Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

Shukran sana mkuu njia hii imenisaidia sanaaa.
Kuna simu yangu ilikufa battery nikaiweka kwa muda mrefu sasa nimepata battery aina yake kuwasha nikakuta pattern ambayo nilisha isahau kabisa..kwa maelekezo hayo nimefanikiwa ku reset na simu inafanya kazi!!!!
Barikiwa sanaaaaaa!!!!!!
 
Jamani tumiani masimu ya 3310 zipo poa kabisa wachani kabisa simu zinazohitaji mabaypass inapofanya tatizo. Tecno ikikutoka mfukoni ikiwa nipo nyuma yako nakuita nikupe mwenyewe uzuri wake ni unapoinunua tu ukitumia mwezi tu Hamna kazi tena.
 
Betri ikiwa inauwezo japo mdogo Wa kukaa chaji na huitumii kwa sasa iingize chaji mpaka 60% hivi halafu itoe ndani ya Simu tafuta mfuko Wa plastiki ambao haupitish upepo chukua betri lako na ueke ndani ya huwo mfuko ifunge vizur sana betri kiasi ambacho upepo hauwezi ukaingia ndani hakikisha upepo haungii ndani baada ya kushafunga halafu betri hiyo uliyofunga kwenye mfuko ichukue na uiweke ndani ya friza/frigi lisilopungua nyuzi 15%hivi ya ubaridi wake.

Kipindi unachotaka kuitumia sasa toa betri yako na uifungue na ufute unyevu unyevu Wa umaji maji na uiwache kama SAA moja hivi ili ikauke umajiumaji ndio uanze kuitumia.

Hii ni njia ya kuihifadhi betri yako ambayo huitumii ili isife mapema pale unapoiweka bila ya matumizi.

Maisha mema.
 
niliifanya ivyo baadae ikadai previous detal, taarifa za zaman kama gmail au no ya sim iliyokuwa ikitumiaka apo awal sasa na mm simu nikiiokota kwaiyo ningefanyeje pale ilipokuwa ikidai gmail ya zaman? nikahangaika nayo sana na hata mtandao ikawa haishiki inadai wireless net work
 
Pole sana mkuu hapo ndio inakupasa umpigie simu mtoa mada au umfafute professional wa simu afanye yake
 
Elly dp! na iyo ndio kesi kubwa ivyo kwa yeyote mwenye uelewa wa ile previously google account atujuze
 
Elly dp! na iyo ndio kesi kubwa ivyo kwa yeyote mwenye uelewa wa ile previously google account atujuze

Sio kesi mkuu hapo inategemea na simu kuna baadhi ya simu unaweza kupewa maelekezo ukamaliza kesi mwenyewe na zingine ni through computer with special tool ambapo hapo ndio inabidi umtembelee fundi kama huna computer , tools na ujuzi wa kutosha
 
Lazma itafuta vitu tu kwa tecno nyingi hata Samsung na infinix pia ikiwaka inakuja kwenye FRP(factory reset protection)
 
Lazma itafuta vitu tu kwa tecno nyingi hata Samsung na infinix pia ikiwaka inakuja kwenye FRP(factory reset protection)
Ni kwel boss ila pia sio zote . Kwa hzi latest hakuna ubishi kwa njia aliyotoa jamaa lazima vitu vipotee. Na pia zipo tools ambazo pia unaweza ukareset hyo lock kwa baadhi ya simu bila kupoteza chochote
 
sio kila simu utafanya hayo ikakubali jombaa...naanza na kitu inaitwa omni, kuna baadhi ya oppo, meizu, sharp, docomo, simu nyingi za sasa zina tools zao, tofauti na hizi MTK tulizooea na SPD, sim nying za QUALCOM ni habari nyingine, hata kutoa kwake FRP ni ishu.
 
Ni kwel boss ila pia sio zote . Kwa hzi latest hakuna ubishi kwa njia aliyotoa jamaa lazima vitu vipotee. Na pia zipo tools ambazo pia unaweza ukareset hyo lock kwa baadhi ya simu bila kupoteza chochote
Yap
 
iphone 6s ina icloud
 
Niliwahi kusahau pattern ya sjmu yangu Sony Xperia [emoji769] hizo zoote zilinigomea. Simu aina ya Sony na iPhone hazina hiyo kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…