Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

Mkuu maelezo yako ni applicable kwenye android za nyuma.Za sa hivi zinahitaj previous email login after hard reset.Otherwise uflash stock or custom firmware
 
Huenda umeokota simu na hukunjua mwenyeww pia huenda umesahau password za simu yako na kutoweza kufanya chochote sasa ondoa BUREE pasipo kulipia gharama nyiiingi kuflash
Kwa shida na teknolojia zaidi kama root,spy(kupata sms, calls za mpenzi wako) nk nipigie 0753093869

Tuanze
HATUA YA KWANZA 1
zima simu yako. Yaani hapa simu iwe off.
Hatua ya pili hapa tutawasha simu into recovery mode yaani kwa kubonyeza zaidi ya button 1.
Uwashaji huu ubatofautiana na aina ya simu, ukiingia utaweka simu yako ujue namna ya kuwasha
Mfano tuanze na Tecno+infinix+sumsung
Ili kuiwasha simu hizi into recovery mode kwanza
-bonyeza Volume up+power button (power ni kidude cha kuwasha na kuzimia simu)
Utavishikilia kwa pamoja kwa sekunde kma 3,kisha simu hyo itawaka into recovery mode,
Hapo utaona maneno kama
Wipe data/factor reset
Reboot
Install na mengine meeengi, tumia volume up+volume down kufanya selection (chaguzi) sasa nenda mpka kwa wipe data/reset data/factory reset kisha bonyeza power ,na hpo itazima na kuwaka tena kisha nenda mpka reboot then click power
Hpo simu itawaka vizur, pasipo parten wala password.

Note:kila simu in a namna yake ya kufanya RECOVERY ukiwa na tatzo kma hilo utaniandikia aina ya simu kisha nitakuelekeza.
Mkuu nisidie Mimi ni ipad
 
Mkuu maelezo yako ni applicable kwenye android za nyuma.Za sa hivi zinahitaj previous email login after hard reset.Otherwise uflash stock or custom firmware
Mkuu mengine ndo ajira yetu
 
Mkuu kuna simu baadhi hasaa haya matoleo ya hizi karibu kama tecno cx na wx ukifanya hivyo ikielekea kumaliza inaomba email iliyokuwa ikitumika awali ktk hiyo simu. nini unatakiwa kufanya kama umeisahau email.
 
Simu za Adroid kuanzia v6+kama umesahau email uliyofungulia Huwezi bypass password / pattern kwa hizo njia ulizoleta mtoa mada..
Mkuu samahan wewe unaweza kujua kujua inatakiwa utumie njia gani maana matoleo haya mapya yansumbua sana haad ukaflash
 
Aise mi nasim ya huawei P9 moja imegoma kuwaka ile sim nmejaribu fanya km ivo lkn wap inawaka tu inaonesha icon ya huawei lkn haistart inaganda ivo ivo,mi simu ya android hz bhana ni sheda
Mkuu niuzie hiyo nihangaike naye
 
Back
Top Bottom