Kaniki666
Member
- Jun 24, 2017
- 54
- 23
Hakuna mtihani hapo..ni tools tu zinatumika[emoji23][emoji23][emoji23]Mtihani upo shuleni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mtihani hapo..ni tools tu zinatumika[emoji23][emoji23][emoji23]Mtihani upo shuleni
Zipo tools za kuremov iyo acc...sio lzm tool ya mtk..Na kuflash labda kwa MTK DEVICE ila sio sumsung,, pixel
Mkuu nisidie Mimi ni ipadHuenda umeokota simu na hukunjua mwenyeww pia huenda umesahau password za simu yako na kutoweza kufanya chochote sasa ondoa BUREE pasipo kulipia gharama nyiiingi kuflash
Kwa shida na teknolojia zaidi kama root,spy(kupata sms, calls za mpenzi wako) nk nipigie 0753093869
Tuanze
HATUA YA KWANZA 1
zima simu yako. Yaani hapa simu iwe off.
Hatua ya pili hapa tutawasha simu into recovery mode yaani kwa kubonyeza zaidi ya button 1.
Uwashaji huu ubatofautiana na aina ya simu, ukiingia utaweka simu yako ujue namna ya kuwasha
Mfano tuanze na Tecno+infinix+sumsung
Ili kuiwasha simu hizi into recovery mode kwanza
-bonyeza Volume up+power button (power ni kidude cha kuwasha na kuzimia simu)
Utavishikilia kwa pamoja kwa sekunde kma 3,kisha simu hyo itawaka into recovery mode,
Hapo utaona maneno kama
Wipe data/factor reset
Reboot
Install na mengine meeengi, tumia volume up+volume down kufanya selection (chaguzi) sasa nenda mpka kwa wipe data/reset data/factory reset kisha bonyeza power ,na hpo itazima na kuwaka tena kisha nenda mpka reboot then click power
Hpo simu itawaka vizur, pasipo parten wala password.
Note:kila simu in a namna yake ya kufanya RECOVERY ukiwa na tatzo kma hilo utaniandikia aina ya simu kisha nitakuelekeza.
Hyo uje ofisini bosiMkuu nisidie Mimi ni ipad
Mkuu mengine ndo ajira yetuMkuu maelezo yako ni applicable kwenye android za nyuma.Za sa hivi zinahitaj previous email login after hard reset.Otherwise uflash stock or custom firmware
Kweli mkuuMkuu mengine ndo ajira yetu
Duuuu mkuu hata mimi hiyo tecno spark nimeshinda nayo kila nikifanya ukifika mwisho inadai email mwenye simu hajuiHii kitu imenishinda aisee..kuna tecno spark nakaribia kuitupa sasa
Mkuu samahan wewe unaweza kujua kujua inatakiwa utumie njia gani maana matoleo haya mapya yansumbua sana haad ukaflashSimu za Adroid kuanzia v6+kama umesahau email uliyofungulia Huwezi bypass password / pattern kwa hizo njia ulizoleta mtoa mada..
Mkuu niuzie hiyo nihangaike nayeAise mi nasim ya huawei P9 moja imegoma kuwaka ile sim nmejaribu fanya km ivo lkn wap inawaka tu inaonesha icon ya huawei lkn haistart inaganda ivo ivo,mi simu ya android hz bhana ni sheda
Ndio nini hiyoKibooo
Njoo PMAnaejua jinsi ya ku Bypass Google Email Verification ya Tecno N2 msaada please