Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah hata mimi jana niliona zipo karibu sema sikutilia maanani sana zilikuwa umbali kama futi moja hiviZilianza jana..Jana nimeona nyota zimekaribiana magharib nikajua TAYARIII
Mimi nitaiangalia hii kitu kutoka dirisha la sebuleni kwangu. Nipo kilimani kuegemea upande wa kaskazi magharibi.View attachment 1655919
Baada ya zaidi ya miaka 400, leo usiku sayari mbili kubwa zaidi katika mfumo wetu wa jua, sayari ya Mshtarii (Jupiter) na Zohali (Saturn) zinatarajiwa kuonekana katika umbo moja kutoka duniani.
Tukio hili linalotokea mara moja katika muda wa uhai wa mwanadamu linafanya sayari hizo mbili kuonekana kama 'nyota' moja. Mara ya mwisho tukio kama hilo kuonekana ilikuwa zaidi ya miaka 400 iliyopita, Julai 16 mwaka 1623.
Si kweli kwamba sayari hizo mbili zitaungana na kuwa kitu kimoja, kuna umbali wa zaidi ya kilomita 733,205 kati ya sayari hizo mbili, na umbali wa kilomita 886,440 kati ya dunia na sayari ya Zohali, ila sayari zote mbili zitakuwa katika mstari mmoja wa mwonekano kutoka duniani.
Sayari hizi mbili kubwa zinaonekana kwa urahisi kutoka duniani, na tukio hili linaweza kuonekana katika maeneo mengi duniani. Tafuta sehemu nzuri usiku wa leo utazame upande wa Kaskazini Magharibi uweze kuona tukio hili ambalo hautaweza kuliona tena katika maisha yako.
Simu yako haina camera au unatumia Tecno..?Mimi nitaiangalia hii kitu kutoka dirisha la sebuleni kwangu. Nipo kilimani kuegemea upande wa kaskazi magharibi.
Bahati mbaya sina camera yenye lensi kali
Waliochukuliwa misukule hawapoteagi aisee[emoji3]Hii ni ishara ya baraka na utukufu wa awamu ya tano.
Itakuwa usiku saa ngapiView attachment 1655919
Baada ya zaidi ya miaka 400, leo usiku sayari mbili kubwa zaidi katika mfumo wetu wa jua, sayari ya Mshtarii (Jupiter) na Zohali (Saturn) zinatarajiwa kuonekana katika umbo moja kutoka duniani.
Tukio hili linalotokea mara moja katika muda wa uhai wa mwanadamu linafanya sayari hizo mbili kuonekana kama 'nyota' moja. Mara ya mwisho tukio kama hilo kuonekana ilikuwa zaidi ya miaka 400 iliyopita, Julai 16 mwaka 1623.
Si kweli kwamba sayari hizo mbili zitaungana na kuwa kitu kimoja, kuna umbali wa zaidi ya kilomita 733,205 kati ya sayari hizo mbili, na umbali wa kilomita 886,440 kati ya dunia na sayari ya Zohali, ila sayari zote mbili zitakuwa katika mstari mmoja wa mwonekano kutoka duniani.
Sayari hizi mbili kubwa zinaonekana kwa urahisi kutoka duniani, na tukio hili linaweza kuonekana katika maeneo mengi duniani. Tafuta sehemu nzuri usiku wa leo utazame upande wa Kaskazini Magharibi uweze kuona tukio hili ambalo hautaweza kuliona tena katika maisha yako.
Angalia angani upande wako wa kulia kuna nyota nyeupe pekee inang'aaItakuwa usiku saa ngapi