Mkuu una kebehi sana, ni mara 10 huko U.S wana uhakika wa jobs na wakaendesha maisha yao na bado wakawafanyia remittance ndugu zao.
 
Hapo ingekuwa ni Tanzania hakuna ambaye angethubutu kumbebea mabango Rais.

Na angejitokeza aliye jasiri wa kufanya hivyo, angechezea kichapo ambacho asingekisahau.

Lione li Mwigulu linavyojifanya linyenyekevu. Usanii mtupu!

Ila heko kwa hao waandamanaji. Wamemfanya Samia ale kona.

Sasa sijui Samia anaogopa nini?

Anawaogopa Watanzania wenzie waliopo diaspora?

Angekuwa ni mtu anayejiamini angeongea nao awasikilize. Hakuna ambacho angepoteza. Sana sana angejizolea pointi za kisiasa.

Hakuna kibaya walichokuwa wanakidai.

Shame on her and her handlers.
View attachment 2199537
Kama ni kweli walipita "mlango wa nyuma" watakuwa wameacha gumzo marekani: ' president.... enters hotel by 'backdoor' in fear of her own country's hecklers!' Halafu Trump atawambia wenzake: 'You see? I told you nothing good comes from these S/Hs! They deserved to be forever colonized!' Huyo balozi wetu huko Us hajui kazi yake.
 
Jid

Jiridhishe kwanza kwenye hiyo clip kama alipita "so called mlango wa nyuma"?
Au ni majungu na ujinga wa kutaka attention kwa attention seekers wa JF.
 
Mkuu una kebehi sana, ni mara 10 huko U.S wana uhakika wa jobs na wakaendesha maisha yao na bado wakawafanyia remittance ndugu zao.
Mkulima wa maharagwe wa Ipalamwa au Kasulu huwezi kumfananisha na mbeba maboksi wa marekani...........rudini nyumbani kuna fursa za kutosha kujiajiri.
 
Mama anaupiga mwingi ndani ya ushungi.

Ametokomea kusikojulikana kwa spidi ya radi. Amekula kona (si ajabu alienda kujibanza kwa lile lizungu lake).

Hili libibi hata sio president material. Tunajilazimisha tu.
Anaupiga mwingi mpaka unaanza kumwagika
 
Mama ilitakiwa awe na balls of steel kuweza kufanya engagement na critics akienda ng'ambo.
 
Back
Top Bottom