Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
kinacho sumbua hapa ni hiyohiyo misconception ambayo mtoa mada ndo dhumuni lake kuu kuanzisha mada, kwa hiyo kumbe bado watu wana hiyo misconception pamoja na kusoma mada. sio rahisi kuiondoa, ni kama uwaambie waislam wenye msimamo mkali mfano wa alshabab waondoe misconception kuhusu wakristo sio rahisi hata kidogo.
mimi pia napenda ccm na polisi tanzania waondoe misconception juu ya upinzani na vyama vya upinzani tanzania, je unajua nape atakoment nini kuhusu hilo?!
mimi pia napenda ccm na polisi tanzania waondoe misconception juu ya upinzani na vyama vya upinzani tanzania, je unajua nape atakoment nini kuhusu hilo?!