Abtali Mwerevu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 796
- 707
Ngono na watu wengi husababisha mikosi na kutofanikiwa kwa mambo yako. Upo uwezekano kwamba, unaanzisha mambo mbalimbali lakini hayafanikiwi.
Katika utaalamu, kila mtu unayefanya naye ngono huenda akaja na baraka au akaja na nuksi. Kwa wale waliotulia katika ndoa zao, huenda ngono ikawa chanzo cha baraka. Kinyume chake, ngono yaweza kuwa chanzo cha matatizo yako.
Jinsi ya kuondoa Mikosi Inayosababishwa na Ngono
Njia bora kuliko zote ni kupunguza idadi ya wapenzi. Wapo wenzetu ambao jambo hili ni gumu kwao, hususani dada zetu wanaofanya kazi ya kujiuza, kudanga na nyinginezo, kuwaambia wapunguze idadi ni kuwaambia wafe njaa. Pia wapo vijana wanaougua ugonjwa wa kupenda ngono kupita kiasi nao ni ngumu kufuata ushauri wa kupunguza idadi ya wapenzi. Kwa mantiki hiyo dawa inahitajika.
Dawa yenyewe
Nunua chumvi ya mawe katika duka lolote. Dozi hii ni siku saba.
Jinsi ya kujitibu
Hii ni kwa wale wanaooga kwenye ndoo au beseni.
Kama umeshiriki ngono na mpenzi mmoja katika kipindi cha mwaka mmoja, uwezekano wa kukusababishia mikosi ni mdogo mno, hata hivyo kama huna imani naye, kila siku kabla ya kulala, weka chumvi moja ya mawe. Unapoweka, tamka maneno haya “MOJA, NAONDOA MIKOSI YA NGONO KWA CHUMVI HII YA MAWE,” nenda kaoge. Unapomaliza kuoga, kama chumvi yako haikuyeyuka ikaisha, ichukue ukaitupe nje. Kama imeyeyuka yote ikaisha, jambo la heri na ni dalili kwamba, unapona haraka!
Kama umeshiriki ngono na wapenzi wawili katika kipindi cha mwaka mmoja, weka vipande viwili vya chumvi ya mawe. Unapoweka, tamka maneno haya “MBILI, NAONDOA MIKOSI YA NGONO KWA CHUMVI HII YA MAWE,” nenda kaoge. Unapomaliza kuoga, kama chumvi yako haikuyeyuka ikaisha, ichukue ukaitupe nje. Kama imeyeyuka yote ikaisha, jambo la heri na ni dalili kwamba, unapona haraka!
Kama umeshiriki ngono na wapenzi watatu katika kipindi cha mwaka mmoja, weka vipande viwili vya chumvi ya mawe. Unapoweka, tamka maneno haya “TATU, NAONDOA MIKOSI YA NGONO KWA CHUMVI HII YA MAWE,” nenda kaoge. Unapomaliza kuoga, kama chumvi yako haikuyeyuka ikaisha, ichukue ukaitupe nje. Kama imeyeyuka yote ikaisha, jambo la heri na ni dalili kwamba, unapona haraka!
Kwa hivyo kama inavyoeleweka hapo, weka chumvi kwa idadi ya watu uliolala nao kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Vipi kama hutambui idadi ya watu uliolala nao katika kipindi cha mwaka mmoja?
Chota chumvi yako katika namna ambayo hutatambua umechota mawe mangapi, kisha tamka, “IDADI ISIYOJULIKANA, NAONDOA MIKOSI YA NGONO KWA CHUMVI HII YA MAWE,” nenda kaoge na fuata taratibu zilizoelezwa hapo juu.
Fahamu Mengi, Jiunge Katika Group Letu la WhatsApp Hapa