One incredible vs stereo

Hapo kwa Jay Z na Nas umeyumba mkuu... Ali nakubali.
 
Hapa ni kama BIG N TUPAC...

Flow vs mashairi
Unajua hawa machalii wanaswaga zile za East Coast wakimwiga zaidi Nas kuanzia delivery, wordplay etc.... kiukweli wana skills kwenye mic lakini wote wana lyrical content mbovu.
 
kuna ngoma yao kali sana inaitwa impeccable kama sijakosea wamechana kwa lugha ya malikia, one the incredible ana umombo ule wa uingereza haswaaa!! ila wote wanajua aiseee
Impecable n hatar Sana,msklze One kwny Debuty,uyu jamaa kikristu hakmsumbui kbsa
 
kuna ngoma yao kali sana inaitwa impeccable kama sijakosea wamechana kwa lugha ya malikia, one the incredible ana umombo ule wa uingereza haswaaa!! ila wote wanajua aiseee
Mkuu, unamaanisha a lot of wishes au?
 
"Ningependa niwe yule unayemtaka, unayempenda, unayemjua, yule aliyekuondoa mashaka aliyekuacha alipozingua, niwe dira yako unapotaka safiri kifikra, nitakupeleka mpaka mahaka hujawahi fika, hujawahi shikwa ka guitar la kispanyora nikapiga code itoe ala haijawah sikika" Moko wa miujiza ni habari nyingine.
 
Mm naona stereo an flow tamu kuliko one incredible
 
Ndo maana nipo nnapotaka kuwa, na bado sina habari kwa wanaotaka n'jua /
Wanaochakachua? wanao tupo chaka na tua sio wanaosaka na sio wanaosaka tua/
Ushamba nachukia kwani tangu naanza sikutaka kutoka ila nilitaka tu kuingia/.
.....
.....

[HASHTAG]#uno[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…