Shuleless
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 4,957
- 6,221
Hapo kwa Jay Z na Nas umeyumba mkuu... Ali nakubali.Sio bongo tu...hata
Kenya...watu kama kina khaligraph..oxido.. unawasikia kwa mbali.
Ukienda south...Rick ricky..L- tido.. casper.hawaskiki kama jamaa aka
Njoo state..brother ali..nas..Jay Z mwenyewe hasikiki kama drake na kina tyga...
Haya Cameron anasikika Stanley...
Ila mziki sio Ukali wa mistari tu brother kuna technik kibao za kuteka soko