Ondoa ''misconception'' kuhusu Wanyarwanda

kinacho sumbua hapa ni hiyohiyo misconception ambayo mtoa mada ndo dhumuni lake kuu kuanzisha mada, kwa hiyo kumbe bado watu wana hiyo misconception pamoja na kusoma mada. sio rahisi kuiondoa, ni kama uwaambie waislam wenye msimamo mkali mfano wa alshabab waondoe misconception kuhusu wakristo sio rahisi hata kidogo.
mimi pia napenda ccm na polisi tanzania waondoe misconception juu ya upinzani na vyama vya upinzani tanzania, je unajua nape atakoment nini kuhusu hilo?!
 
Mleta mada utafiti wako nimdogo sana. Ukiwajua vizuri wanyarwanda hasa Wa kitusi utaelewa. Japo niwatu smart. Lakini niwabaya kuliko. Najua ujaingia kuminanane zao utausoma mziki.
hata wewe ondoa hiyo misconception, mfano sie wasukuma tunasifika wa ukarimu sana hasa kwa watu walioishi usukumani, lakin majuzi nilikuwa mbinga ruvuma wamatengo wananiambia eti sie wasukuma ni wanafiki sio wapole wala wakarimu, kuuliza sababu naambiwa eti kisa tu huku kwetu ndo mauaji ya albino na vikongwe ndo yameshamili, ajabu waliosema hivyo hawajawahi kufika usukumani. ile ni misconception coz sie ni wakalim mno wanaofanya hayo mambo ni waharifu wachache tu.
 
Asiri haifi. Ata ikipita viza na vizazi. 75% yamaishangu nimeishi nao kwaihiyo nawajua in and out
 
Na kwa bahati nzuri familia zote mbili hutu na Tutsi. Nimeishi nao. Mtoa mada ulichanganywa na supu ya ule mgahawa
 
Kigoma kuna kijiji kinaitwa manyovu kipo wilaya ya kasulu.. Katika kijiji hicho kuna sehemu inaitwa utusini na wanaishi wao tu... Wana roho mbaya mpaka kwa watanzania..

Kuna rafiki yangu mmoja ni mtusi anatokea hicho kieneo aliwah kuniambia muda wowote anawaza kumuua
muhutu....

Mtoa mada huwajui vizuri watusi nakuomba ukae kimya... Me nimekuwa na kuishi na watusi nawajua saaaaaaaana.... Wana roho mbaya saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana... Siongei kinadharia kama unataka kuthibitisha hili muulize Mtanzania anaeishi kigoma wilaya za kasulu vijijin au kibondo watakupa Na kukusimulia mengi...

Nakumbuka mwaka 2005 kwenye uchaguzi wa mbunge wa kgoma mjini... Peter Serukamba kama sio Ccm alikuwa anapigwa chini kwa sababu mbunge wa chadema kipindi hicho Dr. Aman Walid kabourou alikuwa anawaonya watu kuwa jamaa ni mtusi na anajua lengo la ...... kumtaka awe mbunge... Jaribun kuulizia mpate vitu
 
Basi acha asemwe maana wanaomsema wana sababu za kumsema.
 
Hayo ya serukamba yamesemwa sana hapa jf . Nadhani kuna wanaofahamu zaidi kuhusu huyo mtu, ikiwa ni mtutsi kwanini aachwe agombee ubunge na kama sijakosea aliwahi kufikia hadi kupewa unaibu waziri? Pamoja na hayo isiwe labda ilikuwa ni maneno ya kisiasa tu kumbe si kweli.
 
Nishawahi kuleta uzi hapa unaozungumzia namna wasukuma tunavyoharibu sifa zetu kwa amani zetu za kishirikina na kuua vikongwe. Nikatoa mfano namna rafiki yangu mmoja mhaya alivyokosa amani baada ya kujiyamburisha kuwa mimi ni Msukuma. Walikuja kabila langu kunisakama kuwa nawadharirisha lkn meseji send. Tuache kuua vikongwe ukarimu wetu na upole wetu utakuwa level ya juu sana.
 
Huyo unayemjibu si msukuma, ni mtutsi anayeifahamu Tanzania.
 
Kila mtu anamchukia huyu mara mtu mweusi na mweupe, mzungu na myahudi, myahudi na mwarabu, mhindi na mwafrika, wajapan na wachina yaani ni chuki chuki kila sehemu hii dunia imejaa vichaa na chuki kila sehemu na kinachonishangaza watu weusi wanachukiana wao kwa wao, wakati wote wakitokea mbea ya mtu mweupe hawatofautishi anawaringanisha kuwa wote ni sawa lakini nao hapohapo wanabagua.
 
Huyo unayemjibu si msukuma, ni mtutsi anayeifahamu Tanzania.
nyanoko, lekaga ukwigusha na banhu abo utabamanile, angu 'unayemjibu si msukuma, ni mtutsi' nyanina ebe,
ntusi nso na noko, ntumbafu!
 
Na kwa bahati nzuri familia zote mbili hutu na Tutsi. Nimeishi nao. Mtoa mada ulichanganywa na supu ya ule mgahawa


Hauwajui Wanyarwanda, kama ungewajua ungetambua kwamba hakuna Wahutu wala Watusi bali wote ni wamoja tu Wanyarwanda!
 
 
msumeno ...Pole na safari za kupanda na kushuka !! Ahsante na Hongera kwa TAARIFA !!
Hayo yote ni mazuri na mustakabali wao ndo unafungukka zaidi...Umetupa upande mmoja wa shillingi!! Naomba ukipata wasaa tupe upande wa pili wa shillingi !! The otherside!!

Ila nasikitika huku kwetu tumebadilika sana..Hutuwezi kuyafikia hayo .." Miaka ijayo huku nTZ hayo yatatoweka kbs " !!
Kila la heri...
Abishe mtu !!
 
Unajenga picha mbovu sana ya ubaguzi, kwa hiyo kama serukamba mtutsi uwezo wake usiisaidie jamii!!!, ubaguzi huo ulikuwa chanzo cha watu wengi kufa mwaka 1994. Kwa hiyo mtu kuzaliwa mtutsi ni kosa la jinai. Kaka unataka tuendelee kuishi katika karne hii tukiwa ndani ya fikra za kikabila!!. Kaka you are totally wrong. Akili za Hitler ndio kama hizi, alihalalisha kifo cha wayahudi kwa kujenga hoja, bahati mbaya waliozisikiliza na kuzitekeleza waliona eti zina msingi.
 
Basi acha asemwe maana wanaomsema wana sababu za kumsema.
Unatumia avatar yenye picha ya einstein halafu unaongelea ubaguzi dhidi ya serukamba!!. Vitu viwili tofauti, huyo Eistein alikuwa myahudi, jamii ya watu ambao Hitler alitaka kuwamaliza wote duniani. Watu hao ni wahanga wa ubaguzi kama watutsi kule Rwanda. Jaribu kuoanisha mambo yako, ili ufanane na muonekano wa avatar yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…