Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hakuna shida yoyote endapo hutasahau password. Tatizo ni kwamba hiyo mobile ant - theft inakuja tu endapo simu yako ita-detect line ngeni iliyoingizwa kwenye simu. Bila hivyo unaweza ukakaa na simu hata miaka mitano kisitokee chochote na ukasahau kabisa kwamba uli activate mobile ant theft.Natumia AVG security (pro version), kuna option ya ku-activate mobile ant-theft. Kila mara nikifika kwenye hiyo option nasita kui-activate, vipi mkuu inaweza leta mashida kwenye mobile yangu endapo nita-activate?
Simu yangu.Simu yko au ya wizi??
YanguSimu yko au ya wizi??
sio kweli Mkuu hio kitu tunakuja imaliza kwa code hiziHio kitu fanya ila ukiwa unakumbuka email ya kwanza uliowahi ku sign in kwa google baada ya kununua hio simu. La kama huijui basi ukishafanya huo mchezo ndio mwisho wa matumizi ya hio simu especially kama ulinunua kwa mtu. Hio kitu unayoelezea inaitwa hard reset.
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Hili siyo jukwaa la siasa*Kura hukomesha mashindano* Mpigie kura Rais JPM anastahili! kwq kufanya hivi ni kumfanyia MUNGU heshima!
6 PRESIDENTS, BUSINESS LEADERS, NOMINATED FOR ALM PERSONS OF THE YEAR 2017 - 6 PRESIDENTS, BUSINESS LEADERS, NOMINATED FOR ALM PERSONS OF THE YEAR 2017 - African Leadership Magazine
Mpigie kura Magufuli kuwa raisi bora Africa
Kamefanyaje tena?Mkuu Ka nokia asha 311
Unaiondoaje hio mambo, embu nipe utundu wako. Hio code naijua na nmeitumiaga kitambo ila si kwa kazi hio maana najua kuipata ni mpaka uifikie dialer.
Hakika mkuu nyingine ukifanya kama anavyoelekeza hapo juu zinataka google free by pass account sasa ukiwa umeisahau ndo kimbembeSimu nyingine hazikubali kwel8