Once-in-a-lifetime experience: Sayari ya Mshtarii na Zohali zinatarajiwa kuonekana kama umbo moja usiku wa leo

Mi hata siwaelewi, huku nilipo ndio saa tatu asubuhi kwahiyo nami nisubiri au imekula kwangu?
 
Zilianza jana..Jana nimeona nyota zimekaribiana magharib nikajua TAYARIII
Yeah hata mimi jana niliona zipo karibu sema sikutilia maanani sana zilikuwa umbali kama futi moja hivi
 
Mimi nitaiangalia hii kitu kutoka dirisha la sebuleni kwangu. Nipo kilimani kuegemea upande wa kaskazi magharibi.

Bahati mbaya sina camera yenye lensi kali
 
Mimi nitaiangalia hii kitu kutoka dirisha la sebuleni kwangu. Nipo kilimani kuegemea upande wa kaskazi magharibi.

Bahati mbaya sina camera yenye lensi kali
Simu yako haina camera au unatumia Tecno..?
 
Itakuwa usiku saa ngapi
 
Nmeiona mkuu niipige picha?

Naishukuru sana serekali ya awamu ya 6 kwa tukio hili
 
Wanasayansi huwa hawakosi cha kusema. wanaita hili tukio Xmas star.Wanadai nyota ambayo wale mamajusi wanaozungumziwa kwenye biblia kuhusu tukio la kuzaliwa kwa Yesu kristu,ambao waliiona nyota mashariki na kuifuata,waliona tukio hili la jupiter na saturn kukaribiana. Xmas star imezungumziwa sana na vyombo vya habari vya kimartaifa ikidaiwa hiii ndio nyota walioiona wale mamajusi (Astronomers), na hutokea baada ya mamia ya miaka .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…