Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

Nikale hela keaho kitaani aisee,nakushukuru sana mkuu
 
Aise mi nasim ya huawei P9 moja imegoma kuwaka ile sim nmejaribu fanya km ivo lkn wap inawaka tu inaonesha icon ya huawei lkn haistart inaganda ivo ivo,mi simu ya android hz bhana ni sheda
 
Natumia AVG security (pro version), kuna option ya ku-activate mobile ant-theft. Kila mara nikifika kwenye hiyo option nasita kui-activate, vipi mkuu inaweza leta mashida kwenye mobile yangu endapo nita-activate?
Mkuu hakuna shida yoyote endapo hutasahau password. Tatizo ni kwamba hiyo mobile ant - theft inakuja tu endapo simu yako ita-detect line ngeni iliyoingizwa kwenye simu. Bila hivyo unaweza ukakaa na simu hata miaka mitano kisitokee chochote na ukasahau kabisa kwamba uli activate mobile ant theft.

Mimi nilikaa karibu mwaka mzima bila kubadili line. Nilivoweka line nyingine tu hiyo message ya ant theft ikatokea na password niliset karibu mwaka mmoja uliopita. Sikuikumbuka.

Ukiikumbuka password haina tabu.
 
We si mtaaluma toa na hii
126c5e20506b4de375eb00057144f553.jpg
 
Hio kitu fanya ila ukiwa unakumbuka email ya kwanza uliowahi ku sign in kwa google baada ya kununua hio simu. La kama huijui basi ukishafanya huo mchezo ndio mwisho wa matumizi ya hio simu especially kama ulinunua kwa mtu. Hio kitu unayoelezea inaitwa hard reset.
 
Anaejua jinsi ya ku Bypass Google Email Verification ya Tecno N2 msaada please
 
Hio kitu fanya ila ukiwa unakumbuka email ya kwanza uliowahi ku sign in kwa google baada ya kununua hio simu. La kama huijui basi ukishafanya huo mchezo ndio mwisho wa matumizi ya hio simu especially kama ulinunua kwa mtu. Hio kitu unayoelezea inaitwa hard reset.
sio kweli Mkuu hio kitu tunakuja imaliza kwa code hizi
*#*#4636#*#*
Shark
 
Natumia tecno boom ,niliweka pattern lakini nataka nitoe iwe bila password wala pattern lakini kila nikitaka toa naambiwa restricted by administrator
 
Rejea kichwa cha habar. Imesema kutoa password bila kuflash simu. Je waelwa nn maana ya kuflash simu.

Namashaka kma unajua maana sahii ya kuflash cm.

Kuwipe data, factory reset unakuwa umeflash cm.
 
Back
Top Bottom