Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

Sawa mkuu nikiokota simu nitajalibu kufanya hivyo nikishindwa nitakutafuta, hila nikija na kahela kadogo nisaidie mkuu.
 

Hii process haifuti data zilizo kwenye simu?
 
Sawa mkuu nikiokota simu nitajalibu kufanya hivyo nikishindwa nitakutafuta, hila nikija na kahela kadogo nisaidie mkuu.
Sawa mkuu, ukiokota simu rudisha kwa mwenyeww ama itangaze mtandaoni
 
Android za kisasa zitadai Google acc ya mwisho kutumika..huon bado inakua mtihan
 
Kuna FRP nowadays na imekuwa shida kidogo..
 
Mzee hii kitu inadai FRP.
UTAOSHIA KU FLASH TU.
AU utumie mbinu aliloeleza mdau m1 hapa namna ya kuondoa frp bila kuflash
Na kuflash labda kwa MTK DEVICE ila sio sumsung,, pixel
 
Ingia tu YouTube andika andika aina ya simu ,mfano TECNO L8 REFACTORY RESEAT angalia video mwanzo mwisho
 
Me nataka hiyo spy kusoma msg za mtu calls za mtu ni PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…