Psiteshio72
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 634
- 442
- Thread starter
-
- #61
Pasw ya kawaida kakaNili activate mobile ant - theft..nilitumia hii mbinu zaidi ya mara 60 nikaishia kufuta kila kitu ndani. Si kila simu inakubali. Labda unambie iligoma kwa sababu ni mobile ant - theft na si pass word ya kawaida
Na wewe unachochea??Kwel mdau umeonae
Simu yko au ya wizi??Natumia AVG security (pro version), kuna option ya ku-activate mobile ant-theft. Kila mara nikifika kwenye hiyo option nasita kui-activate, vipi mkuu inaweza leta mashida kwenye mobile yangu endapo nita-activate?
[emoji23]Nilikimbia Mkuu ohooo
Poa poa mkuu nitakuchekiMimi sibabaishi, kazi 100%
Embu lete simu uliyonayo tuifanyie kaziYaan nishafanya saana hivi Simu nyingi tu nakupata nahelahela lkn Simu za sikuhiz kama walivyoongea juu hapo ukitumia njia hii inapowaka tu na kuanza kuset inakataa na kuhtaji baadhi ya mambo. Na kunasiku nilifungua itel s11 kuwaka tu ilikuja na maneno ya kichina duh lkn niliyabuni mpk ikakubali vizr ikanipeleka kwenye kuchange lugha nikawka ya English nikaendelea na mziki.
Nyiiingi pia sumsung wapo hivo hpo yakija Una click home+volume downKuna simu ya jamaa mmoja (sikumbuki ilikuwa aina gani )
Alifanya hayo mambo lakini lakini simu ilileta maandishi ya kichina tupu tulihangaika sana kwa kukisiakisia tu mpaka kufanikiwa haikuwa rahisirahisi
Swali langu ni je kuna uwezekano wa kuleta lugha ya pahala simu ilipoundwa au au tatizo lilikuwa nini mpaka ikaandika kichina?
Ni kweli, ukiwa na tatzo zaidi unaniona ofisinSimu za Adroid kuanzia v6+kama umesahau email uliyofungulia Huwezi bypass password / pattern kwa hizo njia ulizoleta mtoa mada..
KwikwikwikwikwikwikwikwikqikwikwikwikwikwikwiwkikwikwiMkuu yani niliwahi Fanya hivi Simu ikalipuka
WametupaAsante kwa msaada ndugu, tutajaribu yatakapotukuta,na wale yalowakuta basi wajaribu sasa na watupe mrejesho
Icloud vp mkuu unatoa???Poa poa mkuu nitakucheki
Basi nlikuwa cjapitia zaidWametupa
[emoji1] [emoji2] duh!!Mkuu yani niliwahi Fanya hivi Simu ikalipuka
Kutoa iCloud 100,000 nione of is in kwangu Dar es salaam KariakooIcloud vp mkuu unatoa???
Sasa ndio nimeelewa lengo la uzi wako kumbe ni mojawapo ya kujitangaza. Hapa wengine tulianza kujitanua tukajua kila kitu kitakuwa for free au kitafanyika cheaply. Kumbe na ofc ipo na hyo 100000 icloud duh . Lakin ahsante kwa kuwa wengi watakuwa wameponyeka kupeleka simu kwa mafundi pindi wakiokota au wakiibaKutoa iCloud 100,000 nione of is in kwangu Dar es salaam Kariakoo