Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Duh KUNAKUCHA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
very true ukiona mtu kafanya yake mpaka kakimbia nchi ujue huyo sio Mataga anajitambua sana , maana hata kufika USA yenyewe na kuishi na kufanya hata kazi ya kufagia ni kazi tosha , ndiomaana hawana cha kufagilia mtu maana wanaishi ulimwengu wa kwanza hata the way of thinking yao ni tofauti na wapiga makofi kule nyumbani.Lakini atakua kaogopa maswali kutoka kwa hao diaspora Mana hao watu ni intellectual na sio wanyonge wanajua Kila kitu na siasa zetu bongo ni uongouongo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui alichofanya Bakhresa ambaye ni Mzanzibari wa diaspora huko Dar? Kodi anayolipa si ndiyo inawatibu na kuwalisha na kuwajengea barabara na kuwalipa wanajeshi wenu nyie machogo? Shikeni adabu zenu.Hao diaspora wa zenji wamefanya nini..je walilipa hela ya umeme wa tanesko mliopewa msamaha na jpm baada ya kushindwa kulipa..
Zenji ni kama demu flani hivi mdangaji napandwa kuhudumiwa ila hajawahi endelea pamoja na kuhongwa mipesa mingi.
#MaendeleoHayanaChama
Lakini wamemkimbiza Mama mpaka kapitia mlango wa uani,tena kwa ujumbe kwenye makaratasi tuhao ndio wabeba maboksi wanao ishi marekani.....wamechoka!!
yaani afadhali hata machinga wa K.koo
Rudini nyumbani.....acheni kupoteza muda huko na kushindia mikate na ukoko wa ubwabwa.
Na yeye anafunguliwa kwa ujumbe sasa,matokeo yake kapitia uaniNikajua cha maana kumbe wahuni na wabeba mabosk wamebeba mabango ya kuombea kazi mbuzi kweli waje huku bongo ndio tutawaamini kweli wazalendo sio wabeba mabosk tumemtuma kuja huko kwa kazi maalumu kufungua nchi na kuitangaza nchi
Mkuu una kebehi sana, ni mara 10 huko U.S wana uhakika wa jobs na wakaendesha maisha yao na bado wakawafanyia remittance ndugu zao.hao ndio wabeba maboksi wanao ishi marekani.....wamechoka!!
yaani afadhali hata machinga wa K.koo
Rudini nyumbani.....acheni kupoteza muda huko na kushindia mikate na ukoko wa ubwabwa.
Kama ni kweli walipita "mlango wa nyuma" watakuwa wameacha gumzo marekani: ' president.... enters hotel by 'backdoor' in fear of her own country's hecklers!' Halafu Trump atawambia wenzake: 'You see? I told you nothing good comes from these S/Hs! They deserved to be forever colonized!' Huyo balozi wetu huko Us hajui kazi yake.Hapo ingekuwa ni Tanzania hakuna ambaye angethubutu kumbebea mabango Rais.
Na angejitokeza aliye jasiri wa kufanya hivyo, angechezea kichapo ambacho asingekisahau.
Lione li Mwigulu linavyojifanya linyenyekevu. Usanii mtupu!
Ila heko kwa hao waandamanaji. Wamemfanya Samia ale kona.
Sasa sijui Samia anaogopa nini?
Anawaogopa Watanzania wenzie waliopo diaspora?
Angekuwa ni mtu anayejiamini angeongea nao awasikilize. Hakuna ambacho angepoteza. Sana sana angejizolea pointi za kisiasa.
Hakuna kibaya walichokuwa wanakidai.
Shame on her and her handlers.
View attachment 2199537
Jiridhishe kwanza kwenye hiyo clip kama alipita "so called mlango wa nyuma"?Kama ni kweli walipita "mlango wa nyuma" watakuwa wameacha gumzo marekani: ' president.... enters hotel by 'backdoor' in fear of her own country's hecklers!' Halafu Trump atawambia wenzake: 'You see? I told you nothing good comes from these S/Hs! They deserved to be forever colonized!' Huyo balozi wetu huko Us hajui kazi yake.
Mkulima wa maharagwe wa Ipalamwa au Kasulu huwezi kumfananisha na mbeba maboksi wa marekani...........rudini nyumbani kuna fursa za kutosha kujiajiri.Mkuu una kebehi sana, ni mara 10 huko U.S wana uhakika wa jobs na wakaendesha maisha yao na bado wakawafanyia remittance ndugu zao.
Anaupiga mwingi mpaka unaanza kumwagikaMama anaupiga mwingi ndani ya ushungi.
Ametokomea kusikojulikana kwa spidi ya radi. Amekula kona (si ajabu alienda kujibanza kwa lile lizungu lake).
Hili libibi hata sio president material. Tunajilazimisha tu.