Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

Nilijua labda una mbinu nyingine kumbe vilevile sema wewe unawafundisha kufanya wenyewe. Tatizo wabongo vile vikalatasi vya simu huwa hatusomi ila vina mengi ya kutusaidia kutumia simu zetu
Simu zenyewe tunanunua mkononi a.k.a used hyo makaratasi tutayapata wapi!?
 
Sony xperia Z3 nafanyaje mkuu?msaada wako tafadhali
 
Unaharibu ajira za watu mkuu.
Anajitangazia yeye biashara lakin ndio anaharibu ajira za wengine . Kwanza hzi solution zimejaa google hvyo kama mtu n mvivu kusoma aache wanaosoma na waliosoma wapige kazi
 
Sasa engefanyaje?? Ili asiharibu buisness za, watu??
Hakuna cha kufanya angeanza tu kujitangaza . Kwa maana licha yakuharibu business pia anoengeza uhalifu maana kama kwel ni fundi mtu kasahau pattern kwan ni lazima hadi vitu vipotee. Kwa baadhi ya simu unaweza kwenda kwa fundi akakutolea lock bila kupoteza vitu ila njia yake ni haribifu
 
Huenda umeokota simu na hukunjua mwenyeww pia huenda umesahau password za simu yako na kutoweza kufanya chochote sasa ondoa BUREE pasipo kulipia gharama nyiiingi kuflash

Tuanze
HATUA YA KWANZA 1
zima simu yako. Yaani hapa simu iwe off.
Hatua ya pili hapa tutawasha simu into recovery mode yaani kwa kubonyeza zaidi ya button 1.
Uwashaji huu ubatofautiana na aina ya simu, ukiingia utaweka simu yako ujue namna ya kuwasha
Mfano tuanze na Tecno+infinix+sumsung
Ili kuiwasha simu hizi into recovery mode kwanza
-bonyeza Volume up+power button (power ni kidude cha kuwasha na kuzimia simu)
Utavishikilia kwa pamoja kwa sekunde kma 3,kisha simu hyo itawaka into recovery mode,
Hapo utaona maneno kama
Wipe data/factor reset
Reboot
Install na mengine meeengi, tumia volume up+volume down kufanya selection (chaguzi) sasa nenda mpka kwa wipe data/reset data/factory reset kisha bonyeza power ,na hpo itazima na kuwaka tena kisha nenda mpka reboot then click power
Hpo simu itawaka vizur, pasipo parten wala password.

Note:kila simu in a namna yake ya kufanya RECOVERY ukiwa na tatzo kma hilo utaniandikia aina ya simu kisha nitakuelekeza.
ukifanya ivyo unakutana na kitu kinaitwa frp ndio utaelewa vizur kama pia umesahau e mail na password
 
ukifanya ivyo unakutana na kitu kinaitwa frp ndio utaelewa vizur kama pia umesahau e mail na password
Hapa si somo litaendelea mpaka hadi namna yakubypass!!!!!!!
 
Na kabla hujaweka post kama wewe ni mtu makini hebu cheki humu jf kama wenzako wenye uelewa kama wako hawajawahi kupost maana this might be just a revision bro/sis
 
Huu Uzi ni wakufutwa sababu mnachochea wizi kwa kuhalalisha kwa maneno Kama mmeokota
kwa simu za kisasa na models za security hii njia haifanyi kazi, ni ya zamani tumeitumia sana kutatua matatizo mbalimbali ya simu, ila siku hizi hola
 
Back
Top Bottom