samaki_shujaa
Member
- Nov 30, 2017
- 50
- 17
Hiyo Mbna Mda Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo simu zote zinakubali hizo setting mkuu"""Mimi kuna kisimu kilinigomea"
Betri ikiwa inauwezo japo mdogo Wa kukaa chaji na huitumii kwa sasa iingize chaji mpaka 60% hivi halafu itoe ndani ya Simu tafuta mfuko Wa plastiki ambao haupitish upepo chukua betri lako na ueke ndani ya huwo mfuko ifunge vizur sana betri kiasi ambacho upepo hauwezi ukaingia ndani hakikisha upepo haungii ndani baada ya kushafunga halafu betri hiyo uliyofunga kwenye mfuko ichukue na uiweke ndani ya friza/frigi lisilopungua nyuzi 15%hivi ya ubaridi wake.Shukran sana mkuu njia hii imenisaidia sanaaa.
Kuna simu yangu ilikufa battery nikaiweka kwa muda mrefu sasa nimepata battery aina yake kuwasha nikakuta pattern ambayo nilisha isahau kabisa..kwa maelekezo hayo nimefanikiwa ku reset na simu inafanya kazi!!!!
Barikiwa sanaaaaaa!!!!!!
Pole sana mkuu hapo ndio inakupasa umpigie simu mtoa mada au umfafute professional wa simu afanye yakeniliifanya ivyo baadae ikadai previous detal, taarifa za zaman kama gmail au no ya sim iliyokuwa ikitumiaka apo awal sasa na mm simu nikiiokota kwaiyo ningefanyeje pale ilipokuwa ikidai gmail ya zaman? nikahangaika nayo sana na hata mtandao ikawa haishiki inadai wireless net work
Elly dp! na iyo ndio kesi kubwa ivyo kwa yeyote mwenye uelewa wa ile previously google account atujuze
Ni kwel boss ila pia sio zote . Kwa hzi latest hakuna ubishi kwa njia aliyotoa jamaa lazima vitu vipotee. Na pia zipo tools ambazo pia unaweza ukareset hyo lock kwa baadhi ya simu bila kupoteza chochoteLazma itafuta vitu tu kwa tecno nyingi hata Samsung na infinix pia ikiwaka inakuja kwenye FRP(factory reset protection)
YapNi kwel boss ila pia sio zote . Kwa hzi latest hakuna ubishi kwa njia aliyotoa jamaa lazima vitu vipotee. Na pia zipo tools ambazo pia unaweza ukareset hyo lock kwa baadhi ya simu bila kupoteza chochote
iphone 6s ina icloudHuenda umeokota simu na hukunjua mwenyeww pia huenda umesahau password za simu yako na kutoweza kufanya chochote sasa ondoa BUREE pasipo kulipia gharama nyiiingi kuflash
Kwa shida na teknolojia zaidi kama root,spy(kupata sms, calls za mpenzi wako) nk nipigie 0753093869
Tuanze
HATUA YA KWANZA 1
zima simu yako. Yaani hapa simu iwe off.
Hatua ya pili hapa tutawasha simu into recovery mode yaani kwa kubonyeza zaidi ya button 1.
Uwashaji huu ubatofautiana na aina ya simu, ukiingia utaweka simu yako ujue namna ya kuwasha
Mfano tuanze na Tecno+infinix+sumsung
Ili kuiwasha simu hizi into recovery mode kwanza
-bonyeza Volume up+power button (power ni kidude cha kuwasha na kuzimia simu)
Utavishikilia kwa pamoja kwa sekunde kma 3,kisha simu hyo itawaka into recovery mode,
Hapo utaona maneno kama
Wipe data/factor reset
Reboot
Install na mengine meeengi, tumia volume up+volume down kufanya selection (chaguzi) sasa nenda mpka kwa wipe data/reset data/factory reset kisha bonyeza power ,na hpo itazima na kuwaka tena kisha nenda mpka reboot then click power
Hpo simu itawaka vizur, pasipo parten wala password.
Note:kila simu in a namna yake ya kufanya RECOVERY ukiwa na tatzo kma hilo utaniandikia aina ya simu kisha nitakuelekeza.
Umerudi?Swali zaidi
Nilikuwa nimeenda wap mkuuUmerudi?