Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

Mtalam yaan ninakisim changu ni TECNO W5 lakin baada ya kufuatisha hizo process npo nashangaa ananiambia Searching Fo WIFE-NETWORK na nilipojalibu kuunganisha na hyo WIFE NETWORK inaniambia tena niingize Email & Pass

hapo ndoo kuna Mziki mkuu
 
sasa nyingine mbona ukifanya ivyo huwa zinadai google account?
 
Yaani kuanzia version ya 5.1 lollipop mpaka now ya 7.0 nougat huwezi kufanya ujinga huo sababu lazima Idai previous email
 
Labda unazungumzia android ya kitkat ila kwa lollipop,marshalow sidhani yaani mpaka uweke first account
 
Kuna baadhi ya simu or versions 7 + aiwezekani
 
Kuna baadhi ya simu hazina Frp lock ila utakutana na privacy pasword ambazo zinasumbua kama FRP
 
Jamani nina huwawei yangu

Window phone for africa msaada.

Sijasahau pass word tatizo ni kwamba niliikandamiza mpaka leoa namba mbili haifanyi kazi

Na kwenye pass word zangu kuna namba mbili, naombeni msaada wenu asee
 
Jamani nina huwawei yangu

Window phone for africa msaada.

Sijasahau pass word tatizo ni kwamba niliikandamiza mpaka leoa namba mbili haifanyi kazi

Na kwenye pass word zangu kuna namba mbili, naombeni msaada wenu asee
Hiyo peleka kwa fundi
Atabadilisha kioo
 
Ahsante nimefanikiwa,tatizo ikishawaka itajilock tena na passwd nshaisahau,hapo inakuaje ili niweke passwd mpya????
 
Wewe siyo fundi acha kuwadanganya uzi wenyewe haujakamilika hata kidogo mi nauona nusu uzi .. anazunguzia OS lakini nashangaa kashindwa kwenda kwenye maada maalumu ..
 
hapo unamfinya mwenye simu kwenye sikio na shavu atakumbuka tu password! ujinga unjinga huwa sipendi.
 
Nina simu ya promotion Halotel H8401
Nikaweka app ya Gesture lock nikawa natumia sasa baada ya mda igoma ile pasword kutoka nimefanya kila njia nimeshindwa maana kuiflash imeshindikana kwa sababu system chaja njia zake zimekufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…