Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

Nili activate mobile ant - theft..nilitumia hii mbinu zaidi ya mara 60 nikaishia kufuta kila kitu ndani. Si kila simu inakubali. Labda unambie iligoma kwa sababu ni mobile ant - theft na si pass word ya kawaida
Pasw ya kawaida kaka
 
Natumia AVG security (pro version), kuna option ya ku-activate mobile ant-theft. Kila mara nikifika kwenye hiyo option nasita kui-activate, vipi mkuu inaweza leta mashida kwenye mobile yangu endapo nita-activate?
Simu yko au ya wizi??
 
Yaan nishafanya saana hivi Simu nyingi tu nakupata nahelahela lkn Simu za sikuhiz kama walivyoongea juu hapo ukitumia njia hii inapowaka tu na kuanza kuset inakataa na kuhtaji baadhi ya mambo. Na kunasiku nilifungua itel s11 kuwaka tu ilikuja na maneno ya kichina duh lkn niliyabuni mpk ikakubali vizr ikanipeleka kwenye kuchange lugha nikawka ya English nikaendelea na mziki.
 
Kuna simu ya jamaa mmoja (sikumbuki ilikuwa aina gani )
Alifanya hayo mambo lakini lakini simu ilileta maandishi ya kichina tupu tulihangaika sana kwa kukisiakisia tu mpaka kufanikiwa haikuwa rahisirahisi

Swali langu ni je kuna uwezekano wa kuleta lugha ya pahala simu ilipoundwa au au tatizo lilikuwa nini mpaka ikaandika kichina?
 
Simu za Adroid kuanzia v6+kama umesahau email uliyofungulia Huwezi bypass password / pattern kwa hizo njia ulizoleta mtoa mada..
 
Yaan nishafanya saana hivi Simu nyingi tu nakupata nahelahela lkn Simu za sikuhiz kama walivyoongea juu hapo ukitumia njia hii inapowaka tu na kuanza kuset inakataa na kuhtaji baadhi ya mambo. Na kunasiku nilifungua itel s11 kuwaka tu ilikuja na maneno ya kichina duh lkn niliyabuni mpk ikakubali vizr ikanipeleka kwenye kuchange lugha nikawka ya English nikaendelea na mziki.
Embu lete simu uliyonayo tuifanyie kazi
 
Kuna simu ya jamaa mmoja (sikumbuki ilikuwa aina gani )
Alifanya hayo mambo lakini lakini simu ilileta maandishi ya kichina tupu tulihangaika sana kwa kukisiakisia tu mpaka kufanikiwa haikuwa rahisirahisi

Swali langu ni je kuna uwezekano wa kuleta lugha ya pahala simu ilipoundwa au au tatizo lilikuwa nini mpaka ikaandika kichina?
Nyiiingi pia sumsung wapo hivo hpo yakija Una click home+volume down
 
Asante kwa msaada ndugu, tutajaribu yatakapotukuta,na wale yalowakuta basi wajaribu sasa na watupe mrejesho
 
#71 kukuona ofisini maana yake si ndio kuflash kwenyewe hapo? Ungejaribu kuleta option zaidi ya moja ili iwasaidie na wale wengine wasiojua kuflash simu ingewasaidi zaidia zaidi... Option ya kwanza ni kama vile haina uzito kwa simu za hivi karibuni ukitegemea kila kukicha matoleo mapya ya simu yanatoka huku Google nao hawapo nyuma kutoa matoleo mapya ya version kila uchwao huku wakiboresha na security pia...
 
Kutoa iCloud 100,000 nione of is in kwangu Dar es salaam Kariakoo
Sasa ndio nimeelewa lengo la uzi wako kumbe ni mojawapo ya kujitangaza. Hapa wengine tulianza kujitanua tukajua kila kitu kitakuwa for free au kitafanyika cheaply. Kumbe na ofc ipo na hyo 100000 icloud duh . Lakin ahsante kwa kuwa wengi watakuwa wameponyeka kupeleka simu kwa mafundi pindi wakiokota au wakiiba
 
Back
Top Bottom